Men learn to be handy- women be creative

Stroke

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2012
Posts
38,633
Reaction score
49,039
I learned this from my parents , and I saw how it worked, let me share :

Mwanaume: lazima uwe handy, uwe na ujuzi wa kutengeneza gari likiharibika, kutengeneza hata kitasa, kukata majani, mabomba ya maji yakipasuka na shughuli ndogo ndogo ambazo zitahitaji fundi, utapunguza mlolongo wa watu ndani ya nyumba yako ambao baadae wataiweka ndoa yako matatani.

Mwanamke: jifunze hata kushona, kupika keki, mikate midogo midogo na vitafunwa mbali mbali, itamfanya mumeo akupende zaidi kwa kukuona mbunifu.

Siku njema, na muwe na familia bora.
 
..mwanaume hata tool box hana!!!
..manake hata kufunga socket, kupigilia msumari sehemu, basi hata kupaka rangi huwezi, aaah!!
 
umenibariki sana kwa hili somo yaani umenigusa sana leo
watu humu mjengoni wanaleta mada zisizotulia lakini wewe
umewazidi wote umeleta mada iliyokwend ashule kabisa
tungepata watu 5 kama wewe hapa mjengoni jukwaa
lingebadilika na kuwa na mambo ya maana na sio yale ya :wave:
I learned this from my parents , and i saw how it worked, let me share :

Mwanaume: lazima uwe handy, uwe na ujuzi wa kutengeneza gari likiharibika, kutengeneza hata kitasa, kukata majani, mabomba ya maji yakipasuka na shughuli ndogo ndogo ambazo zitahitaji fundi, utapunguza mlolongo wa watu ndani ya nyumba yako ambao baadae wataiweka ndoa yako matatani.

Mwanamke: jifunze hata kushona, kupika keki, mikate midogo midogo na vitafunwa mbali mbali, itamfanya mumeo akupende zaidi kwa kukuona mbunifu.

Siku njema, na muwe na familia bora.
 
Great mada kwa kweli, Hii hupunguza hata stress-kutwa kuchwa umekaa na computer, mwili umebweteka, unanenepeana, maisha yanakuboa, unakosa hata appetite ya vitu vyote. Ni tabu.

Pia if a woman mumewe akionja hata keki aliyopika akasema ahsante na kuamua kumfanyia hata kitu kidogo(even a kiss). Kwa kweli hii huongeza nukta kwenye maisha ya ndoa
 
Back then when I met my husband, I did not know how to cook anything. But he never once complained. Nakumbuka ipo siku nilipika wali ukaungua halafu mbichi. He ate. I used to cry in the kitchen. lols. But all he ever said was you will get better.

Indeed I did. I used to bake cakes for him, cookies.

My my my! Didn't he love me?
 
..mwanaume hata tool box hana!!!
..manake hata kufunga socket, kupigilia msumari sehemu, basi hata kupaka rangi huwezi, aaah!!

Socket??! kama ni ya umeme sikubaliani na ww mkuu...

Umeme hauhitaji ujanja ujanja!
 
Kuna kipindi cha tv ya Kenya kinaitwa CHURCH..... basi nami nikwambia dj ile ngoma yangu lazima ipigwe
wimbo unaimbwa demu wangu amemnoki dj.......demu nae kachagua wimbo unaimbwa wewe ni useless duh ajabu sana
 
Back then when I met my husband, I did not know how to cook anything. But he never once complained. Nakumbuka ipo siku nilipika wali ukaungua halafu mbichi. He ate. I used to cry in the kitchen. lols. But all he ever said was you will get better.

Indeed I did. I used to bake cakes for him, cookies.

My my my! Didn't he love me?

Great man.
And hakuna kitu kizuri kama kuona someone u love improving just to make u happy. Yani hata kama chakula ni kibichi going in the kitchen for him is far precious than the best meal in town.
Hapo ndipo marriage inakuwa soooo sweet!!
 
stroke kumbe hata MMU upo?

mkuu sometimes we have to share mambo muhimu kama haya, taifa bora huundwa kuanzia level za familia, tukiwa na familia zenye furaha na amani, moja kwa moja tunakua na taifa imara lenye watu wenye furaha na amani
 
Back
Top Bottom