Men are cruel to single women

Men are cruel to single women

ahahaaa unajua wanaume huwa hawatuelewi wanawake maskini wanadhani kwa sababu mwanamke yupo 30+ basi watatutumia watakavyo. kwamba tupo desperate na ndoa.yes wanawake wengi tunaadmire kuwa na ndoa ila no way mtu utajipeleka popote! bora kufa na tai shingoni kuliko kuolewa na mtu asiejitambua .mwanaume alipe bill ndani ya nyumba meen!

kUWA DESPERATE NA NDOA MIMI NAONA NI MALEZI IT DOESNT NEED YOU TO BE 30 OR 40 OR 50. Kuna watoto wana miaka 23 ila wako desperate ni hatariiiiii. Kujizalisha ovyoo hawana mpinzani mpaka unamuuliza wewe una matatizo gani? Kila mwanaume unazaa nae, hujifunzi tuuuu?

HASWA HUKU USWAZI, YANI WASICHANA MASIKINI NI JIPU KUBWA KUNGANGANIA NDOA. Mi nashukuru Mungu amenipa exposure kidogo na kukaa na watu wenye uwezo katika maisha nikajifunza mawili ma 3. Sawa watu wenya hela wanakuwa desperate kidogo, ile hamu tu na kuwa na mtu wake ila sio kitete cha kumvagaa mtu na kumlazimishaaa. Na wana vigezo vyao. Ila uswazi mpaka kwa mganga ataenda, huyo anaelogwa sasa utaona mpaka hurumaaa. Hastahili kabisaa hata hio mikombora. Labda sababu huku swazi zaidi ya kutolewa na mwanaume kimaisha HUTOKIIIII.
 
ni vizuri kujitambua maana ndoa kwanza inapangwa na Mungu ukijilAZIMISHA MAHALI HUTOFIKA HATA .ILA MIMI NATAKA SANA KUOLEWA ILA FLOVOUR ZANGU HAMNA KABISA YAANI.SIJUI NITAPATA WAPI MUME WA TYPE YANGU
 
Baby "sonnet" these days, there's nothing taboo about choosing to become a mom on your own. Marriage is not financial necessity it once was, with men's earnings falling as women's rise. So we build a career, postpone coupling up- and then, at a certain age, want kids. Why not? We have the means, the heart, the will. Single moms ain't who they used to be. The modern mamas prove that all you need for a family is love, commitment, and a sense of humor.
VERY TRUE....I LIKE THAT
 
Hata nikiachika leo ntaolewa tena. Walikuwa wengi kwenye mstari. Na huyu kaka sio kwamba nimembahatisha, i know how to keep a man.

Si kweli,nyie watu wamajisifu bwana,waongo sana.....by default hua siwaamini..

Prove me wrong!
 
ahahaaa unajua wanaume huwa hawatuelewi wanawake maskini wanadhani kwa sababu mwanamke yupo 30+ basi watatutumia watakavyo. kwamba tupo desperate na ndoa.yes wanawake wengi tunaadmire kuwa na ndoa ila no way mtu utajipeleka popote! bora kufa na tai shingoni kuliko kuolewa na mtu asiejitambua .mwanaume alipe bill ndani ya nyumba meen!
Who is loosing... wanawake bana? Utakapo kua 30+... kwa visingizio kama hivi vyako, unadhan ni nani anadhurika? au anae lala anahesabu mabati?

Ukimzingua mwanaume leo kesho yupo pengine, kesho kutwa anaoa.. anaweka mke ndani anarud kwako kuomba kipochi manyoya

Waendeeln kuwadanganya tu.. Age is just a number, tuko makini na umri kweli kweli, mwanaume hua anaongozwa na genye, na akili za kichwa cha chini kwenye maswala ya totoz ila sio kwenye kuoa, anakua conscious vibaya mno
 
And neither did i say it was a fact either...was just a general view but there again u perceived it differently, you've just built this wall that you aren't ready to allow other opinions that won't correlate to yours get through, that won't get into any justification "in my opinion"...personally i believe that when somebody really wants to get through with some complications, they have to be ready to take into account on all the variables that will be prevailing on the matter
My friend, usipoteze mda, ndio maana ndoa imepeperuka, huwez ishi na mtu wa hv
 
