Mengine tunayapika wenyewe, hivyo wajibu tuyale tu

Huko kutekwa na utesaji ni ajabu sana kuisingizia POLIS au TISS
Duh, aisee! Utakuwa nawe umetekwa, hauko huru ndugu yangu. Je umewahi kusikia mateso wanayopitia walioko mahabusu? Wanaotesa huko ni akina nani? Kazana tu ku'beep' siku yako ya neema haiko mbali.
 
Na ndipo nikasema, Kikwete kuna watu wengi wanampenda hata sasa, alkadhalika na Magufuli wapo watu wengi wanampenda. Sasa hawa watu kweli wote wanavumilia matusi haya kwa wapendwa wao?? Kwanini tunakimbilia kuishutumu TISS na Polis tu bila kuwaza uwezekano wa kuwapo wafuasi, wapenzi na mashabiki wa viongozi hao walichoshwa na matusi dhidi ya wapendwa wao????
Chagua taasisi moja iliyomteka uweke waz hapa
 
Kwa hiyo mhusika mkuu wa utekaji ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ndugu John Pombe Magufuli?
Kosa la huyo Mdude ni kushindwa kuelewa kuwa yule Rais mmoja anayemuona ni kiongozi wa taasisi ya urais.

Kamkejeli na kumdhihaki rais wa nchi kama vile anayemuongelea ni rais wa wasafi au yule Manzese.

Huwa napenda kujiuliza tu, unaweza kumkejeli Kagame ukiwa Rwanda halafu ukaendelea kuliona jua linatoka mashariki asubuhi?.

Unaweza kweli kumkejeli Museveni halafu utoke salama Uganda?. La kujifunza ni kupima unaandika nini mitandaoni.
 
Huyu dogo hakua mkosoaji ila mtukanaji, anatukana na wazee wa chama wameshindwa kabisa kukemea hii tabia, hao wanaotukanwa ukiondoa vyeo vyao, hawa ni baba, mama, wajomba wa watu na hao jamaa zao wakiona haya matusi wanaumia
 
Huenda zimeponza, na huenda wafuasi wa watu aliowatukana wameshindwa kumvumilia, na ndipo nikasema tukosoane kwa lugha ya hishima hata kama ikiwa kali.
Lugha na namna huyu jamaa anayotumia kwenye ukosoaji hata mimi nisiye na Chama siiafiki. Lugha na ukosoaji wa aina hii unafanya hata wale wakosoaji wenye point nzuri kudharaulika. Hata huyo anayekosolewa ana haki ya kupuuza wanachosema kama lugha zenyewe ni za aina hii. Lakini pamaoja na makosa haya siyo vizuri serikali ika-react kama mafia gang! Nilitegemea serikali itumie njia rasmi kushughulika na watu wa aina hii. Lakini kujidanganya kuwa njia waliyotumia ndiyo sahihi na zaidi kuamini kuwa watu hawatajua kama ni serikali ndiyo inahusika ni ujinga. Ndiyo... watanzania wanaweza kudanganywa na propoganda kama ulizoandika kama Gwajima alivyokana ile clip yake kwa jicho kavu lakini bado tu wapo wengine tena wengi wanaojua ukweli. Na bado hapo sijazungumzia wahisani wetu ambao kwa njia za kijasusi wanajua kila kinachoendelea.
 
Huyu dogo hakua mkosoaji ila mtukanaji, anatukana na wazee wa chama wameshindwa kabisa kukemea hii tabia, hao wanaotukanwa ukiondoa vyeo vyao, hawa ni baba, mama, wajomba wa watu na hao jamaa zao wakiona haya matusi wanaumia
Kwahiyo wanavyotukanwa viongozi Wa upinzani wao huwa hawana Baba wala Mama au watoto?
 
Dhahiri katiba yatupa haki ya kukosoa, kuhoji na hata kupinga mawazo ya kiongozi yeyote ila haitupi uhuru wa kumtukana, kumkashifu na kutumia lugha ambayo ni dhahiri ya kuudhi.

Tunapopinga vitendo vya utekaji, pia tupinge vitendo vya kutumia lugha za kuudhi dhidi ya wenzetu. Maana kukosoana kwa namna ya kutukana si utanzania na kinyume cha utu.

Tujue mtu kama Rais au kiongozi wa Chama kikubwa kama CHADEMA ana wafuasi wengi, unapomtukana ni dhahiri yeye anaweza kuona hayo ni gharama tu ya wadhifa wake, na asifanye lolote zaidi ya kusamehe, walakini kwa wafuasi wake huweza kuwa habari nyingine kabisa. Mfuasi anaweza kukosa uvumilivu kwa kiongozi wake kuchafuliwa.

Kumtukana Rais ni sawa na kuwatukana watu waliomchagua, na kumtukana Mbowe ni sawa na kuwatukana wanaCHADEMA wote. Wengi wanaweza kuvumilia matusi lakini si wote, pia mara nyingi watu wanaweza kuyapuuza matusi lakini si mara zote, na kwa msingi huo, pengine hii tekateka huu ndio usuli wake.

