LUKU ikituma sms kuwa HAIONI SIKU ZAKE NDO UTAELEWAHakuna njia rahisi kama kuweka majina fake ya mchepuko.
Mfano .
-- DAWASA.
-- LUKU.
--AIRTEL
-- TIGO.
-- VODA COM.
--TCRA.
--TANESCO.
mwanamke yeyote akiona SMS hyo inaingia wala hashughuliki.
Naomba linkNikifuatiliaga zile shuhuda za wanawake wa kule..nasemaga ndoa haipo kwa ajili yangu...asiee
Daaa umenikumbusha nilienda kumpitia janaa yangu kwake kwa sababu mimi nina gari ye hana mke akabariki tukaenda batani(kwenye mipombe yetu) daaa jamaa kaopoa demu jumlisha na kulewa si kanigomea kurudi home.Aloo tukio limetokea ijumaa ya kuamkia jmos ya tarehe 4 September 2021 jamaa karudi kesho yake asubuhi na nguo mpya.Hapa nilipo nimepata kesi na nimenuniwa na shemu aisee.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna mtu kakuta chupi kwenye suruali ya mume
Mwingine kaambiwa kwani we huna ex wako
Yani vituko mpaka nimewaza hivi kwanini wanaume wanaoa kama wanasumbua wanawake kiasi hicho
Michepuko mingi inachangiwa na tabia za gubu,uchafu,kuzoea ndoa,gubu,uvuvuzela,kuoa tabia bila kujali shape, distance,nyege,uvivu wa mke kitandani.Kmmke yapo mengi mnoTuanzie hapa, Kwa nini unakuwa na michepuko wakati una mke? Hakutoshi?
Njoo hata usikilize tu basiOooh...kumbe Ni man talk...ngoja mi nikae kando
Malaya mi siwezagi kudindaMimi nanunua Malaya, Uzuri Malaya hasumbui. Unamlipa Chake anasepa. No usumbufu mpaka raha yani. Msiniambie Habari za Ukimwi. Hakuna Malaya anakubali Kavu.
Tupe linkHiyo page inatisha sana.
Kama uko single unaweza kujiona una uafadhali kuliko waliopo ndoani.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji28][emoji28][emoji28]Mngetushirikisha tukawasaidia kuhandle michepuko jamani. Mwili mmoja halafu mnahangaika peke yenu?
Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
Babuu umevurugwaa na hii mijanamke..[emoji23]Michepuko mingi inachangiwa na tabia za gubu,uchafu,kuzoea ndoa,gubu,uvuvuzela,kuoa tabia bila kujali shape, distance,nyege,uvivu wa mke kitandani.Kmmke yapo mengi mno