Mengi VS Warioba

Status
Not open for further replies.

Mlalahoi

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2006
Messages
2,124
Points
1,500

Mlalahoi

JF-Expert Member
Joined Aug 31, 2006
2,124 1,500
I'm a bit confussed.Ina maana Warioba ametoa tamko jingine au hiyo post inahusu ile dhamira yake ya miezi kibao ilopita kuwa atampeleka Mengi na magazeti yake mahakamani?If the latter is the case,that's fine,ila kama ni threat mpya then itakuwa upuuzi coz as mwanasheria Warioba anajua vema zilipo ofisi za mahakama badala ya kuendelea kuchimba mkwara mbuzi.Kuna mwanasiasa flani aliwahi kusema kwamba pindi gazeti likitoa habari inayamini imekukashifu then huhitaji "kutangaza nia ya kwenda mahakamani".Just go if you dont want the paper kusahihisha habari hiyo.Kelele za nitakwenda mahakamani,nitakwenda mahakamani ni sawa na kutoa vitisho ili habari zaidi zisiandikwe.
Mwaka jana jarida la Africa Intelligence lilitoa tuhuma dhidi ya JK kuwa anafadhiliwa na Wairan kupitia kwa Rostam Aziz (ilidaiwa kuwa Iran walikuwa na interest na uranium inayosemekana kuwapo Bongo).JK akakurupuka na kudai atawapeleka hao jamaa mahakamani.Jamaa wakwamwambia JK hahitaji hata kupoteza muda wake kuwajulisha intention yake ya kwenda mahakamani bali yeye aende tu,watakutana hukohuko kwa vile wao wana ushahidi tosha.Kwani JK alikwenda mahakamani!

Actions speak louder than words,and repeated words about intending to take some actions tend to fuel more rumours than before.
 

S. S. Phares

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2006
Messages
2,141
Points
1,195

S. S. Phares

JF-Expert Member
Joined Nov 27, 2006
2,141 1,195
Mlalahoi

Huyo Warioba hana lolote...ujinga tu unamsumbua. Anachoniudhi zaidi ni kuendelea kuwafanya wTz wote ni wajinga kwa kutishia kwenda Mahakamani. Bob said; "you can fool some people, but can't fool all the people, all the time." Yeye anafikiri watu hawajui kuwa ule ulikuwa mpango wa kuchukua fedha kutoka BoT kwa mgongo wa wachimbaji wadogo.

Huko BoT nako mbona hakuna anayeulizwa kuwa wao walitoa hizo fedha kwa misingi gani maana kwa kiasi kikubwa mwenye dhamana ya kulinda pesa yetu ni wale wa BoT wao mbona hawaulizwi: Ilikuwaje wakajihusisha na huu mradi moja kwa moja. Ningependa kujua watajibu nini.

All said kiwanda chenyewe kinaanza au kimeshaanza kazi???

Editorial Comment: Mwananchi Gold: The truth shall set you free

We say this as we are reliably informed that even the CCM's Central Committee is yet to be informed about the venture - so unlike CCM. We know the ploy is to drag in CCM so that we get cold feet, but this CCM is not that of yesteryears. We invite Mwananchi Gold to closely watch the way its chairman walks his talk.

Today's CCM is even more dangerous...
 

Invisible

Robot
Joined
Feb 11, 2006
Messages
9,097
Points
2,000

Invisible

Robot
Joined Feb 11, 2006
9,097 2,000
Wiki iliyopita balozi wa Tanzania nchini Italia, aliyemaliza muda wake hivi karibuni, Profesa Costa Mahalu, alimshitaki Mengi, wahariri na waandishi wa magazeti yake kwa kashfa akidai fidia ya billion 12

Shitaka hilo la Profesa Mahalu lilikuwa ni la pili, likiwa limetanguliwa na lile la mfanyabiashara wa Dar es Salaam, Yusuf Manji, ambaye anamdai mengi SH. Billion 100 kwa kashfa ya magazetini.
Huyu Mengi atakuwa na hela nyingi sana. Bil 100, Bil 12, za Warioba kiasi gani vile?
 

