Mengi na Kylin katika ubora wake

Yaani mahaba mchinjechinje kisha mning'inize wenye wivu tulie tuu kama huna pesa shauri yako watoto wako kibao.
 
Hahahaaa team nifah . Hautaki kuwa bosslady wa Jf?
Sio mimi tu, hakuna mwanamke asiyeutaka u boss lady.Ila kama source yenyewe ndio hii ya vibabu....inakua ngumu kumesa!
Bora ni fight mwenyewe hata nikiwa na starlet sitojali.
 
Last edited by a moderator:
Sio mimi tu, hakuna mwanamke asiyeutaka u boss lady.Ila kama source yenyewe ndio hii ya vibabu....inakua ngumu kumesa!
Bora ni fight mwenyewe hata nikiwa na starlet sitojali.

Nimekuelewa sana.
 
WHAT IS BETTER THAN MONEY.?

KLYN ndo bilionea wa kwanza wa kike hapa bongo,miaka miwili mitatu ijayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…