Mene mene tekeli na peresi - Lema

J.K alisema "mtanikumbuka". Nahisi alijua nini kitafuatia!

[HASHTAG]#MENEMENE[/HASHTAG]
[HASHTAG]#TEKELI[/HASHTAG]
[HASHTAG]#PERESI[/HASHTAG]
 
Mh. Lema take this piece of advice, think now to get more time serving your people, arusha residents, stop being fanatical, since you have started this term nothing new have been delivered to arusha people, stand mbovu, barabara matope matupu..lkn mnaendesha manispaa mko wengi, kitu gani tofauti na enzi za ccm kaka? kiongozi ni kuwa mwerevu na kukawia kutoa au kutenda jambo,,take time to think brother!
 
Ili uone anafanya kazi arusha, asiandike JF?
 
Alama ni dhahiri kabisa ukutani, aliyosema Mwalimu yanatimia haraka sana .
Alama gani..mnamjua Mungu nyinyi, toeni mizaha yenu..standard za Mungu ziko juu sana, tumia akili vzr acha kumuweka Mungu kwa mambo yaliyo ndani ya uwezo wako!
 
Well said bro. Thumb up
 
Kweli jela siyo mchezo,umegeuka mhubiri sasa?wacha uwoga weka vitu wazi wewe ni mwanasiasa na mwanaharakati kama unavyo jiitaga.LOL,ukitaka kupambana na udikteta kuwa mwazi kama Lisu,uwoga ni ushindi kwa aliokutia uwoga.
 
Sasa na wewe ndo unaongea madudu gani hapa...!!!! Hivi kuna muoga zaidi ya yule anayemtuma mwanae abebe askari sita wenye silaha nzito wakati wanakwenda kwa watu wasio hata na kisu?!
 
Sasa na wewe ndo unaongea madudu gani hapa...!!!! Hivi kuna muoga zaidi ya yule anayemtuma mwanae abebe askari sita wenye silaha nzito wakati wanakwenda kwa watu wasio hata na kisu?!
Aache kuleta mahubiri azungumze au akemea yaliyotokea kuliko kuanza mafumbo,watuwamekuwa waoga wapinzani hawazungumzii kuingiliwa kwa uhuru wa vyombo vya habari,na huyu tuliokuwa tunadhani ataongea nae ndiyo anaanza mahubiri.
 
Katiba ni watu.
Leo hii tanzania hii hata ulete Katiba ya USA ni bure! Mijiti imezoea kutia mfukoni akili na mioyo yao. Igeni mfano wa Lema na wanaharakati wengine. Ni dhambi kutemewa mate na ukabaki kusema asante!
 
Aache kuleta mahubiri azungumze au akemea yaliyotokea kuliko kuanza mafumbo,watuwamekuwa waoga wapinzani hawazungumzii kuingiliwa kwa uhuru wa vyombo vya habari,na huyu tuliokuwa tunadhani ataongea nae ndiyo anaanza mahubiri.
Si ndo hapo, huyu jamaa kashakua muoga,, tena uoga wa Hali ya juu *****, ongea kiharakat, HAYA mahubir kina Gwajima wpo na wanaeleweka, kashakuwa mwanaharakati bubu, huruma sana, Kwel jela noma hata shehe ponda hasikiki ck hz!shame on Lema!
 
Yani kuna mambo mawili muhimu sn kuyapigania kwa nguvu zote,
1.Katiba mpya ya Warioba.
2.Tume huru

Labda huyu waziri mpya wa katiba na sheria, kwa vile alikuwa mjumbe katika tume ya Katiba ya Warioba atashauri kuhusu utekelezaji wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…