Mengi: Natishwa

Kweli? Kwahiyo familia ya Sethi kwa sasa inaishi wapi?

sethi ni mkazi wa south africa (legal residence), ingawa ni kweli alizaliwa Iringa, na baadae akahamia kenya.
 
Tupo tuna mlinda hakuna wakumgusa nadhani.wanajuwa tutatumia Mitaji yetu kuwa adabisha hawatasahu milele ole wa adhania anaweza cheza na mzee wetu mengi patanuka

Nani kamtishia ? Una uhakika katishiwa? Huyo mzee sasa anazeeka vibaya, hii mbinu yake ya Miaka nenda Lundi ya kusaka Huruma za Watanzania kwa Ugonvi wake na kwa masilahi yake Binafsi kisha kusingizia anatishiwa maisha watu wamechoka nayo.
 

Huyo hana jipya bali ni mchochezi na mjenga chuki.
 
Ntakuwa wa mwisho kuamini kauli hii ya mzee Mengi kama ni kweli

Utaaminije, wewe si ndiye umemtishia.Mafisadi bwana,akilli zenu ziko visogoni.Damu na nyama za watu mlizokula sasa zinawachetua.
 
Mzee Mengi watu wa sasa ni Wajanja si kama wale wa Zamani ambao ulikuwa Ukisingizia Kutishiwa Maisha wanakuonea Huruma , Watu wengi sasa wanafahamu madhambi yako na mbinu zake za kuwatumia Wananchi kufanikisha Dili zako binafsi,sasa watu wamemshitukia nadhani sasa ni wakati wa Kujifunza kuwa Watanzania wamechoka kukuonea Huruma kwa mambo yako binafsi.
 
Utaaminije, wewe si ndiye umemtishia.Mafisadi bwana,akilli zenu ziko visogoni.Damu na nyama za watu mlizokula sasa zinawachetua.

Hivi unaamini kweli Mengi katishiwa maisha? Kwani Mengi ni Mungu kila analosema tuliamini? Tambua kuwa Boss wako Mengi kuwa naye ni Fisadi mkubwa, alikopa Mapesa NBC akaanzisha viwanda vya sabuni ya Komesha na revola, hakurejesha mkopo hadi NBC bank ikafirisika na kuokolewa na Uwekezaji anayo Madhambi kibao si Mtu Saafi kama wafuasi wake mnavyofikiri.
 

Mengi analeta Siasa za Maji Taka, anasaka Huruma za Wananchi kwa staili ile ile ya Zamani, hajui kuwa Wananchi wa sasa ni wajanja hawadanganyiki, Mengi bado ana Ndoto ya kuwa mgombea Binafsi hivyo anajifanyia promo.
 
Ulimboka...mwangosi..kibanda...kubenea..olasiti...mvungi...mwaikusa...mugimwa...mashambulizi ya tindikali

Umafia ushaingia danganyikaland hamuoni tu mnaleta dhihaka...
 
Taifa lililojaa vipofu,hawaoni,hawapendi wakwao wanaishia kuandika chuki zisizo na sababu.Kwani Mengi ni wakwanza kutishwa au kudhuriwa?,tumesahau ya Mkono na wengine wengi.Tunajitia upofu,kweli adui wa Mtanzania ni Mtanzania.
 
Taifa lililojaa vipofu,hawaoni,hawapendi wakwao wanaishia kuandika chuki zisizo na sababu.Kwani Mengi ni wakwanza kutishwa au kudhuriwa?,tumesahau ya Mkono na wengine wengi.Tunajitia upofu,kweli adui wa Mtanzania ni Mtanzania.

Mkuu unaamini kuwa Mkono alilishwa sumu? Sumu alishwe UK, daktari aliyeko bongo atoe dawa?
 
Kwa hiyo wewe una akili kuliko Mengi,nenda kakojoe ulale
 
Mtu akimgusa Mengi amegusa roho ya maskini na watu wenye mahitaji maalum na uchumi kwa ujumla. Mwacheni mzee wetu aishi kwa amani ndani ya nchi yake.
 
Katika post ndefu za kipumbavu kuwahi kutokea hapa JF hii ni namba moja... ---- ---- ----
Ni mpumbavu pekee ndie anaweza kusoma post ndefu wakati anafahamu ni post ya kipumbavu... karibu mpumbavu!
 
huyo mzee wako ni muongo na fisadi.
Ni mmoja wa walioifilisi benki ya NBC, anadaiwa mpaka leo hajalipa.
Unajua uovu wa huyo mzee ila kwa kuwa wote ni wachaga
umekuja haraka kumtetea
 
Waziri mwenye dhamana anapodai kuwa wawekezaji wa Tanzania hawana uwezo wa kuwekeza kwenye gesi hivyo wawekeze kwenye juice ,Matunda na Maandazi unalichukuliaje?

Mi nalichukulia poa! Kwann ang'ang'ania gesi wakati uwezo hana na hataki kufuata utaratibu wa kununua hisa?
 
Mengi analeta Siasa za Maji Taka, anasaka Huruma za Wananchi kwa staili ile ile ya Zamani, hajui kuwa Wananchi wa sasa ni wajanja hawadanganyiki, Mengi bado ana Ndoto ya kuwa mgombea Binafsi hivyo anajifanyia promo.

Akagombee kwao moshi. Nani amchague kikongwe wa miaka 91 usawa huu?..
 
Uliona wapi serikali yenye akili duniani ikifanya hivyo kwa wawekezaji wazawa kwenye mhimili muhimu wa uchumi wa nchi?
Mashirika mengi makubwa ya utafutaji na uchimbaji mafuta ni ya serikali lakini Mengi anapotaka serikali isijihusishe na badal yake kazi hiyo waachie wao ndipo watu wanapopata shaka juu ya nia ya mzee huyu coz' tukubali au tusikubali akina Mengi hawana mtaji wa kutosha wala teknolojia ya kuendeshea shughuli hizi. Kwa mijubu wa Forbe, utajiri wa Mengi upo around $ 550 million katika mazingira kama hayo kuitaka serikali isijihusishe na suala la uchimbaji na utafutaji wa mafuta ni kutaka kuwafanya akina Mengi wawe wamiliki wa 20% ya kampuni za mafuta huku 80% ikimilikiwa na wageni hao hao ambao akina Mengi wanataka kutuaminisha wakiachiwa wao basi uchumi wa mafuta utakuwa mikononi mwa wazawa!!!

Let's call a spade a spade, Mengi na wenzako hawana uwezo huo na wakiachiwa watabaki tu kumiliki sehemu ndogo ya hisa huku asilimia kubwa ikimilikwa na wageni. Anayefahamu biashara za wazawa wa nchi hii wanajua wazi kwamba nyingi ya biashara zinazoitwa za wazawa major shareholders ni wageni... Mengi angekuwa ni kweli mzalendo anayetetea maslahi ya wengi asingepinga suala la TPDC kuplay roles kama ambazo zinakuwa played na taasisi kv petrobras and th lik! Ningemuona mzalendo wa kweli endapo angeshauri nini kifanyike ili TPDC ifanye kazi zake kwa maslahi ya Watanzania na nini kifanyike kuepusha ufisadi wa kutisha ambao unainyemelea nchi hii pindi uzalishaji utakapoanza!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…