WHAT I THINK IS MEN ARE NOT CRUEL,ITS JUST THAT AS A WOMAN,AS A SINGLE WOMAN YOU SHOULD LEARN TO KNOW YOUR STAND,AND WHAT MAKES YOU PROUD AND STRONG,IF A GUY WANTS A SKINNY LADY,A A WOMAN THAT HE SEES ON THE MAGAZINE,NO THANKS TO THAT BROTHER,HE AINT MY TYPE,I ENJOY BEING SINGLE,,,THAT JUST MAKES ME REALIZE I HAVE NOT MET A MAN OF MY STANDARD,AND AM PATIENT..COZ I KNOW THE GUY THAT I WANNA DATE IS SUPER COOL..SO HARD TO GET

......SISTER SOME MEN DONT EVEN WORTH YOUR LOVE,GOT TO BE CAREFUL,AND MARRIAGE IS NOT EVERYTHING IN WORLD,THERE THOSE WHO WISH HAD NEVER MADE THAT COMMITMENT
-BE YOU
-BE TRUE
-BE HAPPY
......LIFE IS SHORT MAKE TIME TO ENJOY....
 
ahahaaa wanaume wapo tena wengi tu lakini tamaa hizi.mtu unaanzaje kulala chini na mtu wakati wengine wanaishi masaki huko?
Haya nenda masaki, alafu ukifika huko waulize,, mlizaliwa coco beach au wapi?
 
ahahaaa wanaume wapo tena wengi tu lakini tamaa hizi.mtu unaanzaje kulala chini na mtu wakati wengine wanaishi masaki huko?

Nahusisha wazo lako na maisha ya kufikirika ya Watanzania kwa muda mrefu.

Maisha ya kufikirika ni kama ulivyodokeza "mtu unaanzaje kulala chini na mtu wakati wengine wanaishi masaki huko?" Mfano mwingine ni wa kuwa na gari la bei mbaya huku unaishi kwenye nyumba ya kupanga tena chumba kimoja.

Ukiishi kwa jinsi ya uwezo wako naamini utapata mwenzi wa jinsi yako. Ukitaka wa kutanua maisha, pia utampata na zikiisha pesa za matanuI, bila shaka unarudia hali yako ya mwanzo. Itakuwa bahati yako usiachike, ila naamini mwanamke ataacha na kutafuta wa kutanua naye tena.

Serikali ya Awamu ya Tano, siyo tu inadhibiti ufisadi, ila pia inaziba mianya ya fedha zinazopatikana kwa njia isiyo halali. Ni wazi kwamba ndoa nyingi zitayumba na kuvunjika, kama msingi wake ulikuwa mali. Upo hapo "Miss Natafuta"! Tafuta mnayefanana kwa kila hali, na wapo tu wengi.

Ila nirejee kwenye swali langu la msingi kumjibu 'Sonnet': kwa nini unataka kuolewa (kinyume cha kuwa 'single')?
 
My friend, usipoteze mda, ndio maana ndoa imepeperuka, huwez ishi na mtu wa hv

Mtu asipokua na utayari wa kujiona na kujiuliza kuwa yeye anakosea wapi kabla ya kuanza kumtafuta mbaya ni nani kamwe hawezi kupata majibu yaliyo kamilika, whether she take it or leave it but she has got some reflections to do
 
WALIZALIWA HUKU NILIPO WAKAPELEKWA KULE NA MIMI NASUBIRIA WA KUJA KUNIFATA BNA
wakapelekwa au wakaenda? dhahabu haiwez kua dhahabu mpk ipite kwenye moto mkali sana ndio iwe dhahabu... hawakudondoka pale bahati mbaya, ni matokeo ya juhudi zao

Badala ya wewe kusaidia na mwenzio, unataka ukute kila kitu kipo.. huyu unae mkimbia leo, kesho unamkuta amesimama, unae mkimbia kesho kutwa mtindogoo unamkuta amesimama, unaendelea kukimbia tu.. mara vuu 30+ hiyo hapo, utaimba hallelujah
 
There I said it, its a cruel world for a single woman. I know that for a fact because I am one.

This post is not a "I am looking for a husband post", I already wrote such a post about a year ago, right here at Jamii Forum, with sad, disheartening results. Not one serious man responded, my inbox was full of jokers, pranksters and alas the married man...