Mfuasi akishindwa kuvumilia matusi anayorushiwa kiongozi wake, anaweza kuchukua hatua ambayo haitazamiwi au si ya kutarajiwa. Matukio kama ya yaliyomkuta Mdude huko Vwawa na Tesha huko Igunga huenda yamesababishwa pia na ndimi zao chafu dhidi ya watu wenye wafuasi wengi; pengine wafuasi wa watu ambao mara kadhaa hawasalimiki na ndimi zao wamehusika katika yote haya. .

Kama kuna jambo baya ni kurukia kulishuku jeshi la Polisi juu ya yote haya. Sisemi Polis kama taasisi ya umma haifanyi makosa, walakini pia tusilipakaze matope jeshi letu kwa uovu ambao ni dhahiri jeshi hilo ni vigumu kuufanya hasa kwa kipindi kama hichi.

Hivi kwa aina ya uongozi wa Rais Magufuli na shutuma inazotupiwa juu ya haki za kibinadamu, hivi kweli Polis au TISS watafanya ushenzi ule kwa Mdude? Ili iweje? Ili utawala wa awamu ya tano uzidi kuoga na matope na kupoteza uungwaji mkono kutoka jumuia za kimataifa? .

Ulishawahi jiuliza? Kwanini utekaji akifanyiwa mpinzani shutuma hutupiwa TISS na Polis lakini akifanyiwa mwanaCCM hawahusishwi Polis au TISS?
Yote haya huenda wafuasi wa pande mbili wanatiana ADABU. Greenguard na Redbrigadia zitupiwe jicho.

Na
@jini_kinyongaView attachment 1093270
Tatizo la chama kuwa na vikosi vyenye mafunzo ya kijeshi
 
Dawa ya kejeli ni kutekana/kuuana au mahakamani?
Kosa la huyo Mdude ni kushindwa kuelewa kuwa yule Rais mmoja anayemuona ni kiongozi wa taasisi ya urais.

Kamkejeli na kumdhihaki rais wa nchi kama vile anayemuongelea ni rais wa wasafi au yule Manzese.

Huwa napenda kujiuliza tu, unaweza kumkejeli Kagame ukiwa Rwanda halafu ukaendelea kuliona jua linatoka mashariki asubuhi?.

Unaweza kweli kumkejeli Museveni halafu utoke salama Uganda?. La kujifunza ni kupima unaandika nini mitandaoni.
 
Rejea hoja yangu ya msingi, nimesema upo uwezekano huo na ndio maana nikasema jeshi la polis wachunguze hivi vikosi vya vyama kama vile green guard na red brigade, huenda kwa namna moja au nyingine wakawa wanahusika.

..bila kujibu ni nani aliondoa ulinzi area D wakati Mh.Lissu anashambuliwa sioni ni jinsi gani vyombo vinajinasua ktk kuhusika na tukio lile.
 
Dhahiri katiba yatupa haki ya kukosoa, kuhoji na hata kupinga mawazo ya kiongozi yeyote ila haitupi uhuru wa kumtukana, kumkashifu na kutumia lugha ambayo ni dhahiri ya kuudhi.

Tunapopinga vitendo vya utekaji, pia tupinge vitendo vya kutumia lugha za kuudhi dhidi ya wenzetu. Maana kukosoana kwa namna ya kutukana si utanzania na kinyume cha utu.

Tujue mtu kama Rais au kiongozi wa Chama kikubwa kama CHADEMA ana wafuasi wengi, unapomtukana ni dhahiri yeye anaweza kuona hayo ni gharama tu ya wadhifa wake, na asifanye lolote zaidi ya kusamehe, walakini kwa wafuasi wake huweza kuwa habari nyingine kabisa. Mfuasi anaweza kukosa uvumilivu kwa kiongozi wake kuchafuliwa.

Kumtukana Rais ni sawa na kuwatukana watu waliomchagua, na kumtukana Mbowe ni sawa na kuwatukana wanaCHADEMA wote. Wengi wanaweza kuvumilia matusi lakini si wote, pia mara nyingi watu wanaweza kuyapuuza matusi lakini si mara zote, na kwa msingi huo, pengine hii tekateka huu ndio usuli wake.

Mfuasi akishindwa kuvumilia matusi anayorushiwa kiongozi wake, anaweza kuchukua hatua ambayo haitazamiwi au si ya kutarajiwa. Matukio kama ya yaliyomkuta Mdude huko Vwawa na Tesha huko Igunga huenda yamesababishwa pia na ndimi zao chafu dhidi ya watu wenye wafuasi wengi; pengine wafuasi wa watu ambao mara kadhaa hawasalimiki na ndimi zao wamehusika katika yote haya. .

Kama kuna jambo baya ni kurukia kulishuku jeshi la Polisi juu ya yote haya. Sisemi Polis kama taasisi ya umma haifanyi makosa, walakini pia tusilipakaze matope jeshi letu kwa uovu ambao ni dhahiri jeshi hilo ni vigumu kuufanya hasa kwa kipindi kama hichi.

