kuna wengine wanataka ya picha na live pia, sa sijui anataka kukompea na kukonstract.......
hivi mtu unakuwa unawaza nini hadi unapiga picha utupu wako....
Wanaofanya hayo ni malimbukeni wa mapenzi kupitiliza,wenye vinyongo,chuki na roho za visasi,ukinitumia picha naangalia nadelete,tukiachana heshima inachukua nafasi yake,nawaza sana mnafanyiana hivo kisha mnakuja kurudiana,poleni sana girls mkipiga msionyeshe sura,over
kuna wengine wanataka ya picha na live pia, sa sijui anataka kukompea na kukonstract.......
aiseeee....me naona anataka kuiona vizur maana kwenye picha unaizoom inakua kubwaaaaaaa unaona kila kitu.....Hahahahahaha anataka may be iweke chata hahahahah
Naona kama wote ni wajinga tu
Anaetuma dushe na anaetuma papuchi ...
Halafu hii naona imekaa kitoto toto zaid,sidhani kama mtu mzima atakuambia umtumie picha ya papuchi yako
Naona kama vijana mnakokwenda ni kwenye u.pumbavu zaidi
Unatuma picha za sehemu zako nyeti ili iweje kwanza?

vijana mna kazi..
Waliosema mapenzi ni upofu hawakukosea, hayana mkubwa wala mdogo, hayana ,masikini wala tajiri, hayana mrefu wala mfupi, hayana msomi wala asiye msomi, haya mambo yanafanywa mpaka na viongozi wakubwa kabisa kwenye nchi na duniani. Na yanapotokea hayo hata huwezi fikiria kesho itakuwaje.
Kwa hiyo hii kitu wala msiwasingizie watoto, watu wazima kabisa na elimu zenu na kazi zenu. Wengine wake na waume zao, wapenzi n.k. Lakini msisitizo kuwa, kwa kuwa mapenzi ya kibongo ni kama vita, wengi wakishaachana huwa maadui na hapa ndio shughuli huanza ya kudhalilishana.
Cha msingi ni busara tu kati ya wawili.
na unaenda mbele zaid unatuma picha ya utupu wako?
ni ushenzi tu
aiseeee....me naona anataka kuiona vizur maana kwenye picha unaizoom inakua kubwaaaaaaa unaona kila kitu.....
Naona kama wote ni wajinga tu
Anaetuma dushe na anaetuma papuchi ...
Halafu hii naona imekaa kitoto toto zaid,sidhani kama mtu mzima atakuambia umtumie picha ya papuchi yako
Naona kama vijana mnakokwenda ni kwenye u.pumbavu zaidi
Unatuma picha za sehemu zako nyeti ili iweje kwanza?
Waliosema mapenzi ni upofu hawakukosea, hayana mkubwa wala mdogo, hayana ,masikini wala tajiri, hayana mrefu wala mfupi, hayana msomi wala asiye msomi, haya mambo yanafanywa mpaka na viongozi wakubwa kabisa kwenye nchi na duniani. Na yanapotokea hayo hata huwezi fikiria kesho itakuwaje.
Kwa hiyo hii kitu wala msiwasingizie watoto, watu wazima kabisa na elimu zenu na kazi zenu. Wengine wake na waume zao, wapenzi n.k. Lakini msisitizo kuwa, kwa kuwa mapenzi ya kibongo ni kama vita, wengi wakishaachana huwa maadui na hapa ndio shughuli huanza ya kudhalilishana.
Cha msingi ni busara tu kati ya wawili.
i guess itakua ni marketing