This post is for fellow single women and for some men to have a glimpse of what it feels like to be single. To watch your friends and relatives get married and to have the rest of the world mock you for being single, as if it were your fault, as if you wouldn't change that in an instant if you could. (wouldn't you ladies)

So ladies (and gents), why are we single?
I really don't know. Could it be that the men around us are officially blind? Could it be that their minds are saturated with retouched instagram/facebook pics of women with perfect bodies, gorgeous skin, thin waist, perky breasts and butt. That for real they wouldn't spot a normal natural good looking woman even if an angel descended on earth and personally pointed towards the girl's direction?

Could it be that we girls love too deeply and we trust too much? Tell me what is wrong with loving someone? With believing him when he tells you he loves you and wants to spend the rest of his life with you. Is it our fault that all we get instead is a broken heart and a wet pillow from crying ourselves to sleep?

There must be something wrong with me, you wonder; I am a born again Christian woman who embraces her imperfections and acknowledges that through Christ everyday I become a better me.
Maybe I am too old? Age is nothing but a number so a woman can never be too old. Since you wondered I am thirty years old.
Maybe I am a single mother? I am not. I have never been married and I don't have children. (However even if I was, WHAT IS WRONG WITH BEING A SINGLE MOTHER? why can't you look past that and see the wonderful woman in-front of you?)
Maybe I am always asking a man for money? Nope - I have my own. With a university education and a good highly satisfying job that pays me around 2 million or so per month, I can pay my own bills thank you.
Maybe I can't cook you think? I can cook in a way that would put Jamie Oliver to shame
Maybe I don't clean or wash? Nope that isn't it, I'm clean as clean can be .
Maybe I am short, fat and ugly? I am not bad on the eyes I would like to think, thin body (with an athletic build thanks to aerobics, swimming and some weightlifting here n there to keep me toned), shoulder length hair, good skin and I am ever so comfortable being seen without makeup on my face.

So why am I single? I don't know. But what I do know is Tanzanian men should spot judging us from our marital status but from who we are as human beings. Look at my heart not my body, look at my mind not my ass, look at my education and job accomplishments and for heaven sake stop judging me from my age, or whether or not I have children.

If you dear reader want to be helpful, maybe you can give us single women some pointers on how and where we can meet available men.

As a concluding remark, if Prince Harry can fall in love with a black, divorced woman three years his senior, maybe just maybe there is hope for the rest of us.

"Sonnet"

Update

I am sorry if l offended anyone by posting in English. I didn't mean to make anybody feel left out. Sometimes I use Swahili, Sometimes I use English, Its not me being fake, its just me being myself. Sorry once again.

Samahani kwa kutumia kiswahali, sikutaka mtu yeyote ajihisi vibaya. Wakati mwingine natumia kiswahili na wakati mwingine natumia kiingereza. Sikua na nia mbaya. Nisamehe kwa hilo.

Girl, I think we should not stoop so low as to accept anybody who comes our way even if we have nothing in common with them.
Silently watch and observe him,
-How often does he go to church? (or other place of worship)
-How does he treat you?
-Is he rude, bad mannered and disrespectful to others around him (especially to women,) e.g the waitress serving you food or the askari at the entrance.
-Does he drink alcohol abit too much. (I actually prefer he doesn't drink alcohol at all)
-Don't sleep with him girl. No matter what he says. Even if he calls you "mke wangu" . Hata akikueleza "sema lini nije kujitambulisha" . "Taja mwenyewe tarehe". Once he realises the promise of marriage is not working as you refuse to sleep with him, he will surely disappear. Making way for the right man to come along.
-Before you fall deeply in love do ask him enough questions and carefully read into his answers? They will reveal who he really is.
-Trust your instinct, deep down you know if he is "The One" or the wrong one. Don't ignore that feeling. Not everyman is husband material.
There l said it.
Mkishaandika tu lugha zenu za kijinga hizi bhasi huwa sisomi tena hiyo habari.
Maana wengi huwa mnajifanya hamjui kiswahili. Chenji kabicha
 
wakapelekwa au wakaenda? dhahabu haiwez kua dhahabu mpk ipite kwenye moto mkali sana ndio iwe dhahabu... hawakudondoka pale bahati mbaya, ni matokeo ya juhudi zao

