Mengi: Manji anatoa wapi kiburi na ujasiri?

Kama ndio hivyo acha Bwana Pombe awakomeshe tu tuone hivyo viburi vyao viatishia wapi!
 
Sasa hivi kaiweka Chadema yote mfukoni mwake, huyu ni mmoja wa wanamikakati wa lowassa ambaye ndiye anayewalipa pesa kuleta propaganda mitandaoni. Aiiibu, aibu yako ..........hata wewe?
 
Unasemaje leo kwa Magufuli kuhusu Manji?
 
Sasa hivi kaiweka Chadema yote mfukoni mwake, huyu ni mmoja wa wanamikakati wa lowassa ambaye ndiye anayewalipa pesa kuleta propaganda mitandaoni. Aiiibu, aibu yako ..........hata wewe?

Ufipa akili ndogo Sana.
 
asante sana jamii forum......
maana kuna watu wamegeuka kauli zao wanaona kama chalii anaonewa sana na ni mtu asiyekuwa na hatia..
na hii ilikuwa 2008..
 
W
Wafadhiri wa chama tawala wameanza kusomeshwa namba za kirumi!
 
Sasa hivi kaiweka Chadema yote mfukoni mwake, huyu ni mmoja wa wanamikakati wa lowassa ambaye ndiye anayewalipa pesa kuleta propaganda mitandaoni. Aiiibu, aibu yako ..........hata wewe?
Huyo BAK mrija wa aibu ulishakata, ni mnafiki Kubenea na Kipanya wakasome
 
Sasa hivi kaiweka Chadema yote mfukoni mwake, huyu ni mmoja wa wanamikakati wa lowassa ambaye ndiye anayewalipa pesa kuleta propaganda mitandaoni. Aiiibu, aibu yako ..........hata wewe?
Acha kuwa kama umerukwa na akili!ukwekukweli mnaujua kabisa Ya nani alikuwa anampa kiburi Manji na hao wakuu wawili waliyomaliza muda wao ndy alikuwa anapiga nao deal sasa Nenda lushoto na msga kawauliza wale mabwana wawili waliyokuwa wanamkimbia kifua manji....nyie lumumba mtaacha lni unafki

Ova
 
Mkuu Gembe, hatimaye sasa jeuri ya Manji imeanza kuyeyuka.

Alikuwa ni 'untouchable' aliyeinunua serikali kwa muda mrefu sana.

Angalau sasa Mh Rais Magufuli is doing the needful!

-Kaveli-
 
Sasa hivi kaiweka Chadema yote mfukoni mwake, huyu ni mmoja wa wanamikakati wa lowassa ambaye ndiye anayewalipa pesa kuleta propaganda mitandaoni. Aiiibu, aibu yako ..........hata wewe?
Acha uzushi wewe! Manji bado ni mwana ccm wenu ila kapishana tuu na Mkulu nanyi kama mazombie kila asemacho sizonje huwa mnaunga mkono. Nadhani ukimkuta sizonje anamtukana mama yako bila sababu nawe utaongezea matusi ili mradi tuu afurahi. Ni kama kawalisha limbwata.
Sisi hatukatai kuwa Manji ana makosa mengi sana na anastahili kushughulikiwa kwa mujibu wa sheria, ila hatutaki kubambika bambika kesi kwa njia ya kukomoa ambazo kesho na kesho kutwa zinakuwa sio kesi bali porojo tuu.
BTW ile kesi yako ya kule ya kutwangwa ngumi moja na watu nane inaendeleaje? Stress zinakusumbua sana bibie? Tafuta tiba kwetu utaipata bure.
 
Huyo BAK mrija wa aibu ulishakata, ni mnafiki Kubenea na Kipanya wakasome
Muliza yule aliyetuita malofa na yule aliyesema pesa zile za @@@ syo za umma wao watakupa ukweli wote na imani mpaka sasa wako hoi

Ova
 
Siku hizi mnamtetea bwana Manji, nyie watu wa ajabu sana, si ajabu 2020 mkampa nafasi ya kugombea uraisi kupitia Chadema
 
Mkuu huwezi amini saivi wanaomtetea manji aliemtukana mstusi ya nguoni Mheshimiwa Ndesa Mburo R.I.P ni wanachama wa Chadema japo na mimi ni mwanachama lakini nashangaa sana huu uzumbukuku wa hawa wenzetu.
Nadhan ni kwa upenzi wao na yanga na si chadema, chadema itakuwa inaangalia zaidi haki ya Manji kama binadamu na si kama kada wa CCM. In short CCM mkilaluana Mimi km pro chadema furaha yangu ni zaidi ya kifani
 
Nafikiri ni vizuri tukimjua huyu Manji in details! Most of the things i hear about him are like town gossips lakini sina uhakika yeye ni nani haswaaa....
please...

You dont have to look far to knw manji..angalieni board of directors ya NSSF..Link it to the present cabinet...mtamjua manji anatoa wapi kiburi!
 
It worth reading
 
Sasa kwa misukosuko hii inayomkumba Manji hivi sasa biashara na madili ya wale wastaafu wawili waliokuwa wakubwa sana nayo si ipo ktk hali tete?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…