Men are Smart but Women are Smarter... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Men are Smart but Women are Smarter...

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mbu, Nov 1, 2009.

?

Nani zaidi?

Poll closed Dec 1, 2009.
 1. W'wake wajanja zaidi

  66.7%
 2. W'ume wajanja zaidi

  0 vote(s)
  0.0%
 3. Hata sielewi

  33.3%
 1. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #1
  Nov 1, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...pamoja na ujanja wote anaoujua mwanaume, Mwanamke ni zaidi linapokuja suala la 'kuzidiana akili'...kwenye maisha ya urafiki, mapenzi na ndoa.

  Unakubali au unakataa msemo huu? Kivipi?

  Jadili na/au weka kura yako :).
   
 2. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #2
  Nov 1, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Kila mmoja ana eneo lake la ujanja.Mwanzo wa uhusiano, mwanaume anaweza kuwa mjanja zaidi, uhusiano ukikolea, mwanamke anakuwa mjanja kumzidi. Kwenye ndoa, kila mmoja anaweza kuwa mjanja kwa wakati wake kutegemeana na ishu.
   
 3. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #3
  Nov 1, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...aaaaah wapi,

  najua VC unapendelea kuwa diplomatic...sema tu ukweli wako.
  Nikikugeuzia swali, Nani anatumia uongo zaidi kwenye mahusiano ya Urafiki, Mapenzi na Ndoa utanijibu vipi?

  Usitumie 'itifaki' zako ukanijibu hiyo ni 'Generalization',...:D
  am talking about 'survival of the fittest' kwenye maisha haya ya 'kudanganyana'.
   
 4. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #4
  Nov 1, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Mbu,
  Kwa kuanzia, naomba kusema kuwa uongo siyo ujanja.Mtu muongo ni muongo na siyo lazima awe mjanja.Nionavyo mimi na nisieleweke vibaya ni kuwa wanaume ni waongo zaidi kuliko wanawake. I could be wrong.Ukiangalia trends za kudanganya katika uhusiano, utaona hulka ya kudanganya wanayo zaidi wanaume hasa kwenye uhusiano ambao mwanamke ameji commit.Mara nyingi hawa wanaume wenyewe utawasikia wakisema " wanawake wanapenda sana kudanganywa" kwa hiyo ni hulka na dhana iliyojengeka miongozni mwa wanaume. Ndio maana mara nyingi sana wasichana wanajikuta wanaumizwa sana through mfano kupewa ujauzito na kutelekezwa na hata kupewa ahadi za uchumba na ndoa.Kwa wanawake, waongo ni wale ambao hawampendi mtu bali kitu.Hawa ni laghai na usiombe ukutane nao!
  Kwenye ndoa, wanawake huwa tunajua sana mnavyotudanganya.Bahati nzuri sana wanawake tuna ule moyo wa kuepusha shari na hivyo tunanyamaza hata pale tunapojua kabisa kuwa mnadanganya. FYI muongo ukimwangalia machoni utauona uongo wote umeandikwa pale... na body language .... tunawastahi tu.
   
 5. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #5
  Nov 1, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Nadhani ujanja unategemea na mtu na mtu. Sidhani kama ujanja uko gender specific.

  Au labda sijaelewa mnazungumzia ujanja gani? Kucheat? Kama ni kucheat...toka lini kucheat kukawa ni ujanja? Au toka lini uongo ukawa ni ujanja?

  Labda tungeanza na ku define nini maana ya neno ujanja na muktadha mnaotaka kutumia kwenye mada hii.

  Na "kuzidiana akili" kwenye mahusiano ni nini? Kwa nini utake "kumzidi akili" yule unayedai umpendaye? Makes no sense to me...but oh well...
   
 6. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #6
  Nov 1, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...hivi nikisema kuishi kiujanja ujanja maana yake nini?

  Ukitafsiri neno kwa neno Uongo na Ujanja ni vitu viwili tofauti, lakini kwenye mazungumzo ya kawaida si magumu hivyo kueleweka.

  Kuna msemo katika mapenzi uongo kidogo inabidi utumike. Hiyo haina maana kila uongo ni mbaya, na vile vile inategemeana na huo uongo unamfikia vipi mhusika...

  Siamini kama kila mlisemalo kwenye mapenzi ni ukweli mtupu wajameni, aaah! ...Ndio uongo wenyewe huo.

  Julius, umegusia mtu aki cheat Si ujanja. Nakubaliana nawe 99.9% juu ya hilo, ila ukifikiria sababu nyingine za msingi tu kwanini wengine wana cheat bila kubainika naweza sema ndio uongo/ujanja wenyewe huo ninaouzungumzia hapa.

  Tafsiri ya Uongo/Ujanja ni mapokezi yako wewe, 'Pessimist /Optimist'
   
 7. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #7
  Nov 1, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Mtu kucheat bila kubainika si ujanja. Kwenye akili ya huyo anaye cheat anaweza kuona ni ujanja lakini si ujanja. Ni ukosefu wa uaminifu na ujinga mtupu. Kufanya hivyo kunaonyesha ni jinsi gani usivyo mwaminifu kwa mwenzio na kwako wewe mwenyewe. Unacheat halafu unarudi nyumbani na kumwangalia mwenzako usoni na kumwambia unampenda. Really? Unamdanganya nani sasa hapo?

