Men Talk: To have peace, let her believe she dumped you.

Men Talk: To have peace, let her believe she dumped you.

Kwamba maneno yake yakufanye utamani rudisha majeshi!!?.. yaelekea umetembea na watoto au haujazi bajaj idadi ya KE ulizotoka nazo!.
Kuna mijanamke unalikaushia nalo linakausha mpaka wewe ndio unajishtukia!..
 
Bajaji? Si inakaa watu wanne tu? Quality assurance unaniangusha mkwara wote kumbe ndo hivyo!!!? Dah dah dah hearly Lugola mpe training huyu.
 
I did it, ha ha cha kushangaza hatujaachana kabisa ananionea huruma hadi leo na anaamini ninampenda balaa maana kila tukikutana ninamuambia yeye ndio mwanamke wa maisha yangu siwezi kumuacha na kamwe hawezi kuwa huru na jamaa yake sababu anajua ananiumiza,
 
Nigga you a beast
 
Bro umemaliza, kuna mmoja nlimdump kutokana na tabia, matusi nilikua napokea 1TB mpaka 3TB kwa siku, nikaona isiwe kesi nikaomba msamaha nikamrudia. A week nikatengeneza skendo la kimafia, akanipata live akasema yake na kuni block kila sehemu. Akaondoka na kuniacha huru kabisa
 
Yah true, eti anakufananisha na mbwa!! I don't know what's wrong with women.

Bandiko lako limetulia sana brother, liko poa. Kungekua na like 100 ningekugongea zote.
Hata hatuna tatizo mi nikichokana na MTU tuachane in peace tu basi hayo ya majina mabaya na kuombeana vibaya hayana nafasi
 
Back
Top Bottom