Mkuu wa chuo
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 7,625
- 5,341
Ngojea tumuite Native Doctor Bill Cosby atoe maelezo zaidi... maana yule mwenzake ( Native) Dr kahtaan simuoni...
Last edited by a moderator:
Albadiri ni moja ya majini katili yanayopatikana kwenye lango la kuzimu la Bagamoyo
Mbulula wewe, ujinga wenu ndio umaskini wenu, mlidanganywa kuhusu al badili mkaaminishwa ujinga na kwa sababu mnaogopa sana kufa mmekuwa watumwa wa al badili, katika uislam hakuna kitu kinaitwa al badiri, neno al badiri katika uislam limekuja katika vita vitakatifu vya Badr ndipo lilipatikana neno al badir, Sasa kwa akili yako mtu atafanya nini akudhuru kwa hiyo al badir? Hii kitu haipo kabisa huo unaitwa ushirikina kama ushirikina mwingine
kwa hiyo mkuu katika ushirikina wa albadir kitabu wala aya zake wala jina la mtume halitausishwa ?
kwa hiyo mkuu katika ushirikina wa albadir kitabu wala aya zake wala jina la mtume halitausishwa ?
Albadiri ni faraja kwa wajinga tu.
Labda mseme mtamlipua kwa suicide bomber.
Kama albadiri inafanya kazi wanisomee mimi niliyesema mungu hayupo.
never! ni sawa na hawa maaskofu wanaowapa watu utajiri huku wameshika bible na kuwapa mistari lakini kumbe huwa wanafanya yao
Wale wachungaji ambao huwa wanatumia jina la yesu kuwatapeli makanisani kwa hiyo yesu anahusika na huo wizi?
Nyinyi mnatapeliwa na waganga njaa wanaotumia kila njia kujipatia wanachotaka haijalishi jina la nani, hakuna sehem mtume kafundisha kuhusu kusoma al badir
THE BIG SHOW unajua maana ya chanzo au umesikia mtu kauliza hilo swali nawe unalirukia tu?
FaizaFoxy yaruhusiwa hii?
Huyo shehe si asome hiyo albadiri ili awe tajiri kumzidi mengi, kwani nani anapenda umaskini?
Ngojea tumuite Native Doctor Bill Cosby atoe maelezo zaidi... maana yule mwenzake ( Native) Dr kahtaan simuoni...