  Pia, kucheat bila kubainika inategemea na mwenzako naye yukoje. Kama yuko gullible inakuwa rahisi zaidi. Akiwa ni mtu wa kukubali kubali tu kila anachomwambia bila kuhoji itakuwa rahisi wewe kucheat. Sasa ukicheat na kupata gonjwa je? Bado utajiona mjanja au utajiona mjinga? Au unacheat halafu unabamwa red handed...Lol...bado utajiona mjanja? I don't think so!!!
   
 8. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #8
  Nov 1, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...shukran sana kwa uchambuzi yakinifu.
  mengine yanayowafanya wanawake smarter than men;

  -They don't have to make fools out of themselves to impress a man,
  tofauti na mwanaume akishanogewa yeye hulala huko huko nyumba ndogo,
  ..mbaya zaidi atamjengea/kumnunulia nyumba na kumalizia mshahara wote
  huko huko bila kujali athari siku za 'kiangazi'.

  -Women know how fake it and Men can't tell a difference!

  -Wanaume wengi wanaendelea kubambikiwa watoto sio wao...

   
 9. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #9
  Nov 1, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...hili laweza kuwa sawa vilevile...

  ...wakati wa kutongozana Mw'ume huenda akaja na hadithi kwamba aliyekuwa mchumba wake kauvunja uchumba sababu kaenda ughaibuni, au
  ameachana na mchumba wake sababu ya tabia zake mbaya, au wala hana mtu kabisa maishani mwake...

  ...Akishamuweka sawa mdada, pengine mwanadada huyo tayari keshabeba ujauzito wake ndipo visingizio kibao vitapoanza, mara ooh...'wazazi wananilazimisha nimuoe yule aliyekuwa mchumba wangu', mara ooh, ....'unajua nilishaoa huko nyumbani ndoa ya kimila' nk, nk...
   
 10. kui

  kui JF-Expert Member

  #10
  Nov 2, 2009
  Joined: Mar 2, 2009
  Messages: 6,478
  Likes Received: 5,146
  Trophy Points: 280
  thank you very much!, i concur with you 100%
   
 11. annamaria

  annamaria Senior Member

  #11
  Nov 2, 2009
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 135
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Sielewi unamaanisha nini unaposema kuzidiana akili katika mahusiano. Kuzidiana akili katika kutafuta pesa na maisha kwa ujumla au kuzidiana akili katika kutumiana,kuzidiana akili katika uongo bila mwenza kujua?
  Ninachoelewa tu ni kwamba wanaume kawaida ni wadhaifu wa ngono.Sasa kama mdada hana mapenzi ya dhati ni mchunaji tu,kweli anaweza kuutumia udhaifu huu kutoka na chochote anachokitaka kutoka kwa jamaa yake.
   
 12. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #12
  Nov 2, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Sing my Vedic tantra with the matrix of the key to the solution of this problem, all the way back to square one at the very bottom.

  Every line is different, just in case you are wondering.
  Some men are smarter than women, some women are smarter than men.

  Some men are smarter than women some of the time, some women are smarter than men some of the time.

  Some men are smarter than women some of the time in some disciplines, some women are smarter than men some of the time in some disciplines.

  Some men are smarter than some women some of the time in some disciplines, some women are smarter than some men some of the time in some disciplines.

  Some men play smarter than some women some of the time in some disciplines, some women play smarter than some men some of the time in some disciplines.

  Some women are smarter than most men, some men are smarter than most women.

  Some women are smarter than most men some of the time, some men are smarter than most women some of the time.

  Some women are smarter than most men most of the time, some men are smarter than most women most of the time.


  Some women are smarter than most men in most disciplines, some men are smarter than most women in most disciplines.

  Some women are smarter than most men in most disciplines some of the time, some men are smarter than most women in most disciplines some of the time.

  Some women are smarter than most men in most disciplines most of the time, some men are smarter than most women in most disciplines most of the time.

  Before I go on too long, come to think of it, what is "smart" anyway?
   
 13. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #13
  Nov 2, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  You tell us.... you have been singing as we sing along.
   
 14. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #14
  Nov 2, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135

  In a nutshell, smart is leting the other person think they are smart ( How Machiavellian, :) ).

  So if men say women are smarter, in reality men are the smarter ones and vice versa. Women have known this for ages and it helps them gaining the upper hand in many situations.

  But this is admittedly, even deliberately, very "anthropic principle-like".

  Ultimately, what is smart to one, may not be so smart to another.

  Example, smoking is not so smart for many people, after all it shortens ones life expectancy. But other people do not want to live to a very old age, they want to live a relatively short but very rich life, full of experiences, after all who wants to live to a 100 years and be immobile, with no teeth and hard of hearing? So they figure the best thing to do is enjoy life, enjoy smoking and die early.

  So who is smart?

  It is very subjective.
   
 15. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #15
  Nov 2, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Kwa misingi ipi mkuu? Tupe facts & figures mkuu wangu la sivyo zitajaa opinions tu humu.
   
 16. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #16
  Nov 3, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Facts na figures za nini kwenye mada kama hii? Unless mko hapa kupata darasa la kweli lakini kama uko hapa kupoteza muda sioni haja ya yote hayo.
   
 17. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #17
  Nov 3, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...unakwenda deep sana mkuu,...

  soon utataka circumstantial evidence na tangible evidence.
  ...Kuna kipindi inabidi usomi muuweke pembeni kidogo tuzungumzie maisha ya kawaida.
   
Loading...