Mengi kusomewa albadiri Dar es Salaam

Mengi kusomewa albadiri Dar es Salaam

Hatimaye Prof. Sospeter Muhongo ameamua kujihuzulu.
 
ha ha ha ha ha ha

ha ha ha ha ha ha

Mengi kaaga kwao moshi

halafu kusema Mengi amemchafua ni kutafuta kick kupitia kwa Mengi kwani Mengi si mwandishi wa habari na sijui huo ulozi anamfanyia nani

all in all kwanini utumie ushirikina kudai chako ??

Mil 49 ni nyingi labda hana

shehe wa musoma nae katangaza kumsomea abadr mengi kwa kumshambulia mtoto wao muhongo. safari hii mengi hachomoki.
 
Chanzo cha habari yako ni kipi??

Hata hivyo kwenye uislam HAKUNA KITU KINACHOITWA ALBADILI AU DUA YA ALBADILI

ETI UMSOMEEE MTU AGEUKE CHIZI AU AFE,,HUO NI UHUNI NA USHIRIKINA KAMA ULIVYO USHIRIKINA MWINGINE TUH

UISLAM NI DINI SAFI ISIYOAMIN NGUVU YA UCHAWI WALA MASHETANI

Wewe ni muislamu maandazi hauko kwenye inner circle. baki hivyo hivyo.
 
hichi kizee kipumbavu sana,kwanz co mtanzania n mkimbizi toka yemen naye kaja nchin anajifany anapaza sauti
hichi kizee ndo kilimotivate watu wasusie sensa,nw kinà mtisha mtz mzalendo na uchàwi wa kislam
 
Habari imetoka kwenye moja ya vyombo vyake vya habari,kwani yeye ndio aliyeitoa? Huyo sheikh hana tofauti na kipozeo.

hivi una mjua shehe kipozeo au una msikia tu? tafadhali bwashehe! kipozeo ni habari nyingine sheikh wangu.
 
mil 49! si mchezo kama ni kweli hiyo pesa ni halali kumdai basi dua itajibu lakini kama kuna mazingira ya dhuluma, uongo na chembechembe za kujinufaisha. potezea shekhe!

Huyo "mungu"(?) anayedhuru ni wa ajabu kweli, na hicho kitabu cha kusoma na kudhuru ni cha shetani
 
... Amesema, madai ya fedha dhidi ya Reginald Mengi yanafuatia kumalizika kwa kesi ya kashfa dhidi ya chombo cha habari kinachomilikiwa na moja ya makampuni ambayo Mengi ana hisa...
Kwa nini anataka amroge Mengi tu, lakini wanahisa wengine hawarogi?
 
Huyo "mungu"(?) anayedhuru ni wa ajabu kweli, na hicho kitabu cha kusoma na kudhuru ni cha shetani

acha umburula wewe kwenye uislam hakuna kitu albadir, unafahamu nini kuhusu sodoma na gomora, nuhu alitengeneza safina ya nini?
 
ha ha ha ha ha ha

ha ha ha ha ha ha

Mengi kaaga kwao moshi

halafu kusema Mengi amemchafua ni kutafuta kick kupitia kwa Mengi kwani Mengi si mwandishi wa habari na sijui huo ulozi anamfanyia nani

all in all kwanini utumie ushirikina kudai chako ??

Mil 49 ni nyingi labda hana

Hapo yalipopelekwa mashtaka wameona mengi kashindwa ila wewe pangu pakavu unahukumu mengi kasingiziwa..wabongo bwana...acheni ushabiki makopo.
 
Hata mimi sijaamini, Sheikh Basaleh si mtu wa vitisho kama ninavyoviona katika taarifa hii isiyo na chanzo chochote.
Na vipi kuhusu hili suala la Al Badir, ni kweli liko kwenye dini, au ni shirki tu kama nyingine? Shukrani sana.
Ova

albadir ni shirki kama shirki nyingine tu, uislam hauna kitu kinachoitwa albadir
 
pia hili nishawahi sikia albadili haisemwi unaenda kusoma moja kwa moja

ila swali ni je hicho kitu kipo?????UKIACHANA NA STORY YA MLETA MADA AMBAE YAWEZEKANA KAAMBIWA

JE ALBADILI IPO NA INAFANYA VIPI KAZI?

albadir ni ushirikina tu haipo kwenye mafundisho ya uislam kabisa, kuhusu kufanya kazi siwezi sema sana kwani wewe unafahamu kuhusu uchawi na unajua unafanyaje kazi
 
Amekashfiwa ....
Kwenye chombo cha habari....
Kwa maana nyingine kuna mwandishi aliyeandika...
Pia kuna mhariri................................................................
Kuna kampuni inayochapisha na wanahisa wengine..........
Ameonekana MENGI TU.?!,,

mbona hudai chanzo cha habari hii?
 
Albadiri ni faraja kwa wajinga tu.

Labda mseme mtamlipua kwa suicide bomber.

Kama albadiri inafanya kazi wanisomee mimi niliyesema mungu hayupo.

Waarabu wangeisomea Marekani na W. Bush. Hakuna kitu inaitwa Albadili. Ni uchawi na ushirikina.
 
Huyo "mungu"(?) anayedhuru ni wa ajabu kweli, na hicho kitabu cha kusoma na kudhuru ni cha shetani

Mungu ana dhuru na ndiye aliyeangamiza Sodoma na Gomora na gharika ya Noah !
Ni mungu wa msalabani tu ndiye asiye dhuru maana yeye mwenyewe alipigwa. Nyakageni
 
Last edited by a moderator:
Waarabu wangeisomea Marekani na W. Bush. Hakuna kitu inaitwa Albadili. Ni uchawi na ushirikina.
bila kumsahau Bw. Salman Rushdie, hakuna cha albadir wala nini, huyo ndg asema atamfanyia uchawi Mr.Mengi basi. Ila asimsingizie Mungu muumba wa Mbingu na Nchi na vyote vilivyomo. Mpaka fatwa ziliwahi somwa na hao jamaa lakini mpaka leo watu bado wanakula sembe kiulaini. ACHENI UCHAWI HAUJENGI TAIFA
 
Back
Top Bottom