Men are cruel to single women

Ukweli ni kwamba Dunia imejaa usanii na baadhi ya maainisho uliyoyaweka hapo (Kama ni wewe mwenye taabu hiyo) usiegemee ktk cv yako na uchaji wako ktk ibada. Somebody can pretend he/she is good christian or Islamic but he/she devil inside. Mwanaume hapimwi kwa kunyimwa sex kujua he's real hata msanii MTU na malengo yake anaweza kukubalia but when u get married unagundua so Mume (hali kadhalika MKE) Jambo lingine wanaume (kwa maana ya real man a right man) ni wachache mno . my take to you Tazama MTU ambaye ni mwenye hofu ya Mungu kweli . responsible indoor and outdoor then uende naye haya mengine ni mbwe mbwe tu
 
Hii unitag kimakosa au?

Kama kimakosa sawa, kama sio kimakosa.. mwanaume wa wapi uliwah ona anaolewa?
Kumbe mwanaume!!! Basi sory!!
Sasa maumivu ya kutokuolewa uliyajulia wapi?
 
Umesema vema . well said
 
Kumbe mwanaume!!! Basi sory!!
Sasa maumivu ya kutokuolewa uliyajulia wapi?
Did i say nime experience? soma vizuri nilicho andika


Tunaish na wanawake, single moms na ambao hawana ndoa, tunawaona walivyo stressful...unadhan nashindwa tambua kwa kuwaona???
 
Blame game haiwezi kuisha ilianza tangu Edeni, na hii iko pande zote, ukimkuta mwanaume anaejua kulalamika utafurahi na nafsi yako.
Pata kiburudisho bana.

All the single ladies (All the single ladies)
All the single ladies (All the single ladies)
All the single ladies (All the single ladies)
All the single ladies
Now put your hands up.....
 
Did i say nime experience? soma vizuri nilicho andika


Tunaish na wanawake, single moms na ambao hawana ndoa, tunawaona walivyo stressful...unadhan nashindwa tambua kwa kuwaona???
Kwahiyo you can feel their pain right? Maana umesema hakuna maumivu kama ya kutokuolewa.

Hebu tueleze na ambao wako kwenye ndoa and they are very stressed out.
Stress na maumivu yako kote, cha msingi ni kuchagua upande ambao unaona una unafuu kwako.
 
Kwahiyo you can feel their pain right? Maana umesema hakuna maumivu kama ya kutokuolewa.

Hebu tueleze na ambao wako kwenye ndoa and they are very stressed out.
Stress na maumivu yako kote, cha msingi ni kuchagua upande ambao unaona una unafuu kwako.
I can not feel their pain... ila naona jinsi wananyo hangaika.. so stressful

Kuhusu walio kwenye ndoa, toka nazaliwa mpk umri huu, sijawah ona wazazi wangu wakiwa kwenye quarrel ya aina yeyote ile,

wapo wanaopata tabu na shida, lakini kwann ujitete kwa kujiticha nyuma ya hili kundi dogo? kwann ujitabirie kwamba endapo ukiwa kwenye ndoa bado unawaza angukia humu,

zunguka matatizo yote ila stress ya ndoa???
fanya kazi na boss mwenye stress ya ndoa (hajaolewa na dalili hazipo) utajuta kuwepo dunian..


mfano mtoa mada.. challenge kdg tu anawaka mpk anataman dumbukia kwenye simu yake aibukie Jamii forum
 
naona tatizo lako wewe binafsi ni culture

Tatizo ni kuwa most girls want the same man. Mfano, siku hizi, even an average looking girl fancies only the best looking and/or rich (Mr. Gray type) man. But those guys won't even look at her twice.

This has plummeted relationships in the marketplace to the disadvantage of girls. Remember women often value themselves based on their relationship status.

But competition is so high to the extent that men can now afford to be too picky, with other men concluding that a relationship is not worth the price any longer.

So, girls are wondering why guys aren't interested anymore. Few girls see such lack of interest from men as cruelty because culture and feminism have led them to believe in "self-entitlement".

Kwamba when they grow up, they will fall in love with a Prince and get married. But girls should not really expect sympathy from men. Rather than complaining, it is their responsibility to put themselves out their and suffer rejection.

