Meneja wa bwawa la Mtera akihojiwa na mwananchi digital amekanusha kuwa bwawa hilo lenye uwezo wa kuzalisha megawatt 80 limepungua maji hivyo kupelekea mgao wa umeme nchini.
Meneja huyo amesema bwawa hilo bado lina maji mengi kiasi kwamba hata mvua isiponyesha kwa miezi saba ijayo bado wataendelea kuzalisha umeme kama kawaida.
Tumeanza kuwa mafundi wa TANESCO sasa kuwaamulia cha kufanya looh nchi hii bwana kila mtu mtaalamu.Hata hivyo waziri hakutaja Mtera kushindwa kuzalisha umeme kwa kukosa maji,nilivyosikia mimi ni kidatu na Kihansi.
Tujaribu kujua ukweli kabla ya kutoa kauli za kutukana mtu
Hata hivyo waziri hakutaja Mtera kushindwa kuzalisha umeme kwa kukosa maji,nilivyosikia mimi ni kidatu na Kihansi.
Tujaribu kujua ukweli kabla ya kutoa kauli za kutukana mtu
Nikiangalia hii clip, namuona waziri kasimama pembeni ya huyo meneja, nahisi kuna shinikizo fulani hivi la taarifa hiyo!Meneja wa bwawa la Mtera akihojiwa na mwananchi digital amekanusha kuwa bwawa hilo lenye uwezo wa kuzalisha megawatt 80 limepungua maji hivyo kupelekea mgao wa umeme nchini.
Meneja huyo amesema bwawa hilo bado lina maji mengi kiasi kwamba hata mvua isiponyesha kwa miezi saba ijayo bado wataendelea kuzalisha umeme kama kawaida.
Bwawa la Kidatu linategemea maji ya Mtera lakini Kidatu liko lenyeweKwani kuna sehemu bwawa la mtera lilitajwa kuwa limepungua maji?
Mabwawa yaliyotajwa ni Kihansi na kidatu