Mengi yuko photogenic kama Kikwete

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,850
155,800
165967_10150970358058620_1074590381_n.jpg
 
@bujibui mbona wewe ndo uko photogenic zaid manake kila saa avatar yako unaonekana?
 
Tukipata vijana we tend to look young...inanihamasisha kutafuta kijana ili niwe kijana tena,lol!
 
Tofauti ipo moja Mengi anaongoza kwa Mafanikio Makubwa Biashara zake huku mkuu hali ya uchumi ni dhofli taa bani
 
Dr, MENGI ana mengi ya kujifunza na kuiga, Natamani kuwa na moyo wa Imani alionao Mzee Mengi wa kujitoa kwa wengine. Utofauti na Kikwete Dr Mengi Husimamia anachoamini, anaongoza na kujenga uzalendo wa kujituma na kwamba kila mtu ana weza na Siku zote anaamini kufanya kazi kwa bidii na Maarifa utafanikiwa tena hatoi RUSHWA na HAPOKEI RUSHWA, MENGI ni alama ya WAZAWA waliofanikiwa bila upendeleo wa watawala wetu. GLORY TO GOD & BE BLESSED MENGI

Mwenye moyo wa imani hatoi kwa kujitangaza.
 
Kumbe Mengi pia ni Dr.? Naona umeandika Dr. Mengi. Huu Dr mtu unapata kwa kua na hela au..
 
Back
Top Bottom