Meneja Afrika Mashariki: Bolt inaweza kusitisha huduma Tanzania

Hizi sheria ziliachwa na yule jamaa, mama kaachiwa jumba bovu, na
amini anasikiliza ataondoa hio makato ili atengeneze ajira
MAKATO GANI HAPO ?
IKO HIVI, BOLT HAJAAJIRI MADEREVA WALA HANA MAGARI, MADEREVA NDIO WAMILIKI WA MAGARI YAO WENYEWE NA HUTUMIA MTANDAO WA BOLT KUPATA WATEJA/ABIRIA KILICHOKUWEPO NI KWAMBA MADEREVA WALIANDAMANA KUPINGA COMMISSION AMBAYO BOLT HUWATOZA MADEREVA KWA KILA NAULI/SAFARI WANAYOFANYA IKIWA NA MAANA HII; DEREVA AKIFANYA SAFARI HUTAKIWA KUWALIPA BOLT 23% YA NAULI HIVYO DEREVA KUBAKIWA NA 77% YA NAULI AMBAYO HAPO LAZIMA ATOE MAFUTA, ETC. NA UKIZINGATIA NAULI ZA BOLT ZILIKUWA ZILE ZILE KWA ZAIDI YA MIAKA MITATU INGAWA GHARAMA ZA UENDESHAJI ZINAPANDA KILA KUKICHA HASA MAFUTA..HIVYO LATRA AKAAMUA KUINGILIA KATI KAMA REGULATOR NA KUITISHA KIKAO NA WADAU WOTE IKIWEPO UBER/BOLT, MADEREVA NA WENGINE KUJADILI HILO SUALA NA KUFIKIA MUAFAKA WA COMMISSION ISHUKE KUTOKA ILIPOKUWEPO HADI 15% NA NAULI ZIPANDE HADI 900 KWA KILOMETA MOJA..LAKINI WAKAKAIDI NDIO MAANA UBER AKASITISHA.
 
Serikali yetu baadala itafute njia ya kudhibiti matumizi mabaya ya pesa, wao wapo busy kuongeza bei za bidhaa na kutafuta njia mpya za kutoza kodi. CAG aliripoti zaidi ya billion 500 zilitumika kwenye miradi isiyo na tija.
 
Kwenye juice nako kuna regulator wa bei??? Unanunua kutegemea mfuko wako. Either Ceres or Azam or Sayona. If you are not happy with Uber or Bolt hama. Kuna Ping na wengine au baki Taxi ya kawaida. Hii ndiyo soko huria.
 
Niliwahi toa maoni kuna mtu alipokea ushauri anapesa ameshauriwa ananunue gari afanye bolt na uber. Nikwamwambia bolt na uber ni kazi ya ziada kwa mtu mwenye chombo cha usafiri.

Uber teyari kasitisha huduma bolt anapima kina cha maji kwa mguu.

Serikali Tulinde wawekezaji
 
Leo ukiwauliza madereva wanatamani BOLT waondoke hata sasa hivi..

Ili huduma ya taxi mtandao ikamilike inahitaji wadau 3
1. Dereva(Mmiliki wa gari)
2. Application (Bolt/Uber/Paisha/Linkee/Moovn/Little Ride/Zanjcab/TanTaxi/PING/OnRide,nk)
3. Abiria

Kwa sasa Tanzania kuna App zaidi ya 10 zinatoa huduma ya taxi mtandao

Bolt &Uber ni app za mwanzo na maarufu wao wana charge 25% + 3% booking fee ya commission kwa kila trip
App zingine zinacharge 5% to 15%

Baada ya migomo kadhaa ya madereva Dec 2021 madereva walifanya mgomo mkubwa kushinikiza kupunguzwa kwa commission na kuongezwa kwa bei ya kuanzia trip.. Feb 2022 LATRA aliitishia kikao cha wadau wote madereva na mwenye app nakuwasikiliza pande zote mbili, Finally March 2022 wakaja na conclusion ya kikao
1. App yoyote isitoze commission zaidi ya 15%
2. Base fare ianzie 5,000 ( kwa sasa ni 3000)
Na mambo mengine mengii..
 
Hizi sheria ziliachwa na yule jamaa, mama kaachiwa jumba bovu, naamini anasikiliza ataondoa hio makato ili atengeneze ajira
Hapana hizi bei mpya zimewekwa mwezi uliopita na zimeanza kufanya kazi ijumaa iliyopita.

Shughuli hii imefanyika chini ya utawala huu wa awamu ya sita.

Haihusiani kwa namna yeyote na Magufuli.

Soma taarifa yote kabla ya kurusha maneno.
 
Niliwai toa maoni kuna mtu alipokea ushauri anapesa ameshauriwa ananunue gari afanye bolt na uber. Nikwamwambia bolt na uber ni kazi ya ziada kwa mtu mwenye chombo cha usafiri.

