Mkuu,
Kiburi cha Manji tumempa sisi wenyewe, Waswahili ambao kupitia ufisadi
tumemwachia achume atakavyo. Utajiri uliokithiri kupitia njia za mkato huwa unaongeza kiburi mno.
Tuliwalaumu mababu zetu kuuza nchi kwa pipi na gobore? Hawa viongozi wetu wa sasa wanauza nchi kwa bei poa kuliko hata wale mababu zetu.
Mtu kama Manji, kwanini asidharau Watanzania baada ya kuona yeye anatajirika kwa cost ya wananchi wetu wengi?
Hatuna wa kumlaumu zaidi ya ndugu zetu ambao wamejifanya vikaragosi vya Manji shauri ya pipi anazotoa.
Kweli kabisa Mtanzania,
Kiburi cha Manji kinatokana na wale wanaomtetemekea na "kumpa mabusu" kama wamelaaniwa vile. Sasa hivi ana mtu wake wizara ya fedha na kwenye ukatibu na ngazi ya juu ya uongozi wa chama yeye ni nani asiringe?
Grrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
...Mimi sina ubaguzi wa rangi ila kwa kweli hawa watu wenye ngozi ambayo sio nyeusi hawana huruma kabisa na nchi hii
...Kama mtakumbuka Mkapa alivyoingia ikulu alisema hataki urafiki na watu wa rangi ile, sio kwamba alikuwa anawabagua bali alijua ni watu hatari san[/COLOR]
...Anza kuhesabu kila kona utakuta watu wenye rangi fulani ndio wanaongoza kwa kuwapa rushwa wakubwa wa nchi hii...Angalia deal zote kubwa kwenye nchi hii name it
.. Radar, Ndege ya Rais, Richmond, Dowans, Kwenye majumba yetu ya NHC, utaona ukweli.
Anaempa kiburi huyu bwana mdogo ni Utawala wa nchi hii. Simple
ila bado tunajiuliza nani anayempa kiburi Manji,Je ni huyu aliyempiga Mabusu tu au kuna Mwingine juu ya mengi.
Na hii tabia ya Mzee Mengi kulia lia kama mtoto ameitoa wapi,kama anaona anaonewa kwanini asiwataje hao ambao wanampa kiburi Huyu kijana kuliko kutoa Speculation tu ?
Kiburi chake kinatoka mbali sana. Ila kwa jinsi ninavyofahamu mimi naona huenda jamaa ana siri-kali ya Jamhuri ya Muungano katika mfuko wake. Hakuna wa kumgusa maana jamaa ana ulinzi wa kutosha juu ya pesa alizonazo.
Na pia kuna kitu cha kushangaza pale alipokuwa akiandikwa kwa mabaya ya kuihujumu siri-kali na kununua kiwanja cha waislamu. Hakuna mtu wa serikanli aliyenyosha mkono kumkamata na wala hakuna aliyejaribu hata kufuatilia undani wa habari zenyewe ili kujua kama ni uzushi au la. Cha zaidi ni kwamba aliendelea kupata mialiko IKULU (mahali patukufu) kwa ajili ya kula neema ya watanzania.
Jamani watanzania tumezidi kwa unafiki!! Nataka kuwauliza wa JF eti Rostam kosa lake nini!!kwani kuna ubaya gani kujitetea kupitia kadamnasi?arafu kwani yeye ni FISAdi au mtuhumiwa? mimi nawashanngaa hao wanaojihitawahumini wenye dhambi lukuki kama mf.Mchungaki C.kujiweka mstari wa mbele kupiga kelele...Kwanza huyo mchungaji tumeshapewa nyeti kwamba Upstairs....so hatusumbui.Hawa wengine nao waliotoka mikoani wameshindwa kuwahamasishwa waumini wao wamrudie mungu kwa kupunguza makosa yao na kuwasaidia Maskiniwanakuja huku kupiga kelele kwa kumlaumu mtu anaetetea nafsi yake.Mbona wameshindwa kuandamana kwa mengi mabaya yanayofanywa na viongozi wao wa dini kama UFISDi na kugombea madaraka haya ya KANISA hilo!Please mumuache ROSTAM kwani naye ana haki ya kujitetea.Ebo!!!