So girls, women up. Feminism has empowered you all.
 
Pole sana
naona tatizo lako wewe binafsi ni culture

jaribu andika zaidi kiswahili

Very very few people here knows who is Jamie Oliver....

Jaribu kuwa more local...anza na kiswahili
Mkuu acha atumie lugha ya malkia watu huwa wanajibu matani dharua kwenye sensitive issue kama mfano mtu anatoa au anaomba ushauri matani yanakuwa mengi zaidi!
 
Una tatizo mahali sio bure, umeoa? If yes mahusiano yako kabla haujaoa yalikuwaje?
 
Kama you cant feel umejuaje hakuna maumivu kama hayo???
Kutokuwaona hawana ugomvi haimaanishi hawana stress, stress zipo kila mahali, uwe umeolewa/umeoa au laa. Ndugu sio wachache hata, soma hata mostly ya threads humu utagundua.

Na simaanishi kuwa ndoa zote ni stress, pia sio wote walio single wana stress, inategemea na unauchukulia vipi huko kuwa single kwako. Kitu ni kibaya kama mawazo yako yameamua kuyachukulia kwa ubaya.
 
Pata kiburudisho bana.

All the single ladies (All the single ladies)
All the single ladies (All the single ladies)
All the single ladies (All the single ladies)
All the single ladies
Now put your hands up.....
Hahahaaaa!!! Dota kumbe upo humu.
 
Swali langu la msingi: kwa nini mwanamke anaingia kwenye mahusiano ya mapenzi pasipo kuwa tayari na matokeo yake km kupata ujauzito?

Kwa sababu kwenye mahusiano wanawake wengi kama siyo wote hawatumii logic kama wanaume.

They do things according to their feelings/emotions.
 
Every human being have a dream, let people dream ila kukikucha atagundua tu kuwa ilikuwa ndoto tu.

Mbona hao mnaowaita 'average women' wameolewa vizuri tu, tena wengine na walio vizuri kweli hadi watu wanabaki kujiuliza 'pale kaona nini'.

Cha msingi just know yo worth,jiheshimu na keep yo standards, the right one ll meet you up there.
 
sonnet sonnet sonnet! i have called u 3 times as the number of blessings...i had bread your artical b4 turning back to see the name of a gifted woman who is lamenting like lawino....as a matter of fact your name has skoked me if the meanig i have to it is really the case.
sonnet!sonnet!sonnet! i have called u 3times as the number of blessings..remember God's trinity

i had read your article b4 turning back to see the gifted woman lamenting like lawino.as a matter of fact even your name has surprised me if the meaning i put to it is really the case(feelings of love)

what made me to reply the thread is the saying of our ancestors "when an adult is in the house the she-goat is not left to suffer the pains of parturition on its tether" surprisingly tanzania men we have left the she-goats .

actions speake louder is what can say...as am older than u for almost 5 yrs with no marriage experience but with a bright future for wise women....

in a nut shell, let me offer u the hand of friendship and leave it not return barely
 
Nimesoma sana hapa na mimi naomba nitie kucha kidogo kwenye huu upele

kinadada ambao wamefika 30's bila kuolewa kifupi wengi wao ni wazuri kuliko mamia walioolewa wakiwa 20's kwa hiyo kutokuolewa kwao tatizo sio kwamba wao sio wazuri.

Maringo was the Damn Fucking reason inayowacost Imagination kibao uongo hadithi za saloon na kuishi maisha ya movie kutaka wanaume Gents kama James St Patrick kumbe wale wapuuzi wanaigiza tu.

Mwanaume anakuja anataka kukuoa hutaki kumkubalia ukimngoja Denzel asiyekuja ukifika 33 unaanza kulia lia.

Sikieni wadada ukifika 26 acha kuchagua chagua sana pokea tu "his soul and mind" mtengeneze familia matterial zitakujaga tu mkiweza kuchanganya akili vizuri.

Wasichana waliowahi kuwakataa kina Wizkid wakati huo wakiwa mbaya Ojuelegba wanalia sasa hivi na wanaume tulivyo washenzi sasa (sio wote) tukishapata chapaa hua haturudi tena nyuma kutafuta msichana Mbagala wakati kuna kina Huddah Big Sweet Booty!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…