Mambo Jambo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2008
- 1,100
- 83
amezungumza haya wapi ?
Mkurugenzi mtendaji wa IPP Bw Reginald Mengi amewaponda Jeshi la Polisi, Takukuru, kamati ndogo ya usalama wa taifa kwa kumuhoji na kumwagiza apeleke ushadi juu ya mapapa aliowataja katika kituo chake cha Tv cha ITV, vile vile amewaponda Sophia Simba kwa kumkejeli kuwa amechemka na Bw Mkuchika kwa kumuita kuwa ni racist, amehoji ni nani yuko juu ya sheria baada ya waziri mkuu kutoa tamko la kwamba mahakama iachiwe ifanye kazi yake.
Habari kwa ufupi.
MJ
Huyu jamaa hajakoma kupayuka.
Analo analolitafuta, asubiri tu atalipata.
Taarifa ya habari ya ITV saa mbili jioni leo 31/05/09.Akiwa kijijini kwao Machame.amezungumza haya wapi ?
Mkurugenzi mtendaji wa IPP Bw Reginald Mengi amewaponda Jeshi la Polisi, Takukuru, kamati ndogo ya usalama wa taifa kwa kumuhoji na kumwagiza apeleke ushadi juu ya mapapa aliowataja katika kituo chake cha Tv cha ITV, vile vile amewaponda Sophia Simba kwa kumkejeli kuwa amechemka na Bw Mkuchika kwa kumuita kuwa ni racist, amehoji ni nani yuko juu ya sheria baada ya waziri mkuu kutoa tamko la kwamba mahakama iachiwe ifanye kazi yake.
Habari kwa ufupi.
MJ
Huyu jamaa hajakoma kupayuka.
Analo analolitafuta, asubiri tu atalipata.
.....kwenye kipindi maalum ITV.amezungumza haya wapi ?
Mbona kwenye habari hiyo hapo juu hakuna pahala aliposema JK ni rafiki yake mkuu? Ama macho yangu?
Mengi na yeye kenda jiosha kwao kama walivyofanya wenzie Lowassa na Chenge....bwa ha ha ha ha aaa..
... Mzee wa sauti ndogo sauti kubwa!