Analyse
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 17,639
- 47,716
Straight to the point like the first round.
If you decide to break up with the girl right now, jiandae kupokea msululu wa msg na majina mabaya mabaya ya kila aina. Zitafata quotation mbali mbali inbox kwako. Atakupa zile baraka ambazo in reality hamaanishi.
Yani kwa kifupi atakuondolea mood na concentration kwenye mambo mengine. Unaweza ukafikiria hata kurudisha majeshi.
The simplest way ya kuavoid hayo yote ni kufanya vyovyote uwezavyo ili mazingira yaoneshe yeye ndio amekupiga chini.
If you manage to do that, you'll have peaceful ending.
Nawasilisha.