Mlalahoi
JF-Expert Member
- Aug 31, 2006
- 2,182
- 883
I'm a bit confussed.Ina maana Warioba ametoa tamko jingine au hiyo post inahusu ile dhamira yake ya miezi kibao ilopita kuwa atampeleka Mengi na magazeti yake mahakamani?If the latter is the case,that's fine,ila kama ni threat mpya then itakuwa upuuzi coz as mwanasheria Warioba anajua vema zilipo ofisi za mahakama badala ya kuendelea kuchimba mkwara mbuzi.Kuna mwanasiasa flani aliwahi kusema kwamba pindi gazeti likitoa habari inayamini imekukashifu then huhitaji "kutangaza nia ya kwenda mahakamani".Just go if you dont want the paper kusahihisha habari hiyo.Kelele za nitakwenda mahakamani,nitakwenda mahakamani ni sawa na kutoa vitisho ili habari zaidi zisiandikwe.
Mwaka jana jarida la Africa Intelligence lilitoa tuhuma dhidi ya JK kuwa anafadhiliwa na Wairan kupitia kwa Rostam Aziz (ilidaiwa kuwa Iran walikuwa na interest na uranium inayosemekana kuwapo Bongo).JK akakurupuka na kudai atawapeleka hao jamaa mahakamani.Jamaa wakwamwambia JK hahitaji hata kupoteza muda wake kuwajulisha intention yake ya kwenda mahakamani bali yeye aende tu,watakutana hukohuko kwa vile wao wana ushahidi tosha.Kwani JK alikwenda mahakamani!
Actions speak louder than words,and repeated words about intending to take some actions tend to fuel more rumours than before.