Uber teyari kasitisha huduma bolt anapima kina cha maji kwa mguu.

Serikali Tulinde wawekezaji
Kuna App za wazawa kama TANTAXI ambazo ziko vizuri sana na zingeleta mabadiliko ila watu wamekariri uber na Bolt. Uwekezaji pia lazima utazame wawekezaji wa ndani ambao gharama zao za uendeshaji sio kubwa kivile kiasi haitowalazimu kuweka kamisheni kubwa kama ilivyo kwa Bolt na Uber: TanTaxi Passenger - Apps on Google Play
 
WENGI NAONA HAWAELEWI HII ISSUE, IKO HIVI
BOLT HAJAAJIRI MADEREVA WALA HANA MAGARI, MADEREVA NDIO WAMILIKI WA MAGARI YAO WENYEWE NA HUTUMIA MTANDAO WA BOLT KUPATA WATEJA/ABIRIA KILICHOKUWEPO NI KWAMBA MADEREVA WALIANDAMANA KUPINGA COMMISSION AMBAYO BOLT HUWATOZA MADEREVA KWA KILA NAULI/SAFARI WANAYOFANYA IKIWA NA MAANA HII; DEREVA AKIFANYA SAFARI HUTAKIWA KUWALIPA BOLT 23% YA NAULI HIVYO DEREVA KUBAKIWA NA 77% YA NAULI AMBAYO HAPO LAZIMA ATOE MAFUTA,SERVICE ETC. NA UKIZINGATIA NAULI ZA BOLT ZILIKUWA ZILE ZILE KWA ZAIDI YA MIAKA MITATU INGAWA GHARAMA ZA UENDESHAJI ZINAPANDA KILA KUKICHA HASA MAFUTA..HIVYO LATRA AKAAMUA KUINGILIA KATI KAMA REGULATOR NA KUITISHA KIKAO NA WADAU WOTE IKIWEPO UBER/BOLT, MADEREVA NA WENGINE KUJADILI HILO SUALA NA KUFIKIA MUAFAKA WA COMMISSION ISHUKE KUTOKA ILIPOKUWEPO HADI 15% NA NAULI ZIPANDE HADI 900 KWA KILOMETA MOJA..LAKINI WAKAKAIDI NDIO MAANA UBER AKASITISHA.
Kuna App za wazawa kama TANTAXI ambazo ziko vizuri sana na zingeleta mabadiliko ila watu wamekariri uber na Bolt. Uwekezaji pia lazima utazame wawekezaji wa ndani ambao gharama zao za uendeshaji sio kubwa kivile kiasi haitowalazimu kuweka kamisheni kubwa kama ilivyo kwa Bolt na Uber: TanTaxi Passenger - Apps on Google Play. Hii TanTaxi haikati kamisheni kwa sasa na wamedhamiria kutovuka asilimia 10%. Abiria anafaidika na dereva anafaidika na kupata moyo wa kutoka huduma nzuri.
 
LATRA ni kimeo.
Badala ya ku regulate competative rates kwa mlaji wao wamekalia kujineemesha kwa kodi zisizo na mashiko.
Kuna App za wazawa kama TANTAXI ambazo ziko vizuri sana na zingeleta mabadiliko ila watu wamekariri uber na Bolt. Uwekezaji pia lazima utazame wawekezaji wa ndani ambao gharama zao za uendeshaji sio kubwa kivile kiasi haitowalazimu kuweka kamisheni kubwa kama ilivyo kwa Bolt na Uber: TanTaxi Passenger - Apps on Google Play. Hii TanTaxi haikati kamisheni kwa sasa na wamedhamiria kutovuka asilimia 10%. Abiria anafaidika na dereva anafaidika na kupata moyo wa kutoka huduma nzuri.
 
Haijawahi 20, miaka yote iko 25+ kwa miaka zaidi ya minne sasa ukizingatia maisha na vifaa vya magari vinapanda kila siku. Wao bei zao zilikuwa zilezile na na bado wanapandisha commision week tatu au mbili nyuma #Bolt walikuwa wanachukuwa hadi 33% per trip.
Kuna App za wazawa kama TANTAXI ambazo ziko vizuri sana na zingeleta mabadiliko ila watu wamekariri uber na Bolt. Uwekezaji pia lazima utazame wawekezaji wa ndani ambao gharama zao za uendeshaji sio kubwa kivile kiasi haitowalazimu kuweka kamisheni kubwa kama ilivyo kwa Bolt na Uber: TanTaxi Passenger - Apps on Google Play. Hii TanTaxi haikati kamisheni kwa sasa na wamedhamiria kutovuka asilimia 10%. Abiria anafaidika na dereva anafaidika na kupata moyo wa kutoka huduma nzuri.
 
Mm bado huwa nasema hii ni biashara huria, ikiwa dereva anaona haimlipi si anaachana nayo tu?

Back
Top Bottom