Badala ya wewe kusaidia na mwenzio, unataka ukute kila kitu kipo.. huyu unae mkimbia leo, kesho unamkuta amesimama, unae mkimbia kesho kutwa mtindogoo unamkuta amesimama, unaendelea kukimbia tu.. mara vuu 30+ hiyo hapo, utaimba hallelujah
HIVII MWANAUME HUNA HATA KIANZIO JAMANI UTALAUMU WANAWAKE? MKUU NILIKUWA NATANIA TU SITAKI MWANAUME TAJIRI ILA AT LEAST MWENYE MALENGO NA DIRA .SASA WENZETU NYIE MPO KISEX TU .MIMI SIWEZI KABISA
 
When you call me classy don't expect me to get offended. Since you have decided to categorize us then what you are really telling me is that l am out of your league.
 
HIVII MWANAUME HUNA HATA KIANZIO JAMANI UTALAUMU WANAWAKE? MKUU NILIKUWA NATANIA TU SITAKI MWANAUME TAJIRI ILA AT LEAST MWENYE MALENGO NA DIRA .SASA WENZETU NYIE MPO KISEX TU .MIMI SIWEZI KABISA
Kwanza ondoa kauli, hatulaum wanawake, alafu hakuna mwanaume ambae hana dira, kile unacho muona nacho kwa upande wake yeye ndio mafanikio yake , wewe kama mwanamke una uwezo wa kumfanya aisiishie hapo... mbona sie hua hatuuliz kama mna dira au la?

Msaidie, kwa maneno au kwa vitendo, msumbue ayachukie mambo madogo madogo, msumbue ajitume, mtafika tu... yan mzae katoto hadi kafike 10 yrs mnakua mmefika mahali

again, hakuna kitu kifupi kama usishana kwenye hatua za ukuaj wa binadamu.. kama bao la kwanza, mda wenu wa kuringa hua n mdogo sana alafu wengi wenu wanakuaga hawajui, wanapo anza salimiwa na watoto "shikamoo mama" wakat ana miaka 28 ndio anaanza shituka... ukifika 40 tu hapo tayari menopause... sijuag hiyo jeuri mnatoleaga wap, yaan thielew kabisa hahahaha
 
When you call me classy don't expect me to get offended. Since you have decided to categorize us then what you are really telling me is that l am out of your league.

How do we even start calling u classy from the first place depends in a quiet number of factors judging from your writing, expressions, desires, your educational levels, financial status...you've written quiet a huge content from which it makes it easy to describe what type of a person we are dealing with, so instead of saying we have "categorized" you...i think you should go back and refer what your post says cause trust me... it pretty much says alot about u
 
Who is loosing... wanawake bana? Utakapo kua 30+... kwa visingizio kama hivi vyako, unadhan ni nani anadhurika? au anae lala anahesabu mabati?

Ukimzingua mwanaume leo kesho yupo pengine, kesho kutwa anaoa.. anaweka mke ndani anarud kwako kuomba kipochi manyoya

Waendeeln kuwadanganya tu.. Age is just a number, tuko makini na umri kweli kweli, mwanaume hua anaongozwa na genye, na akili za kichwa cha chini kwenye maswala ya totoz ila sio kwenye kuoa, anakua conscious vibaya mno

HAHAAAA. Pia ukiwa umeolew in your 30s and nothing is happening mtihani. Unaozaa kimara watoto wa 3, umechoka hatariiii. Wenzio ulio graduate nao, wanaongeza vyeti, vyeo, na kujaza passport. HAHAAAA! IN LIFE YOU DONT GET EVERYTHING.

MUNGU ANAWEKA SOME SORT OF BALANCE, MKUKITANA MNAHESHIMIANA KIULAZIMA. ANAPOPUNGUZA ANAKUONGEZA PENGINE KUKU CPMENSATE NA ANAEMUONGEZEA PENGINE, KWINGINE ANAPUNGUZAAAA. ACHENI MUNGU AITWE MUNGU.

SOME FEW BY FEW I MEAN VERY FEW GET EVERYTHING. ILA NI WACHACHE MNOOO.

Mi hata niwe na miaka 100 mwanaume wa kunikopa apite kuliaaa nitakuwa nyumba ndogo kwa Le Boss.
 
Back
Top Bottom