Bulesi

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2008
Messages
7,553
Points
2,000

Bulesi

JF-Expert Member
Joined May 14, 2008
7,553 2,000
Field Marshall heshima mbele mkuu, sikupati vizuri unaposema Warioba ndio maana hakwena Elimu na Sayansi kwa Mahalu angekwenda kufanya nini? Nakubaliana na wewe kuhusu kujichanganya kwa Warioba; mara anamtetea Mkapa inspite of all his failings na huyo partner wake nae na kesi za ufisadi!! Mimi siku hizi inaniwia ngumu sana kumheshimu Warioba kama zamani kwani naona anacompromise principles kwa sababu ya urafiki. Kama ni mfuasi muumini wa yale alioyasimamia Kambarage hana budi kukumbuka alichosema kuwa '' Kiongozi asichanganye mambo ya nchi na urafiki, rafiki yako unamkaribisha nyumbani kwako kunywa chai basi!!"
 

Field Marshall ES

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2006
Messages
12,659
Points
0

Field Marshall ES

JF-Expert Member
Joined Apr 27, 2006
12,659 0
- Zamani nilidhani Warioba was for real, mpaka nilipopata info zake akijaribu kumtisha masikini balozi wetu mmoja huko majuu, kwamba ni lazima ubalozi umlipie mtoto wake rent, ndio nikamshitukia kua ni another joker tu kama wengine wote kina Makamba, ambaye amejengewa nyumba na Manji, pathetic!
 

Dash

Member
Joined
Jan 10, 2008
Messages
24
Points
20

Dash

Member
Joined Jan 10, 2008
24 20
http://www.thisday.co.tz/

THISDAY REPORTER
Dar es Salaam

A FORMER prime minister faces imminent prosecution on corruption charges as investigators are now reported to be winding up their probe into his alleged dubious business dealings, THISDAY can reveal.

The state-run Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB) is understood to be finalising a key investigation that could lead to the filing of criminal charges against the ex-premier over his links to a Dar es Salaam-based company.

The former premier at the centre of the ongoing investigation (name withheld for now) has been an outspoken anti-corruption crusader in the country.

Sources close to the investigation say the probe against the respected former head of government business in parliament focuses on his role in a controversial private company, which was formed long after his retirement from public office.

’’The ex-PM could be the next high profile suspect to appear before the Kisutu Resident Magistrate’s Court (in Dar es Salaam) on corruption charges,’’ an official familiar with the investigation told THISDAY.

’’Investigators seem to be quite convinced that there was some criminal wrongdoing on the part of the former PM in his involvement with the private company,’’ he added.

The private company linked to the former prime minister is also reported to have had dubious transactions with a ’’sensitive public financial institution’’ in the recent past.

Insiders say the former PM himself is well aware of the investigation and is ’unfazed’ by the prospect of being taken to court.

Several sources in Dar es Salaam’s legal circles confirmed that they were familiar with the pending prosecution of the retired top government leader.

’’There is a lot of whispering about the looming prosecution of this retired leader. If it actually happens, it will certainly go down in annals of history as one of the biggest corruption cases in Tanzania,’’ a Dar es Salaam-based lawyer told THISDAY.

Unlike presidents, the country’s constitution does not provide immunity to former prime ministers from prosecution on either criminal or civil charges.

According to latest THISDAY findings, authorities are also investigating other top government leaders -- both past and present -- on possible corruption allegations.

’’The PCCB has already officially written letters to some of these leaders, asking them to account for their unexplained wealth,’’ said one of our sources.

She added: ’’Most of these public leaders under investigation did not declare all their assets as required by law.’’

Officials say senior public officials, including retired government ministers and permanent secretaries, are also being officially investigated for their unexplained riches.

Lifestyle checks on several public leaders has uncovered massive undeclared cash in bank deposits, ownership of real estate property, shares in private companies and other assets.
 

Mwanjelwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2007
Messages
961
Points
195

Mwanjelwa

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2007
961 195
Mzee Rufiji,

Huyo mzee Magufuli, wabongo pole pole wameanza kumshitukia kama nilivyosema siku nyingi zilizopita kuwa hana tofauti na Keenja, kazi ya Billioni moja wao wataifanya kwa billioni Tano na kuwadanganya wananchi na viongozi wenzao wasiojua kitu kuwa ni wachapakazi hodari,

Mtu wa kwanza kunishitua kuhusu Keenja na Magufuli, alikuwa mzee Mkama, aliyechukua nafasi ya Keenja kule Halmashauri ndiye aliyenushitua kuwa hawa wawili ni magirini hawa, tena akanionyesha mpaka mahesabu ya Keenja, ambayo baadaye yalipelekwa kwa Mkapa, lakini hakuna hatua iliyochukuliwa maana Keenja ameoa nyumba moja na rafiki mkubwa wa Mkapa, mzee Sumaye!

