Mene.. Tekeli.. Peresi...

Mene.. Tekeli.. Peresi...

Mnafurahisha sana pale kipindi cha moto wa #covid19 mlivyokejeli ila kwa sasa mnaamini huyo Mungu atawasaidia hadi kutumia Bible kama reference.
Mnafanya watu tutabasamu.
Kipindi cha covid njemba zilibwata bwata na kutisha watu....ha haaa
 
*MENE*, Mungu ameuhesabu ufalme wako na kuukomesha.
*TEKELI*,umepimwa katika mizani nawe umeonekana kuwa umepunguka.
*PERESI*, ufalme wako umegawanyika, nao wamepewa Wamedi na Waajemi.

Jr
Me'ne Me'ne te'kel na par"sin
Naona mkuu, siku izi umempokea bwaana awe mwokozi wa maisha yako.
 
Kwenye corona: Mungu ni kitu gani? Yani italia na Saudia kulipoanzia dini hajamfuatisha Mungu sembuse tz?!

Kwenye uchaguzi wa oktoba: Mungu ndio kila kitu na maandiko yananukuliwa!

Hahahaa... Hizi ni dalili za homa ya kipigo.
Hakuna kitu cha ovyo kama kuwa mwongo halafu mpumbavu.
Tunachosisitiza siku zote acheni kumkejeli Mungu, Mungu hasikilizi muuaji wala anayefurahia mauaji ya watu wasio hatia. Mwenye mamlaka na uhai wa mtu ni yule aliyeutoa.
 
Mbona kama wewe ndio mjinga na mpumbavu? Unaelewa kanuni za Mungu kweli? Au unafikiri Mungu anatazama kama wanachadema watazamavyo?
Hivi unafikiri Mungu angekuwa na mtazamo kama wako duniani hapa mvua ingenyesha? Sasa ulishawahi kujiuliza kwanini Mungu anawapa mvua wabaya na waovu?

Mwisho wa yote biblia unaijua wewe? Umeisoma hasa kuhusu mambo ya utawala?
 
Mkuu umekula kweli..?
Vyakuliwa vipo vingi.. Kipi kimojawapo kaka.. Kama ni hii ndio namalizia
IMG_20200608_131029_723.jpg

Jr
 
Vyakuliwa vipo vingi.. Kipi kimojawapo kaka.. Kama ni hii ndio namalizia View attachment 1472105

Jr
Namaanisha hichihichi..

Maana unaweza jikuta unapigia chapuo yawenzako wanaotaka kugombea urais kumbe tumboni mwako minyoo unaikondesha..😂

Nikuulize hivi unawezaje kumuamini mwanasiasa kuwa atakuletea maendeleo na msingi huru na haki ikiwa hata ye mwenyewe akijakukalia kiti anaweza kuwa kama walewale..??
 
Mbona kama wewe ndio mjinga na mpumbavu? Unaelewa kanuni za Mungu kweli? Au unafikiri Mungu anatazama kama wanachadema watazamavyo?
Hivi unafikiri Mungu angekuwa na mtazamo kama wako duniani hapa mvua ingenyesha? Sasa ulishawahi kujiuliza kwanini Mungu anawapa mvua wabaya na waovu?

Mwisho wa yote biblia unaijua wewe? Umeisoma hasa kuhusu mambo ya utawala?
Hatima ya watawala waovu imeandikwa wazi katika biblia. Hakuna mtawala muovu kama huyu wa kwenu aliyeishia pazuri. Watàwala wote wa mkono wa chuma, Sauli, Ahabu, Rehoboamu, Yareboamu nk mwisho wao ulikuwa aibu juu ya vichwa vyao.
 
Duh.. Basi ngoja nikuache, huelewi kitu
 
Mnafurahisha sana pale kipindi cha moto wa #covid19 mlivyokejeli ila kwa sasa mnaamini huyo Mungu atawasaidia hadi kutumia Bible kama reference.
Mnafanya watu tutabasamu.
Usiwe kama mpumabvu ndugu yangu. Kwenye suala la corona watu walikejeli kwa sababu kuna mjinga mmoja aliona njia ya kupambana nayo ni kusali tu! Mungu ametupa maarifa na kwenye biblia hakuna kifungu kinachosema binadamu azembee kwa kutokuchukuwa tahadhari za magonjwa bali ategemee sala tu. Umewahi kutumia neti ya kuzuia mbu? Kwa nini hukulala bila neti na kusali ili Mungu awafanye mbu wasikung'ate? Umewahi kunawa mikono wakati wa kula? Kwa nini hukula bila kunawa na kutegemea Mungu akuepushe na magonjwa? Sasa linapokuja suala la corona kwa nini watu wasichukue tahadhari zilizotolewa na wataalam lakini wahimizwe tu kusali? Angalia usiwe mjinga kama huyo aliyekuwa anawazukumizia watu kwenye nyumba za ibada ambako uwezekano wa kuambukizana corona ni mkubwa!
 
Sawa ndugu nimekuelewa...Hivi ni tahadhari zipi hatukuchukua tofauti na lockdown na kufunga nyumba za ibada?
 
Namaanisha hichihichi..

Maana unaweza jikuta unapigia chapuo yawenzako wanaotaka kugombea urais kumbe tumboni mwako minyoo unaikondesha..

Nikuulize hivi unawezaje kumuamini mwanasiasa kuwa atakuletea maendeleo na msingi huru na haki ikiwa hata ye mwenyewe akijakukalia kiti anaweza kuwa kama walewale..??
Asante hicho nimeshiba.. Ni wapi nimesema namuamini mtu? BTW hata kama simuamini its time for change.. We must now have a change of scene

Jr
 
Back
Top Bottom