Meneja Afrika Mashariki: Bolt inaweza kusitisha huduma Tanzania

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Baada ya Kampuni ya Uber kusitisha baadhi ya huduma zake Nchini Tanzania, huenda Kampuni ya Bolt nayo ikafanya hivyo kwa upande wa Huduma za Usafiri wa Gari kutokana na ada ya huduma ya 15% iliyowekwa na LATRA

Meneja wa Bolt Kanda ya Afrika Mashariki, Kenneth Micah amesema Kampuni hiyo imeomba kukutana na wadau husika ili kujadili zaidi suala hilo kwa matumaini ya kufika mbadala

Kwa mujibu wa Bolt, takriban Madereva 10,000 watalazimika kutafuta Ajira nyingine ikiwa watasitisha huduma. Kampuni hiyo inafanya kazi katika Nchi 7 Barani Afrika

7A11D2AE-8F23-416F-B8E2-C678D0FAD970.jpeg


======

The future of Bolt, the Estonia-based ride-hailing company, in Tanzania is hanging in the balance following a new 15% service fee order that went into effect Friday last week.

Bolt, Uber’s main rival in Europe and Africa, in response to queries by TechCrunch, said it had reached out to relevant stakeholders, including the Land Transport Regulatory Authority (Latra), to re-negotiate the new terms. Latra, formed in 2020 to regulate taxi services in Tanzania, reviews and sets fare.

“Bolt has requested a meeting with the relevant stakeholders to further discuss this particular matter with the hope of reaching favorable tariff and commission regulations, even as we continue to seek and explore alternative lobbying options provided within the legal framework including Latra regulatory framework,” said Bolt East Africa regional manager, Kenneth Micah.

Bolt, which charges its partners a 20% commission, however, said that it will switch off its car category should nothing change. This would leave the market to smaller players like Little, which charges a 15% commission, and Ping.

Uber, which charges a 25% commission, suspended its operations in the country last week over the same issue, but said it would resume business in the East African country if the terms became favorable.

“While we acknowledge and appreciate Latra’s mandate, we strongly believe that the introduction of control tariffs in a well-functioning and competitive ride-hailing sector is detrimental to a free market economy. Nevertheless, Bolt has implemented the directive under duress and for a limited interim period,” said Micah.

“We are complying temporarily to demonstrate goodwill and our commitment to engage with Latra for more favorable regulations that enable further investment. We are cognizant of the fact that should Latra maintain the status quo, the market will eventually cease to be viable for Bolt, and this will necessitate turning off our car category.”

Bolt, which has operations in seven markets in Africa, including Kenya, South Africa, Uganda, Ghana and Nigeria, said switching off its service in mainland Tanzania would affect more than 10,000 drivers.

Mid last month, Latra reviewed the rates for ride-hailing companies, including the maximum distance (per kilometer) rate and commission. In the new directives, Latra requires ride-hailing companies to reduce the “dead kilometers” — the distance drivers are expected to cover to pick up a passenger, and to provide a platform where drivers can be “heard” when passengers lodge complaints. The authority also doubled the per-kilometer rate for ride-hailing companies due to increasing fuel prices, and set a minimum fare too.

Source: Tech Crunch
 
I guess ni from makusanyo yao,

Why wasiwatoze VAT tu, the rest waachane nayo.

Kweli nchi inahitaji hela Ila isiwe Kwa kudumaza sector ya technolojia, maana ni sector muhimu na inatutoa ushamba sana.

Yaani ukizoea hizi Uber na bolt utajiona uko home ukifika Manchi ya watu, unashuka Berlin unachukua Uber mpaka hotelini kama bongo. Ila hivi vitu visipokuwepo tunabaki na ushamba wetu.
 
Hawa LATRA wana matatizo gani? Serikali kwa nini isiumulike kwa tochi huu uongozi wa LATRA?
 
Hizi uber na Bolt Tanzania sio mahala pake hasa magari? Tanzania kwenye miji mikubwa watu wengi usafiri ni bodaboda na bajaji..