Kuna mjumbe mmoja mpya wa kamati ya bunge ambayo zamani ilikuwa ujenzi, na sasa ni Miundombinu, anasema kuwa huko kuna ushahidi wa kutosha kuwafunga maisha mzee Mkapa pamoja na Magufuli, kwa hiyo pole pole utaona vitu vinatolewa mapaka atoke!
Ila na wewe! Kwa propaganda hauna tofauti na Msabaha, yule jamaa wa CUF aliyehamia CCm baadaye. NImekuvulia kofia mkuu
 

Mtanzania

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2006
Messages
4,818
Points
1,225

Mtanzania

JF-Expert Member
Joined May 4, 2006
4,818 1,225
Hakuna binadamu alie sawa. ila Jaji warioba sio corrupt.
Kwa Tanzania, ukifuatilia neno corruption to the letter, utakamata wanasiasa karibu wote.

Kuna mambo mengi wanafanya huku wakiamini ni haki zao lakini kumbe ni ufujaji wa mali za wananchi.

Kama Warioba amehusika, mahali pa kusafisha jina lake ni mahakamani. Hiyo kampuni yao ya Mwananchi Gold inanuka mazingira ya ufisadi.

Sasa bado hao wanaounguza mabilioni ya Watanzania kwa kisingizio cha kuja kutibiwa Ulaya. Ukifuatilia receipts wanazotoa ni wizi mtupu.
 

Utamaduni

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Messages
1,236
Points
1,500

Utamaduni

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2007
1,236 1,500
Huyu Mengi atakuwa na hela nyingi sana. Bil 100, Bil 12, za Warioba kiasi gani vile?
Mmmmh hela ngumu inv. kama Mengi akipatikana na hatia katika mashitaka hayo yakifika mahakamani na akaamriwa awalipe hao majamaa mabilioni yote hayo,,,,,, mimi nitamshauri aanzishe kiwanda cha kutengeneza hela, atengeneze hela kwa muda akimaliza kuwalipa akifunge ili asipate hasara...... but ikifeli hao watu wakitakiwa kumlipa yeye kwa atakuwa ameula...

lol
 

Calnde

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2008
Messages
1,373
Points
0

Calnde

JF-Expert Member
Joined Oct 7, 2008
1,373 0
- Zamani nilidhani Warioba was for real, mpaka nilipopata info zake akijaribu kumtisha masikini balozi wetu mmoja huko majuu, kwamba ni lazima ubalozi umlipie mtoto wake rent, ndio nikamshitukia kua ni another joker tu kama wengine wote kina Makamba, ambaye amejengewa nyumba na Manji, pathetic!

Mkuu Heshima mbele...
Sasa mbona jamvini wote wanaonekana hawafai!? Kaazi kwelikweli.Ningeweza kushauri muswaada maalumu upelekwe bungeni kwa ajili ya kuanzisha mahakamu maalumu 2.Moja iwe inasikiliza kesi za kudaiana fidia na ya pili iwe kwa ajili ya kusikiliza kesi za rushwa kubwa.Huko tuendako naona mambo ya nafumuka sana!
 

Calnde

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2008
Messages
1,373
Points
0

Calnde

JF-Expert Member
Joined Oct 7, 2008
1,373 0
Huyu Mengi atakuwa na hela nyingi sana. Bil 100, Bil 12, za Warioba kiasi gani vile?
Naona wanataka watajirikie kwake mkuu.Mbona kesi hawafungui?au upelelezi haujakamilika?Manake mpake watangaze nia ya kufungua kesi ni kwamba wanaushahidi sasa wanangoja nini?
 

Mtanzania

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2006
Messages
4,818
Points
1,225

Mtanzania

JF-Expert Member
Joined May 4, 2006
4,818 1,225
Inaelekea magazeti ya Mengi yamewashika pabaya mafisadi. Wanaanza kumwandama Mengi kwani yeye ndiye mhariri wa hayo magazeti?

Kama wamekashifiwa si mahakama zipo? Waende wakashitaki na kudai fidia.

Huyo Mahalu jela inamsubiri tu. Pamoja na kuhonga hizo pesa lakini hata mahakimu sasa wamejua ngoma imekuwa nzito.

Tunahitaji akina Mengi kama 1000 wengine.
 