Hivi kwa aina ya uongozi wa Rais Magufuli na shutuma inazotupiwa juu ya haki za kibinadamu, hivi kweli Polis au TISS watafanya ushenzi ule kwa Mdude? Ili iweje? Ili utawala wa awamu ya tano uzidi kuoga na matope na kupoteza uungwaji mkono kutoka jumuia za kimataifa? .

Ulishawahi jiuliza? Kwanini utekaji akifanyiwa mpinzani shutuma hutupiwa TISS na Polis lakini akifanyiwa mwanaCCM hawahusishwi Polis au TISS?
Yote haya huenda wafuasi wa pande mbili wanatiana ADABU. Greenguard na Redbrigadia zitupiwe jicho.

Na
@jini_kinyongaView attachment 1093270
Mimi mwenyewe ningekua Rais nisingevumilia lugha hizo, na angekua Rwanda, Uganda au Saudia angejua si kila siku ni sikukuu
 
Ni kweli si vizuri kumtukana mtu yeyote au kutoa maneno makali, lakini tulijiwekea sheria za kutuongoza nini cha kufanya kama mtu atatoa lugha ya matusi au lugha isiyokuwa na staa. Tukianza kuchukua hatua zaidi ya sheria tulizojiwekea basi tujue tunapokwenda wapo watakao take advantage ya kutokufuata sheria tulizojiwekea na kufanya chochote watakachoona inafaa. Tutumie sheria na mahakama zetu kuwachukulia hatua wale wote watakaovunja sheria. Tujenge nchi yenye kufuata sheria pamoja ya maumivu tunayopata tunapotukanwa.
 
Mkuu unajichanganya sana hadi hueleweki.
Unaleta siasa kwenye maisha ya binadam mwenzio?
Wewe mwenyewe umeanza kwa kuonyesha kwamba kauli za mdude ndio zilizomponza halafu mwishoni tena unasema kwa nini akitekwa mpinzani shutuma huenda TISS na polisi?
Kwanza hilo li mdude lenu wangeling'oa p.m.bu kabisa shenz type!!
 
Kila mwanadamu ataonja mauti.
Swala la kutokuona jua kutoka mashariki Asubuhi ni la kilamtu.Sema style ndio tofauti.
Sijaona sehemu alipokosea mdude hapo.
Tatizo anapoonja mateso wewe haupo
 
jamani hata sisi wenyewe tuchunge ndimi zetu niwakumbushe jambo moja ktk dunia hii hamna haki labda mbinguni tufanye kazi kwa bidii tutafute maisha ayo mambo ya siasa tuwaachie wenyew maan watakung'oa pua unabak unacheka mda wote
 
Lugha na namna huyu jamaa anayotumia kwenye ukosoaji hata mimi nisiye na Chama siiafiki. Lugha na ukosoaji wa aina hii unafanya hata wale wakosoaji wenye point nzuri kudharaulika. Hata huyo anayekosolewa ana haki ya kupuuza wanachosema kama lugha zenyewe ni za aina hii. Lakini pamaoja na makosa haya siyo vizuri serikali ika-react kama mafia gang! Nilitegemea serikali itumie njia rasmi kushughulika na watu wa aina hii. Lakini kujidanganya kuwa njia waliyotumia ndiyo sahihi na zaidi kuamini kuwa watu hawatajua kama ni serikali ndiyo inahusika ni ujinga. Ndiyo... watanzania wanaweza kudanganywa na propoganda kama ulizoandika kama Gwajima alivyokana ile clip yake kwa jicho kavu lakini bado tu wapo wengine tena wengi wanaojua ukweli. Na bado hapo sijazungumzia wahisani wetu ambao kwa njia za kijasusi wanajua kila kinachoendelea.
Katika hoja yangu nimetoa indhari, ya kwamba tusikimbilie serikali au vyombo vya dola kuvituhumu kwa utekaji huu.

Kikwete aliyeitwa Mzukule ni Mwenyekiti mstaafu wa CCM, chama ambacho kina mamilioni ya wanachama. Alikuwa Rais kwa awamu mbili na alichaguliwa kwa mamilioni ya kura, ana watoto, mke, ndugu na marafiki.

Sasa unapomuita Mzukule ujuwe humuumizi Kikwete peke yake, bali unawaumiza mamilioni ya mashabiki wake, jumlisha ndugu, jamaa na marafiki. Hivi watu wote hao wanafurahia kuvunjiwa hishima kwa mpendwa wao????

Polisi ni wajibu wake kumlinda kila raia lakini tukubali kumlinda raia anayewaudhi mamilioni ya watu kazi yake si nyepesi ni nzito sana. Sasa kwanini Mdude asiipunguzie Polis kazi kwa kuacha KUTUKANA???? Hivi mtu wa namna hii akitekwa na kuteswa na watu wasiojulikana bado anapata uhalali wa kulishitumu jeshi kwa kushindwa kumlinda?? Mtu watakiwa kuanza kujilinda mwenyewe kwanza.
 
Back
Top Bottom