Leo nilivyorudi nyumbani jioni, nilichukua CD lakini nilipotaka kuiweka deki ili niangalie nikaghairi kwanza baada ya kuhisi kuna kitu ndani ya deki. Kumbe kulikua kuna mende ndani ya deki nilipowasha deki na TV ili kuhakikisha mara mende akatokea kwenye TV anatembea tembea si alikua ndani ya deki kwa hiyo akawa kama CD.