Nikifuatiliaga zile shuhuda za wanawake wa kule..nasemaga ndoa haipo kwa ajili yangu...asieeInstagram mumy
Yani kuna mada huko za ma ex,wanawake wanafunguka kuhusu ndoa zao [emoji1381]♀️wanaume hawa walahi usijiumize kabisa kutaka kupambana na michepuko utajichosha
Tuachike mtubatize majina mapya eeh..maana hamkawiiWanawake mnalia ndoa zimewashinda si muachike ya Nini kukomaa na ndoa ambayo haikupi Amani
Mnataka kufurahisha jamii..!
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha kwa hyo Bora kukomaa hvo hvo ??Tuachike mtubatize majina mapya eeh..maana hamkawii
Yeah ni kukomaa mwanzo mwisho
Afe kipa au beki...! Ni kukomaa ...aisee Apo nimekuelewaYeah ni kukomaa mwanzo mwisho
Nikifuatiliaga zile shuhuda za wanawake wa kule..nasemaga ndoa haipo kwa ajili yangu...asiee
wasilina n mchepuko kwa land line tena ya kibandani tu.Kwanza Salam kwenu wakuu
Ninapenda kuwafahamisha wanawake/wake zetu kuwa hakuna kazi ngumu kama kuhandle michepuko isiingiliane na shughuli za kila siku ndani ya ndoa /nyumba.
Kuna michepuko ambayo unakuta inatambua kuwa umeoa inakuwa inakutafuta siku ya dudu jeupe tuu, mingine siku ikitaka pesa.
Mingine inaelewa kuwa umeoa na inaheshimu ndoa, inasubiri mpaka uitafute wewe ndo muwe mnafanya mawasiliano.
Sasa kuna kichwa maji, bogus, Fakeni na Tablalasa; hiyo haielewi kila muda ni calls, SMS na faken shits nyingine. Kwa kiasi inakera na mara nyingi unakuta ni mafresheshers kwenye suala la kupeana utamu.
Sasa mwenzenu yamenikuta. Kuna pisi moja first year uni moja, Pisi Kali matata nikaamua kuifanyia kazi kiuzoefu nikijua ni Pro kumbe ni amateur. Nikaanza na Mikiki ya kuipagawisha kunako bed ili ilainike niikule vilivyo next time nipate Tunda isinione Fala.
Nikatumia ujuzi wangu wote kumbe Fresher. Kapagawa sasa kila siku anapiga simu na SMS za kuzidi.
Sasa imefikia hadi job anakuja. Wifey nahisi kashtukia mchezo ila kakaa kimya.
NATAFUTA HANDLER WA HUYU MCHEPUKO.
Wanawake mnalia ndoa zimewashinda si muachike ya Nini kukomaa na ndoa ambayo haikupi Amani
Mnataka kufurahisha jamii..!
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂 Hatareee....juzi juzi alikuwa anaelezea Mambo ya soulmate ..kila anayepita kwenye comments anaandika" huyu ni Mimi kabisa na ndoa yangu"...🤣🤣🤣🤣 Inahuzunisha wakati mwingine ila Hakuna namna[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna mtu kakuta chupi kwenye suruali ya mume
Mwingine kaambiwa kwani we huna ex wako
Yani vituko mpaka nimewaza hivi kwanini wanaume wanaoa kama wanasumbua wanawake kiasi hicho
[emoji2][emoji2][emoji2]naendelea kufwatilia comment dia hubby endelea ku mute hvyo hvyo
Kabisa watu wanajisifia ujinga tu hapa.ukimwi upo na hauwezi isha kwa namna hii
Kabisa.Some men real dont know and cant read our minds. Hatueleweki na hatujawahi kueleweka. Yaan unadhani nikakushika halaf ukakana na kuleta sababu luluki nikakuitikia yea kwamba ndo nimemaanisha nimekuamini ama ndo unasema ukweli? Akili ya mwanamke works like a computer. Tukikaa kimya its simply because we are avoiding fights. Musituchukulie hivi poa.
TrueMbona kuhangaika kote huku..sibora usiowe uwe singo boi..au oa mke zaidi ya mmoja...huu ni usenge kujifanya faithful kumbe malaya tu na upumbafu..mtakufa kwa ngoma.
#MaendeleoHayanaChama
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hatareee....juzi juzi alikuwa anaelezea Mambo ya soulmate ..kila anayepita kwenye comments anaandika" huyu ni Mimi kabisa na ndoa yangu"...🤣🤣🤣🤣 Inahuzunisha wakati mwingine ila Hakuna namna
Uwiiii....hicho kisasi Cha ex kutoka na ex na Mume wa ex ni hatari Aisee....wanaume wangetulia yote yasingetokea[emoji23][emoji23][emoji23]na inapoelekea wameanza kutaja majina ya michepuko kule
Kuna kitu wanaume wanaweza kujifunza kwa ile page,wanawake ni watu wa visasi usiamini eti kakusamehe
Kuna mmoja wameomba achongewe sanamu likae pale ubungo ni baada ya kugundua mmewe anatoka na ex na huyo ex kasha olewa yeye pia kaamua kutoka na mume wa ex wa mumewe
Havichekeshi lakini hivyo ndio mwanamke hureact akiona hawezi kupambana na mumewe kwa njia hii anatafuta nyingine mwishoni anae umia zaidi ni mwanaume
*35*0000# pindi unapokua nyumbani...
#35*0000# pindi unapokuwa nje ya nyumbani....