Mengi anaponzwa na tamaa zake na ubinafsi uliopitiliza.
Anataka watanzania tuumuunge mkono kila akiwa na ugomvi wake binafsi.
Suala la vitalu vya gesi Prof. Muhongo alishalitolea ufafanuzi wa kina kabisa, kuwa hakuna Mtanzania aliyenyimwa kumiliki vitalu, ila wafuate utaratibu wa kununua hisa TPDC.
Mengi ni mnafiki sana!
kwa mujibu wa gazeti la raia mwema, reginald mengi anasema maisha yake yako hatarini.
Hii ni mara ya nne mzee wetu huyu kudai maisha yake yako hatarini. Mara ya kwanza wakati akiwa katika mzozo na wamiliki wa dtv, mara ya pili wakati wa sakata la ufisadi na mara ya tatu wakati alipogombana na waziri kijana ambaye hakumtaja.
Serikali impe ulinzi mzee wetu.
sijawahi kuona serikali yoyote makini ambayo ni adui kwa wawekezaji wazawa kama serikali ya tanzania
mzee mengi ametukanwa na kudhalilishwa sana na baadhi ya watu wenye dhamana serikalini huku wakilinda kuwanyenyekea wageni.haiwezekani hata kidogo
pia ikifikia hatua mwenyekiti wa bunge la katiba ambaye ni waziri anatishia itv kwa kutekeleza wajibu wake ujue kuna serious hostility dhidi ya mmiliki wake
mbulaa!! acha na yeye ale'apo kitogo
Magazeti yako ICU, Radio One zilipendwa, ITV angalau, taja nyinginemzee wa nani huyo mnafiki,mpenda sifa na kuonewa huruma kama mtoto mdogo?kwanza anao uwezo wa kujilinda sababu ya nguvu zake za kiuchumi na uhusiano wake na ndugu zake wachaga walio kwenye vyombo vya usalama.akwende zake huko,anataka upendeleo umnufaishe yeye binafsi kisia baadaye awe anatupa makombo na kujisifia.tunachotaka si upendeleo ambao hautaza tija.aliwahi kuwa na waajiliwa zaidi ya asilimia 80 kwenye makupuni yake wote wakitokea kilimanjaro mpaka al4po7emwa sana na kuonywa!ebu kwanza tajeni biashara zake huyu tuone kama ana ujasiriamali wa mana sio ujanjaujanja wa kucieza na makaratasi.mkataba na coca umevunjika nasikia.
ZABURI 91:10-11... Atamlinda tu haitaji ulinzi wa mafisadi
Sure mkuu mengi ni mnafiki sana anataka upendeleo kwenye vitaru vya gesi halafu anajificha kwenye mgongo wa uzalendo eti ahurumiwe,inakuwaje mengi yeye ndiye mpiga majungu namba one eti leo atishwe huyu mzee fisadi sana hata afanye nini.mzee wa nani huyo mnafiki,mpenda sifa na kuonewa huruma kama mtoto mdogo?kwanza anao uwezo wa kujilinda sababu ya nguvu zake za kiuchumi na uhusiano wake na ndugu zake wachaga walio kwenye vyombo vya usalama.akwende zake huko,anataka upendeleo umnufaishe yeye binafsi kisia baadaye awe anatupa makombo na kujisifia.tunachotaka si upendeleo ambao hautaza tija.aliwahi kuwa na waajiliwa zaidi ya asilimia 80 kwenye makupuni yake wote wakitokea kilimanjaro mpaka al4po7emwa sana na kuonywa!ebu kwanza tajeni biashara zake huyu tuone kama ana ujasiriamali wa mana sio ujanjaujanja wa kucieza na makaratasi.mkataba na coca umevunjika nasikia.
Mbona hakuna aliyewakataza kukopa na kuweza sasa mengi anataka upendeleo gani kwanini asiende kukopa akawekeza kuliko kutwa anamsimanga muhongo! Mengi mnafiki na tapeli.km hufaham khs biashara ni vema kunyamaza, aliekuambia biashara lazma utoe cash uliyonayo ni nan? uwekezaj wwte mkubwa huwez toa pesa zk cash bal unakopa bank , ht Bill Gates hua anakopa bank japo ana utajr wa dolla bil 76 so ht wawekezaj wazawa waweza kukopa il wawekeze!
Sitaki hata niseme sana nimewahi kuishi dar nakufanya kazi kwenye taasisi za huyu mzee mengi jamani huyu mzee mwizi na mtesaji wa wanyonge pia ni fisadi sema hamjapata fulsa ya kumjua huyu siyo wa kutetea hafai kanisani wala msikitini.Kuna wakati mwanasayansi wa kimarekani aliwahi kusema akili zetu sisi watu weusi zinamatatizo (nafikiri anaitwa James Watson) unapoyaona matendo ya viongozi wa ccm na serikali yake the way wanavyo nyanyasa wafanyabiashara wa kizawa unashindwa kabisa kumbishia James Watson, wapo tayari kuona utajiri wa Tanzania wote unahamia nje ya nchi na wakawa happy but anapotokea mzawa, akawekeza kwa wazawa na faida ikabaki hapa hapa wanamchukia kweli kweli, linganisha matukio yafuatayo.
1. Bakheresa na ngano yako mwaka 1995 na unga wa ngano wa Mohamed enterprice (mliokuwepo enzi hizo mnakumbuka, ngano na Bakharesa ilimwagwa na Mo serikali ilibadiri mkemia mkuu wa serikali)
2. Mengi na vita vyake kwenye madini, vyombo vya habari linganisha na wawekezaji wa nje ya nchi.
3. Madini ya Tanzanite, Kenya na India kua muuzaji mkubwa kuliko anaeyachimba, Tanzania na ukimya wa serikali katika hilo.
Nakumbuka mwaka 1994 wakati wa kombe la dunia, wahindi wale wa CTN waliwahi kutishia hata kulipua viwanda vya huyu mzee pale Mikocheni but serikali ilikaa kimya kabisa; najiulizaga, hivi si tumelogwa? Wakoloni walikuja Africa kufanya walioyafanya kwa ajili yao na vizazi vijavyo hata baada ya wao kufa, viongozi wetu wanayajua haya buy why hawataki ku-practice?
Yaani reginald mengi ana habari nzito kama hii halafu inaripotiwa na gazeti la raia mwema? Nipashe, daily news na itv anazomiliki zimeenda wapi? Tusidanganyane
ukisoma kipande cha huyu jamaa unaweza kupata picha kuwa mengi wa hovy.Kwa mujibu wa gazeti la Raia Mwema, Reginald Mengi anasema maisha yake yako hatarini.
Hii ni mara ya nne mzee wetu huyu kudai maisha yake yako hatarini. Mara ya kwanza wakati akiwa katika mzozo na wamiliki wa DTV, mara ya pili wakati wa Sakata la ufisadi na mara ya tatu wakati alipogombana na Waziri kijana ambaye hakumtaja.
Serikali impe ulinzi mzee wetu.