Men Talk: To have peace, let her believe she dumped you.

Men Talk: To have peace, let her believe she dumped you.

Kwako Cariha unaweza ukawa hivyo na ni kitu kizuri lakini kwa wengineo wenzako ni tofauti.
Ni kweli wengi wakiachana huanza kuzalilishana kwa watu tofauti tofauti, hyo ni lack of maturity
 
Find someone who isn’t afraid to admit that they miss you, who knows you aren’t perfect but treats you as if you are, who’s biggest fear is losing you, who says “I love you” and means it with all of their heart, someone who believes leaving and giving up isn’t an option.
 
Yeah n' it was scarry!... Nilimuacha akanikomoa kumpa papa rafiki yangu halafu akajifanya ndio kadata huko!. Jamaa ananambia anaogelea, mwanamke anajifanya anafikishwa ikabidi nitafute mchawi yupi kati yao!.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mahusiano sometimes yanaumiza sana,.
 
Na mie ni bigwa ktk hili la kutengeneza mazingira ya mie kuwa ndiye nimeachwa.
 
How withot drama?

Make a message clear, don't play around.
Be open to her, it'll hurt her in the beginning but will serve her in the long run.

Kujiuma uma kwenu na kujizungusha ndo kunamfanya mtu afike hapa, kiasi mnashindwa cha kufanya baada ya kuharibu na kuishia haya ya hapa ili kupunguza matatizo. To have Peace, give her the power and let her believe she dumped you.

It's inconsiderate to just shut down. And more personable to communicate.
 
Last edited:

Oke... oke....[emoji30][emoji30][emoji30]
 
Back
Top Bottom