Orketeemi
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 5,587
- 14,356
Si vizur kuwa na roho ya hivyo.
Kwanza hilo li mdude lenu wangeling'oa p.m.bu kabisa shenz type!!
Kwanza hilo li mdude lenu wangeling'oa p.m.bu kabisa shenz type!!
Hujaelewa nn ww???? Usitafute visingizio vya eti uhai wa mtu ndo uanze kutukana na mkiendelea hvyo mtasaidiwa kuheshimishwaMkuu unajichanganya sana hadi hueleweki.
Unaleta siasa kwenye maisha ya binadam mwenzio?
Wewe mwenyewe umeanza kwa kuonyesha kwamba kauli za mdude ndio zilizomponza halafu mwishoni tena unasema kwa nini akitekwa mpinzani shutuma huenda TISS na polisi?
Pale wizara ya mambo ya ndani miaka ya ile ya Mwalimu Nyerere ulikuwa ukikatiza kwa nje na kuchungulia ndani pembeni ya lile jengo la wizara kulikuwa na nyumba zilizojengwa kwa mbao za rangi nyekundu, mle ndani kulikuwa kunafanyika shughuli nzito za utesaji...Tanzania Bara tumewahi kuwa na watu waliohusishwa na UHAINI.
..Hilo ndilo kosa kubwa kabisa dhidi ya dola na kiongozi wake.
..lakini waliohusika na UHAINI huo hawakuuwawa [ isipokuwa Tamim aliye-resit arrest], kuteswa, au kudhalilishwa, kama wanavyofanyiwa wapinzani ktk awamu hii.
..kama Tanzania Bara tumewahi kuwa na wahaini na tukawafikisha mahakamani wakahukumiwa ,
nini kinatuzuia kufuata utaratibu kama huo kushughulikia wanaotuhumiwa kutoa "kejeli" ktk mitandao?
..natofautiana na mtizamo wako unapotulinganisha na Rwanda au Uganda. Kwa maoni yangu we are far better than them kwenye masuala ya Human rights.
Sidhani kama unao ushahidi kwamba MO Dewji alitekwa kwa amri ya mkuu wa nchi. Yule ni mfanyabiashara mwenye uhusiano wa kibiashara na watu wengi tu, afrika na duniani kwa ujumla.MO DEWJ aliandika Nini hadi kutekwa! sikieni praise team mtawala dhalimu hajali Lugha gani unatumia kumkosoa!! anachojali unagusaje maslahi yake!
Nadhani hukuelewa nilichoandika. 1. Ni kweli huyu jamaa hata mimi sipendi lugha anayotumia kwenye ukosoaji wake. Ni ya kihuni!Katika hoja yangu nimetoa indhari, ya kwamba tusikimbilie serikali au vyombo vya dola kuvituhumu kwa utekaji huu.
Kikwete aliyeitwa Mzukule ni Mwenyekiti mstaafu wa CCM, chama ambacho kina mamilioni ya wanachama. Alikuwa Rais kwa awamu mbili na alichaguliwa kwa mamilioni ya kura, ana watoto, mke, ndugu na marafiki.
Sasa unapomuita Mzukule ujuwe humuumizi Kikwete peke yake, bali unawaumiza mamilioni ya mashabiki wake, jumlisha ndugu, jamaa na marafiki. Hivi watu wote hao wanafurahia kuvunjiwa hishima kwa mpendwa wao????
Polisi ni wajibu wake kumlinda kila raia lakini tukubali kumlinda raia anayewaudhi mamilioni ya watu kazi yake si nyepesi ni nzito sana. Sasa kwanini Mdude asiipunguzie Polis kazi kwa kuacha KUTUKANA???? Hivi mtu wa namna hii akitekwa na kuteswa na watu wasiojulikana bado anapata uhalali wa kulishitumu jeshi kwa kushindwa kumlinda?? Mtu watakiwa kuanza kujilinda mwenyewe kwanza.
MOSI.Nadhani hukuelewa nilichoandika. 1. Ni kweli huyu jamaa hata mimi sipendi lugha anayotumia kwenye ukosoaji wake. Ni ya kihuni!
2. Kuna watu wengi ambao hawafurahishwi naye kama mimi na wewe 3. Serikali inatakiwa kuchukuwa njia za kihalali kupambana naye na siyo kutumia njia za kimafia. 4. Mtu wa aina hiyo akitekwa na kuteswa na ''watu wasiojulikana'' BADO ANA UHALALI wa kulishutumu jeshi la polisi kwani hakuna sheria inayoruhusu ''watu wasiojulikana'' kuteka na kutesa. 5. Hata uwe kiongozi mzuri namna gani watu wanaotumia lugha chafu juu yako hawakosekani. Ni jukumu la serikali kutumia njia halali kuwashughulikia na siyo wafuasi wa hao viongozi!. Tukiruhusu hali hii, basi nchi itajaa vurugu na watoto wa kila familia watakuwa wanashughulikia maadui wa baba zao, wafuasi wa vyama vya siasa watakuwa wanashughulikia maadui wa viongozi wao nk.
Siasa na maisha ya binadamu unazitenganisha vipi?Mkuu unajichanganya sana hadi hueleweki.
Unaleta siasa kwenye maisha ya binadam mwenzio?
Wewe mwenyewe umeanza kwa kuonyesha kwamba kauli za mdude ndio zilizomponza halafu mwishoni tena unasema kwa nini akitekwa mpinzani shutuma huenda TISS na polisi?
Akikujibu hili swali unitagDotto C. Rangimoto,
..unafikiri green-guard au red-brigade wana uwezo wa kuondoa walinzi wa area D wanapoishi viongozi wa serekali na kumshambulia Mh.Lissu na wasijulikane mpaka leo?
Ya Kagame na Museveni mnayajua ninyi labda MNA uhusiano ndo maana mnatolea mfano wa majitu katili. Kejeli sijui lakini matusi ni kosa la jinai na mkosaji ni wa kukamata na polisi na kufikjsha mahakamani siyo kuuwa au kuteka na kutesa.Kosa la huyo Mdude ni kushindwa kuelewa kuwa yule Rais mmoja anayemuona ni kiongozi wa taasisi ya urais.
Kamkejeli na kumdhihaki rais wa nchi kama vile anayemuongelea ni rais wa wasafi au yule Manzese.
Huwa napenda kujiuliza tu, unaweza kumkejeli Kagame ukiwa Rwanda halafu ukaendelea kuliona jua linatoka mashariki asubuhi?.
Unaweza kweli kumkejeli Museveni halafu utoke salama Uganda?. La kujifunza ni kupima unaandika nini mitandaoni.
gud! au kutembelea Nissan patrol ambayo haina plate number??Dotto C. Rangimoto,
..unafikiri green-guard au red-brigade wana uwezo wa kuondoa walinzi wa area D wanapoishi viongozi wa serekali na kumshambulia Mh.Lissu na wasijulikane mpaka leo?
Mkuu unajichanganya sana hadi hueleweki.
Unaleta siasa kwenye maisha ya binadam mwenzio?
Wewe mwenyewe umeanza kwa kuonyesha kwamba kauli za mdude ndio zilizomponza halafu mwishoni tena unasema kwa nini akitekwa mpinzani shutuma huenda TISS na polisi?
We Jamàa Ulisharudi CCM au Bado???
Kwa swala na MDUDE ni kazi ya Redbrigadia!