Men Talk: To have peace, let her believe she dumped you.

You searching a wife by dating...So should I date only one girl..? HAPANA. Try until u get the perfect one. Girls should understand this!
 
Wick na wewe level zenu za Dreamliner najua sizigusi. Ila nibakishieni na mimi jamani
Anakujaza huyo me na dreamliner wapi na wapi, gari zangu za magazeti ubungo, au moro best kwenda ifakara kuvuna miwa na samaki.
Nadeal na sungura tope tu!.
 
It's all relative to detail.

Ukijali kiasi cha kumtaka afikiri kuwa yeye kaku dump wewe, kaku dump wewe kweli.

Ma Bandido huwa hawajali kuitwa majina yote mabaya.Usipojali majina hapo maana yakekwelihujali. Ukijali badouna m mind huyo.

Tena bora akutukane mmalizane, kulikoumfanye afikiri kaku dump, halafu kesho ajione anaweza kuamua kukurudia.

John 8:32 Then you will know the truth, and the truth will set you free.
 
Sometimes unakutana na kiumbe so perfect kiasi ambacho hata uwe player kiasi gani unashindwa kumuacha o kufanya akuache.na kucheat ili ajue unahofia kubreak up kwa kumuumiza kinachotokea unaamua kuwa committed, wakati umeamua kutulia for her that's the exactly time she turns her back on you anakuacha.Hawaeleweki hata kwa wema gani ingawa ni vema tukawa gently!
 
Anakujaza huyo me na dreamliner wapi na wapi, gari zangu za magazeti ubungo, au moro best kwenda ifakara kuvuna miwa na samaki.
Nadeal na sungura tope tu!.
Rusha namba ya mwenye chura kuliko wote
 
0656002 ila ana chura kumzidi Jokate
Basi namba nakata
kwa maslahi mapana ya JLW naomba kufanya Quality Assuarance ya muda ndugu mwenyekiti!.. Tafadhari hakikisha namba ya memba kabla ya kutuma tena!.
 
Niliandika namba ghafla nakuta anatamba kua yeye ni mwana chaputa kuliko wote ikabidi niedit namba fasta
 
It's all relative to detail.

Ukijali kiasi cha kumtaka afikiri kuwa yeye kaku dump wewe, kaku dump wewe kweli.

Ma Bandido huwa hawajali kuitwa majina yote mabaya.Usipojali majina hapo maana yakekwelihujali. Ukijali badouna m mind huyo.

Tena bora akutukane mmalizane, kulikoumfanye afikiri kaku dump, halafu kesho ajione anaweza kuamua kukurudia.

John 8:32 Then you will know the truth, and the truth will set you free.
Unavijua vifungu ... Astaghafurrilah
 
Niliandika namba ghafla nakuta anatamba kua yeye ni mwana chaputa kuliko wote ikabidi niedit namba fasta
Nimejaribu kuangalia ubora naambiwa some digits missing!.. nitaijaribu tena.
 
Back
Top Bottom