Men Talk 3: Mwanaume usizae na mchepuko

Sio kila mtoto atakayezaliwa atakuwa Nyerere. Kuna kina Polepole, wezi na vibaka. Na wote hao wanakuwa hivyo sababu ya malezi. Zaa unaoweza kuwa mudu. Zaa na mke mmoja ili kuwaweka karibu zaidi.
 
Ukitaka usizae na wanawake nje na ukatoka nje lazima uwe kauzu

Maana anayetegesha kuzaa ni mwanamke na siyo ww mwanaume ukitoka nje na usiwe kauzu mwanamke akakutime atabeba tu mimba yako full stop
Mwanaume ni msimamo. Ikibidi kuwa kauzu, fanya hivyo. Ukicheka na nyani utavuna mabua.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mambo mengi muda ni mchache

Ila umekua[emoji4][emoji122]
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] sawa mchumba. Ila usinitenge sana sasa.
 
Watoto wa mama tofauti, ni changamoto kuwa na ukaribu ambao ww baba utataka wawe nao.

Kama kuna wadau humu ambao wanatokea familia zenye baba mmoja na mama wengi, watakuja kutoa ushuhuda humu.
Broo hii kitu inawezekana na inatakiwa wewe Kama baba ndio uwe mstari wa mbele na kuwajenga kisaikolijia kwamba wewe ndio ndugu yao wasipo kusikiliza watapotea ...ukiwapa na mifano hai...watakuelewa Ila ukilegeza haliwezekani.


Halita wezekana Kama mama zao wataendelea kuwakochi kivyao ila Kama kocha utakua ni wewe pekee halishindikani
 
Hujui convincing power ya mama kwa mtoto. Kama huishi nao, basi jua kwa asilimia kubwa atasikilizwa mama
 
Sio kila mtoto atakayezaliwa atakuwa Nyerere. Kuna kina Polepole, wezi na vibaka. Na wote hao wanakuwa hivyo sababu ya malezi. Zaa unaoweza kuwa mudu. Zaa na mke mmoja ili kuwaweka karibu zaidi.
Cha msingi ni kuzaa wengi kadri ya uwezo, hata kama hawezi kuwa si nyerere! basi ni Bakhresa, Manji, Tanganyika Bus service, lazima unapopiga mashine ujisemee kabisaa lengo ni zaidi ya mtu km Nyerere, Mungu kama yupo kadri wanavyomsema atakupa haja ya moyo wako !!

Lakini ukiwa na mashaka moyoni sijui kibaka huyu, sijui CD huyu atakuwa hapo lazima shetani aje karibu yako, hata nyumbani kwao Nyerere kulikuwa na jamaa moja linaitwa Kiboko hili lilikuwa ni nusu Taahira lakini lilimezwa kwa heshima ya Nyerere!


Amini na ndivo ilivo familia zote Duniani utake usitake lazima yapatikane Majuha na wenye Mafanikio kidogo na wenye mafanikio sana sana, wenye kuanguka, wenye kusimama hii ni kawaida, mwenye mafanikio akiwa mmoja atameza madhaifu ya wengi,

wabinafsi wajinga, wachoyo, walio tofauti na misimamo ya wengine , wachoyo, Mataaihila ktk familia zote Duniani hayakosi usichague wapende wote!! Yusufu mwana wa Yakobo ulipewa mfano utumie huo!!

wasingekuwa kaka zake kumchukia vile, familia isinge okoka na janga la njaa!! na walikuwa na akili zao kabisaa wakt wanamuuza, huu ni mfano ili Binadamu mjifunze!!

ukimpata mmoja katika familia akiwa kama Kikwete ni rahisi kuwakusanya vibaka, cd, walemavu, wote na kuwaweka ktk mstari. hata hizo familia zenye mafanikio kuna mataahira, majambazi, wezi wa mboga , kibao!

Ukitaka uzae watoto wazuri tu!! ni tamaa utawaweka kwenye daraja la ubaguzi pia ni tatizo la ubongo!! kuna watoto baba yao ana wadhifa ni tajiri lkn toto ana amua kukaa kabisa kijiweni, kulalagheto! analangua sigara anakamatwa na polisi!! siyo kwamba hashibi la hasha!!

Bush family wana maisha zaidi ya kuwa na hela tangu kibabu cha ngapi huko nyuma lkn wana dogo lao lilikufa kwa uteja!! Jeb Bush aliponea chupu chupu kuwa teja! lkn sababu pesa wanamezwa!!! zaaa bana usijibane bane!!

Angalia Marehemu Capt, Komba Mtoto mwenye hekima na Heshima kasoma vizuri ni Dr Komba wa Lugalo tena kichwa balaa! Mengine hayo yaliyokuwa ya halali baadhi yalikataa shule yapoyapo tu!

Kubali tu huna uzoefu na chini acha watu wajimwae bana!!
 
Mbona mnapingana na kauli na usia wa Rais wetu Marehemu JPM alisema zaeni sana msiwasikilize wazungu.
Sasa mm mke wangu niliyenaye anaonesha kachoka na nyodo kibao, huduma sipewi na nina hamu bado ya watoto kwanini mnifunge niwe mpweke kwani watoto nilionao ni wa kike wawili tu wakikua wataolewa.
Tuige mifano ya viongozi wetu tusiwafuate wazungu au wachina kuwa na mtoto mmoja sio deal kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…