Hata hao Bolt na Uber nina uhakika wanafanya sana biashara kwenye bajaji na bodaboda..

Lingine ni usanii Tanzania kwa madereva..
 
Tanzania kila sekta ni siasa
Sekta ya usafirishaji - siasa
Tenesco - Siasa
Machinga - siasa
kilimo - siasa
Uwekezaji -siasa
Elimu - siasa

siasa siasa siasa zitatuangamiza ndugu zangu
 
LATRA wako sahihi, asilimia 20 anayochajiwa dereva ni nyingi, angalau hiyo 15 inakua fair kiasi. Labda iwe asilimia 20 na nauli itabidi ipande zaidi.
 
WENGI NAONA HAWAELEWI HII ISSUE, IKO HIVI
BOLT HAJAAJIRI MADEREVA WALA HANA MAGARI, MADEREVA NDIO WAMILIKI WA MAGARI YAO WENYEWE NA HUTUMIA MTANDAO WA BOLT KUPATA WATEJA/ABIRIA KILICHOKUWEPO NI KWAMBA MADEREVA WALIANDAMANA KUPINGA COMMISSION AMBAYO BOLT HUWATOZA MADEREVA KWA KILA NAULI/SAFARI WANAYOFANYA IKIWA NA MAANA HII; DEREVA AKIFANYA SAFARI HUTAKIWA KUWALIPA BOLT 23% YA NAULI HIVYO DEREVA KUBAKIWA NA 77% YA NAULI AMBAYO HAPO LAZIMA ATOE MAFUTA,SERVICE ETC. NA UKIZINGATIA NAULI ZA BOLT ZILIKUWA ZILE ZILE KWA ZAIDI YA MIAKA MITATU INGAWA GHARAMA ZA UENDESHAJI ZINAPANDA KILA KUKICHA HASA MAFUTA..HIVYO LATRA AKAAMUA KUINGILIA KATI KAMA REGULATOR NA KUITISHA KIKAO NA WADAU WOTE IKIWEPO UBER/BOLT, MADEREVA NA WENGINE KUJADILI HILO SUALA NA KUFIKIA MUAFAKA WA COMMISSION ISHUKE KUTOKA ILIPOKUWEPO HADI 15% NA NAULI ZIPANDE HADI 900 KWA KILOMETA MOJA..LAKINI WAKAKAIDI NDIO MAANA UBER AKASITISHA.
 
LATRA wako sahihi, asilimia 20 anayochajiwa dereva ni nyingi, angalau hiyo 15 inakua fair kiasi. Labda iwe asilimia 20 na nauli itabidi ipande zaidi.
Haijawahi 20, miaka yote iko 25+ kwa miaka zaidi ya minne sasa ukizingatia maisha na vifaa vya magari vinapanda kila siku. Wao bei zao zilikuwa zilezile na na bado wanapandisha commision week tatu au mbili nyuma #Bolt walikuwa wanachukuwa hadi 33% per trip.
 
Haijawahi 20, miaka yote iko 25+ kwa miaka zaidi ya minne sasa ukizingatia maisha na vifaa vya magari vinapanda kila siku. Wao bei zao zilikuwa zilezile na na bado wanapandisha commision week tatu au mbili nyuma #Bolt walikuwa wanachukuwa hadi 33% per trip.
Mm bado huwa nasema hii ni biashara huria, ikiwa dereva anaona haimlipi si anaachana nayo tu?
 
Hizi sheria ziliachwa na yule jamaa, mama kaachiwa jumba bovu, naamini anasikiliza ataondoa hio makato ili atengeneze ajira
Hapo wala sio suala la Sheria Bali ni matakwa ya kampuni.

Kampuni inataka kutoza 25% kwa kila trip, dereva anaona 25% ni nyingi. Latra anaingia ili kumsaidia dereva anaomba kampuni ishushe hadi 15%. Kampuni inaona hiyo 15% ni ndogo.

Tatizo lipo hapo, Wala sio Sheria.
 
Back
Top Bottom