Meneja wa bwawa la Mtera akanusha bwawa hilo kupungua maji

JE RAIS WETU MAMA SAMIA ATAWEZA KUUNYOOSHA HUU MSTARI?,MAMBO YAKAA SAWA?,MWOGOPENI MUNGU.
Pole mama samiah suruhu hassan,suala hili ni Padua kichwa,labda lengo ukwame hapo baadae.
 
picaaa.jpeg
 
Ili kuondoa mzizi wa fitina, Meneja arushe picha tuone bwawa lina maji kiasi gani.

Kwenye bwawa kuna kile kifaa kinachoonyesha maji yako kina gani.
 
Meneja wa bwawa la Mtera akihojiwa na mwananchi digital amekanusha kuwa bwawa hilo lenye uwezo wa kuzalisha megawatt 80 limepungua maji hivyo kupelekea mgao wa umeme nchini.

Meneja huyo amesema bwawa hilo bado lina maji mengi kiasi kwamba hata mvua isiponyesha kwa miezi saba ijayo bado wataendelea kuzalisha umeme kama kawaida.

Duh, Dunia simama nishuke aiseeeee. Hizi tiktak mbaya mnooooooooooooooooooo
 
Meneja wa bwawa la Mtera akihojiwa na mwananchi digital amekanusha kuwa bwawa hilo lenye uwezo wa kuzalisha megawatt 80 limepungua maji hivyo kupelekea mgao wa umeme nchini.

Meneja huyo amesema bwawa hilo bado lina maji mengi kiasi kwamba hata mvua isiponyesha kwa miezi saba ijayo bado wataendelea kuzalisha umeme kama kawaida.

Kwa hiyo yule jamaa amedanganya wananchi kama alivyodangaja uwepo wa mafuta!
 
Meneja wa bwawa la Mtera akihojiwa na mwananchi digital amekanusha kuwa bwawa hilo lenye uwezo wa kuzalisha megawatt 80 limepungua maji hivyo kupelekea mgao wa umeme nchini.

Meneja huyo amesema bwawa hilo bado lina maji mengi kiasi kwamba hata mvua isiponyesha kwa miezi saba ijayo bado wataendelea kuzalisha umeme kama kawaida.

......."katika kipindi hiki cha miaka mitano nyie ni mashahidi hatujawahi kusikia habari ya mgao wa umeme, hakuna cha maji ya mtera, hakuna cha nn, zilikuwa mbinu nyingine za kifisadi ambazo tuliamua kuzizika" John Pombe Magufuli (RIP)
 
Meneja wa bwawa la Mtera akihojiwa na mwananchi digital amekanusha kuwa bwawa hilo lenye uwezo wa kuzalisha megawatt 80 limepungua maji hivyo kupelekea mgao wa umeme nchini.

Meneja huyo amesema bwawa hilo bado lina maji mengi kiasi kwamba hata mvua isiponyesha kwa miezi saba ijayo bado wataendelea kuzalisha umeme kama kawaida.

Kwani kuna sehemu bwawa la mtera lilitajwa kuwa limepungua maji?

Mabwawa yaliyotajwa ni Kihansi na kidatu
 
Ninachojiuliza huko Serikali hawawasiliani ili kuepusha aibu kama hizi?!
 
Back
Top Bottom