Men Talk: To have peace, let her believe she dumped you.

Men Talk: To have peace, let her believe she dumped you.

hakika, ke mstaarabu wala hatanyanyua kinywa kulaani bali ataelekeza chozi lake Juu
Kabisa Kaka. Yaani iitokea kila mmoja anaganga yajayo.

Maana kuanza kupondana ni dalili kwamba bado wanatakana.
 
Pushing me away so I give her space
Dealing with a heart that I didn't break
I'll be there for you, I will care for you
I keep thanking you, just don't know…
 
😁😂😂

This made me laugh out loud! 😁
Seems like it happened to you, once upon a time..
Yeah n' it was scarry!... Nilimuacha akanikomoa kumpa papa rafiki yangu halafu akajifanya ndio kadata huko!. Jamaa ananambia anaogelea, mwanamke anajifanya anafikishwa ikabidi nitafute mchawi yupi kati yao!.
 
Hata hatuna tatizo mi nikichokana na MTU tuachane in peace tu basi hayo ya majina mabaya na kuombeana vibaya hayana nafasi
Kwako Cariha unaweza ukawa hivyo na ni kitu kizuri lakini kwa wengineo wenzako ni tofauti.
 
Mwanamke haachwi somo dogo nilojifunza!..


Aw!, and you turned out to be a gentleman.
Walofatia baada yake naona walikuwa na bahati sana. 😁

Lakini, anaweza kuachwa, kiroho safi.
You guys just need to do it the right way and drama free. Everyone will be at Peace.
 
Straight to the point like the first round.

If you decide to break up with the girl right now, jiandae kupokea msululu wa msg na majina mabaya mabaya ya kila aina. Zitafata quotation mbali mbali inbox kwako. Atakupa zile baraka ambazo in reality hamaanishi.

Yani kwa kifupi atakuondolea mood na concentration kwenye mambo mengine. Unaweza ukafikiria hata kurudisha majeshi.

The simplest way ya kuavoid hayo yote ni kufanya vyovyote uwezavyo ili mazingira yaoneshe yeye ndio amekupiga chini.

If you manage to do that, you'll have peaceful ending.

Nawasilisha.

Analyse
Kamata like yangu kabisa..
 
.ekatsim elgnis ynit a neve teg t'nac I dna sega rof pihsnoitaler eht dne ot gnitnaw need I
umesababisha " najing'ata ninja"lugola naona leo umesoma Quran ....haha haha maana hii lugha sijaelewa kabisa aisee
 
Last edited:
Kwamba maneno yake yakufanye utamani rudisha majeshi!!?.. yaelekea umetembea na watoto au haujazi bajaj idadi ya KE ulizotoka nazo!.
Kuna mijanamke unalikaushia nalo linakausha mpaka wewe ndio unajishtukia!..
hahahaa'' mijianamke 'hiyo'' ipo mingi'' tu ''hahahaa" huyo'' yaelekea ''haja'' kutana ''na ''mapaka'' bado""..
 
Bajaji? Si inakaa watu wanne tu? Quality assurance unaniangusha mkwara wote kumbe ndo hivyo!!!? Dah dah dah hearly Lugola mpe training huyu.
hahaha hiyo ni idadi ya mtoa mada " sio ya kwake" weeee weeeee " ingekuwa idadi yake ningeandamana mpaka magogoni" .. Huyo anajaza treni la mwakiembe aisee
 
Hiyo idadi ya mleta mada sio mie!.. Me kipanya naijaza ukiondoa pumba pumba🙂
hahahaa acha fix"" wewe idadi chache sana " basi ni mwendo kasi" lile kubwa LA Express
 
hahaha hiyo ni idadi ya mtoa mada " sio ya kwake" weeee weeeee " ingekuwa idadi yake ningeandamana mpaka magogoni" .. Huyo anajaza treni la mwakiembe aisee
Ila acha kujifungia pm za watu. Una ulimbo nini Lugola? Mbona hawakufukuzi kama mimi ninavyofanyiwa?
 
Kama hivyo tupo kwenye right track hearly Lugola endelea kujichimbia pm za watu.
hahahaa Mimi sijawahi kufanya matusi aiseee" hayo mambo naishia kuyasikia" kuyasoma na kutazama kwa TV ...na mtunzia mke wangu nitakaye kuja kumuoa
 
Back
Top Bottom