Mengi: Natishwa


​Hujui usemalo ww kijana acha kutumika
 

Mkuu hapa jf kuna watu wanauwezo wakujua mambo ya ukweli na wasomi na kuna watu wapuuzi hawana kazi wapo hapa kupotosha watu..Huyu bwana Mengi ni muhuni mwizi anatumia vyombo vyake kupotosha habari...Jana mwisho bado anaongelea saga la escrow kwanini na bunge limeshamaliza kazi yake..Hakuna mtu anomtishia huyu kilaza wachaga ni majambazi
 

Ukiulizwa wewe na Mengi nani kilaza utajibu nini labda mkuu?? Akafu wachaga wanaingiaje hapa??
 
Unaweza kuwa na hela nabado ukawa kilaza tu

Nimeongelea wewe na Mengi sijaongelea pesa hapa. Au unafikiri ile degree ya Scotland alibahatisha?? First Tanzanian to have a CPA unadhani ni kwa bahati?? Unapojaribu kujenga hoja kuwa reasonable na usimtusi mtu, toa facts utudhibitishie Mengi ni mtu mbaya kuliko hao mafisadi wa escrow, epa, Richmond.

Pia, jitahidi kuepusha ukabila, wachaga majambazi sijui inaingiaje kwenye huu uzi
 
Mengi kaka yangu nakushangaa sana unavyowahi kusema kuwa "Unatishwa"
Kama ingekuwa ni kweli mara zote nne, ungetishwa tu? Si wangeshatekeleza vitisho vyao?

Tatizo lako kubwa litakuwa ufahamu, yaani uwezo mdogo wakupambanua mambo, nafikiri nikutokana na aina ya elimu na maisha, Hebu chukua mdawako kufikiri Zaidi, angalia kwanini Kuna vita baridi. Kwanini mahakamani kunavita ya maneno na vielelezo, angalia nguvu ya utafiti na matangazo, angalia kwanini Kuna kampeni, na kwa nini Kuna ma waidha na mafunzo, mafundisho.
 
Fikiri zaidi, Bunge limepeleka kwa Raisi na bado jambo hili linataka msukumo wa wananch hasa baada ya wawakilishi wao kusema tatizo lipo. Hii nchi ni ya wananchi na ndo wenye jukumu la mwisho kikatiba. Kama wewe umechoka, just let other work.
 

Waziri kijana anaitwa Adam Kighoma Malima alimtishia maisha kwa kujipa air time kubwa kwa tv yake kuliko Rais
 
Huyu mengi anaosema anatishiwa mbona yeye hasemi anatunyanyasa sisi na ardhi zetu huko tanga. namtafutia siku yake nimuanike watazania nao wamjue tabia .tapeli mkubwa huyo mzee. Hata wamuuwe wakiweza.
 
Fikiri zaidi, Bunge limepeleka kwa Raisi na bado jambo hili linataka msukumo wa wananch hasa baada ya wawakilishi wao kusema tatizo lipo. Hii nchi ni ya wananchi na ndo wenye jukumu la mwisho kikatiba. Kama wewe umechoka, just let other work.

Thinktz, uko sahihi sana, unajua kuna mijitu inayatetea mafisadi utafikiri imepewa milioni, kumbe vibuku saba tu. Nakuunga mkono kama unaona umechoka kutetea nchi kaa kimya,kwani unadhani bila kumpgia kelele huyu kilaza alieko ikulu anaweza fanya lolote. Ilitakiwa sasa hivi awe ameshawaweka wezi wetu wote pembeni kwa ajili ya uchunguzi wa kina anaodai anaufanya, lakini taarabu za bagamoyo tu mpaka sasa. Mijitu mingine bana bogus kabisa.
 
Watuachie mzee na Mwenyekiti wetu Dr. Reginald Mengi ndiye pekee mwenye uchungu na rasilimali za nchi hii. Ni mzalendo kamili.
 
Exactly mkuu mbona Baaresa hatumsikii akilalama hovyo kama huyu mheshimiwa?
 
Mzee na tamaa kawaonga Pac sasa anadai anatishwa,si atumie m.j.ni yake yamlinde
 
Sitaki hata niseme sana nimewahi kuishi dar nakufanya kazi kwenye taasisi za huyu mzee mengi jamani huyu mzee mwizi na mtesaji wa wanyonge pia ni fisadi sema hamjapata fulsa ya kumjua huyu siyo wa kutetea hafai kanisani wala msikitini.

kwa sababu wewe ni mvivu, muda wote upo jf kupiga udaku!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…