Mengi: Natishwa

Uliona wapi serikali yenye akili duniani ikifanya hivyo kwa wawekezaji wazawa kwenye mhimili muhimu wa uchumi wa nchi?
Huko US ambako ubepari ndiko umezaliwa, Obama anatoa incentive kwa makampuni ya nyumbani kwake. Kuna protection ya wawekzaji wa nyumbani dhidi ya makampuni ya nje.

Japan kila asubuhi wanaangalia wazawa na makampuni yao wanafanyaje
Sisi tunawaambia wakauze juice na maandazi.

Wakati mhongo anasema hayo, tayari ana account kwa ajili ya kupokea makampuni Hewa kutoka nje.
Yaani ili uwe na uwezo lazima uwe na rangi tofauti na nyeusi.

Wanaamini kuwa Dangote anaweza, mengi hawezi.
 
Mzee huyu hawezi kusema uongo!Apewe ulinzi.

mbona sisi tumeajiri wamasai wanalinda majumbani kwetu. kama anawasiwasi awaajiri kk au g4s wamlinde. pia anaweza wasiliana na mbowe akampatia mlinzi kama alivyofanya kwa dr.slaa.
 
Kama ni mzalendo arudishe maeneo ya madini anayoshikilia ili wachimbaji wadogo wadogo wanufaike.mengi si mzawa ni mbinafsi....alitaka kuzuia kombe la dunia lisioneshwe kwa kuwa itv ilinyimwa haki ya kuonyesha!alipiga vita tbc mpaka wakaacha kuonesha ligi kuu ya uiengereza...mnafiki sana anadanganya umma kuwa utajiri wake ulitokana na kalamu kumbe ni ufisadi wa taasisi mbali mbali za serikali wakati huo ikiwamo kuua stamico na kujimilikishia maeneo yeye na wtz wengine wenye asili ya kiasia
 
Nani Kamtisha Mengi? Aache kudanganya Watu hii mbinu yake ya Kusaka Huruma toka kwa Wananchi huwa anayo toka Zamani, Mengi huwa akiona kafanya jambo kisha likawa Gumu kutekelezeka hukimbilia kwenye vyombo vya Habari kusaka Huruma za watu, wajanja wamezinduka sasa wanamjua kuwa naye ni Mpigaji Na Dalali wa Vitalu nk, lakini wapo wengine bado hawajamjua vyema na hao ndiyo watetezi wake, Kafulila , Sendeka na Zito amewalipa Mabilioni ili wamsaidie kumng'oa Mhongo huku wafanyakazi wake akiwalipa mishahara midogo tena kwa kuchelewa. Msimwamini huyo Mzee hakuna Mtu anayemtishia bali Kabuni mbinu ya kusahaulisha watu mbinu zake kisha watu wamwonee Huruma.
 
atueleze makosa yake mpaka awe anatishwa ili tujue kama linauzito
 
Pia aliifirisi NBC bank kwa kukopa kisha akachoma ushahidi, huyo Mzee ana Madhambi Mengi sana , Watanzania wa sasa si wale wa Zamani hawadanganyiki kirahisi hivyo.
 

Mengi huwa anasaka Huruma za Watu kwa Hoja nyepesi tena kwa masilahi yake binafsi anakaa na kubuni mbinu ya kuteka Akili za Wananchi ili Wasahau Mapungufu na kumwonea Huruma.
 
Pia aliifirisi NBC bank kwa kukopa kisha akachoma ushahidi, huyo Mzee ana Madhambi Mengi sana , Watanzania wa sasa si wale wa Zamani hawadanganyiki kirahisi hivyo.

halafu anashadadia escrow kumbe naye ndio balaa zaidi afadhali escrow ina ushahidi bora kizuizini warudishe
 
Sethi ni Mzaliwa wa Iringa, sio mgeni wa Nchi hii!

Ni kweli kabsa huyo singasinga ni Mtanzania harisi alizaliwa iringa na kukulia hapo kabla ya kwenda kenya na South Africa.
 

Nguruvi3 ,

Exactly,Hatujifunzi hata kupitia sera za wengine.Tumekosa Uzalendo,Ubunifu na Uadilifu tu katika maamuzi
 
Last edited by a moderator:
halafu anashadadia escrow kumbe naye ndio balaa zaidi afadhali escrow ina ushahidi bora kizuizini warudishe

Ngugu yangu hapa Tz hakuna aliye Msafi kiasi cha Kumnyooshea mwenzake kidole, Huko kwenye Upinzani Ruzuku huwa zinaishia makao makuu tu, Matawini hazifiki, pia napo escrow imefika japo ni kwa Siri ndani ya mifuko ya Rambo,huku Sendeka, kafulila wakivuta za Mengi na mkono, mwenzao Zito alivuta Pande zote huku na huku,lakini Sethi alimpa kidogo akaamua kuegemea kwa Mkono ambaye ni Rafiki yake Mkubwa, Nchi hii kila kona ni Mwendo wa Kupiga ana Rushwa,Watumishi wengi wa Umma wanaishi kinyume na Vipato vyao harisi, na Siku itokee kila kiongozi achunguzwe sidhani kama yupo atakayepona.
 
Uliona wapi serikali yenye akili duniani ikifanya hivyo kwa wawekezaji wazawa kwenye mhimili muhimu wa uchumi wa nchi?

Serikali zenye akili zote zinafanya hivyo. zinaangalia mapato kwa serikali sio kwa watu wachache mfano Norway with statoil, feel free kuangalia mafanikio ya system hii. Serikali zisizo na akili zinazotumia system ya "uzawa" ni kama Nigeria na Angola, again feel free ku-assess how that system has benefited the majority compared to how it has benefited few families za "wazawa".
 
Tupo tuna mlinda hakuna wakumgusa nadhani.wanajuwa tutatumia Mitaji yetu kuwa adabisha hawatasahu milele ole wa adhania anaweza cheza na mzee wetu mengi patanuka
 

Mengi analeta Siasa za Maji Taka, anasaka Huruma za Wananchi kwa staili ile ile ya Zamani, hajui kuwa Wananchi wa sasa ni wajanja hawadanganyiki, Mengi bado ana Ndoto ya kuwa mgombea Binafsi hivyo anajifanyia promo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…