Kigoma

Member
Joined
Jul 10, 2006
Messages
67
Points
0

Kigoma

Member
Joined Jul 10, 2006
67 0
- Zamani nilidhani Warioba was for real, mpaka nilipopata info zake akijaribu kumtisha masikini balozi wetu mmoja huko majuu, kwamba ni lazima ubalozi umlipie mtoto wake rent, ndio nikamshitukia kua ni another joker tu kama wengine wote kina Makamba, ambaye amejengewa nyumba na Manji, pathetic!
Mkuu.....kwa kawaida huwa nakuaminia sana.....ila kwenye hili...umekosea kabisa!
Jaji hajawahi kumtishia balozi yeyote kumlipia mwanaye...rent wala gharama nyingine yeyote...
Nafikiri hii ni mojawapo ya zile story za kijiweni.....
Ukimjua vizuri hayuko hivyo unavyomdhania kabisa......

Ahsante.
 

Field Marshall ES

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2006
Messages
12,659
Points
0

Field Marshall ES

JF-Expert Member
Joined Apr 27, 2006
12,659 0
Mkuu.....kwa kawaida huwa nakuaminia sana.....ila kwenye hili...umekosea kabisa!
Jaji hajawahi kumtishia balozi yeyote kumlipia mwanaye...rent wala gharama nyingine yeyote...Nafikiri hii ni mojawapo ya zile story za kijiweni.....
Ukimjua vizuri hayuko hivyo unavyomdhania kabisa......
- Mkuu Kigoma, kwa kawaida huwa ninakuaminia sana, ila kwenye hili inaonekana huna uhakika na unachokisema, maana ungekua na uhakika ungekua unajua kua Warioba ni mbia na Fisadi Mahalu, kwenye law firm, halafu ungekuwa unajua kua kwenye uchunguzi wa kamati yake ya rushwa hakuenda kumchunguza Mahalu kule Elimu na Sayansi,

- Mkuu wangu hivi umeyasikia ya Mwananchi Gold na Warioba au unakurupuka tu ndugu yangu? Hivi unafikiri ni kwa nini mtoto wake wa kike aliyekua akisoma majuu alirudi ghafla bila kumaliza shule?

Pole pole ndugu yangu kama huyajui ni kuuliza, hivi umesikia aliyoyafanya baada ya Yona na Mramba kutinga Kisutu, akihofia na yeye kutinga huko? Hana lolote mgombea wake Salim aliposhindwa urais akatukana sana kuwa rushwa imezidi, lakini Dr. Slaa alipotoa ile list ya aibu akasema ni kuligawa taifa, hana lolote huyu filimbi nyingi lakini na yeye Warioba ni fisadi aliyeshitukia wakati hana nafasi!
 

Field Marshall ES

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2006
Messages
12,659
Points
0

Field Marshall ES

JF-Expert Member
Joined Apr 27, 2006
12,659 0
Mkuu Heshima mbele...
Sasa mbona jamvini wote wanaonekana hawafai!? Kaazi kwelikweli.Ningeweza kushauri muswaada maalumu upelekwe bungeni kwa ajili ya kuanzisha mahakamu maalumu 2.Moja iwe inasikiliza kesi za kudaiana fidia na ya pili iwe kwa ajili ya kusikiliza kesi za rushwa kubwa.Huko tuendako naona mambo ya nafumuka sana!
- Mkuu wangu either wanafaa au hawafai ni uamuzi wa wananchi sisi hapa JF ni kuweka habari wazi tena mchana kweupe,

- viongozi wachache wasafi wapo sana bongo yetu, wapo kina Kaduma, Makweta, Kawawa, Salim, na wengineo wengi ambao hutawakuta na uchafu wa ufisadi hata kidogo, hata kule Sodoma na Gomora sio wote waliokuwa wachafu mkuu, kuna Mukulu Lot aliyekua clean!

I mean viongozi wa bongo wengi ni wachafu tena sana, lakini haina maana kuwa hatuna wasafi hata kama wachache, lakini wapo! na Warioba sio mmoja wao, huyu ni fisadi ingawa sio kwa large scale kama kina Karamagi na Lowassa!
 

WildCard

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2008
Messages
7,495
Points
1,250

WildCard

JF-Expert Member
Joined Apr 22, 2008
7,495 1,250
Kwa vile FMES ni shabiki mkubwa wa JSM (na AKM?) shutuma zake dhidi ya Jaji Waryoba hazishangazi sana. Labda nisaidiwe tu, Waryoba na Malecela walipishana wapi?
 
Status
Not open for further replies.

Forum statistics

Threads 1,391,237
Members 528,385
Posts 34,076,654
Top