Men lets be fair kwa kweli

kaka shikamoo...
Marahabaa hujambo??
kuna hadi watu wazima kuzidi wewe wanafanya hivi si utoto to me naona ni mapenzi ila baada ya kmaliza mapenzi msiaibishane ni party of love....
Askari polisi akiiba haina maana kuwa wizi ni halali kwakuwa aliyefanya hivyo ni polisi

Mtu mzima akifanya mambo ya kitoto huyo tunamuona ni juha
mahaba nipoteze najua wengi humu wanafanya hivyo though hapa wanazunguka tu ........ mapenzi ni upofu kuna ujinga mwingi kwenye mapenzi...
Hapana,Mapenzi sio upofu ila wajinga ndio vipofu wa mapenzi

Mnayasingizia mapenzi kwa ujuha wenu!
 
sawa kaka raha ya penzi kusiwe na formula
 
mapenz yanavipengele vingi sana siku hizi..... akikuomba ukimnyima anajua umemtumia mwengine.....
 

Mimi sifanyi, na siwezi kufanya ila nimeelezea kutokana na picha tunazoziona mtandaoni. Picha tunazoziona sio za watoto hata kidogo thats y nikasema tusiwazingizi.

Hata video ya X kwangu huwezi ikuta iwe cd, kwenye simu au simu. Huwa sioni kama zinamsaada wowote zaidi ya problems
 
picha za kawaida natuma audio kama nipo bussy siwezi kuchati natuma tu..... audio ni kama simu tu any way mitazamo tu walioweka hizo hawakukosea ni matumizi tu tunavyo,........... jamani audio inarahisha mawasiliano sana naipenda
 

Kama wewe haufanyi wizi huna sababu ya kutetea wizi

Utatetea wizi ili iweje?
 
mapenz yanavipengele vingi sana siku hizi..... akikuomba ukimnyima anajua umemtumia mwengine.....

Aisee ....

Vijana wamekuwa wa ajabu sana siku hizi

Nikijua tu unawaza kwa aina hii,sitaki kabisa hata kuwa na mazoea na wewe ....!!
 

mkubwa unafahamu kitu kinaitwa password, im the only to access the folder.
Wa wapi wewe??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…