Men are cruel to single women

Uwe mnyenyekevu utaolewa lakini ukibaki na misimamo yako hiyo kila utakayekutana nawewe atakukimbia tu
 
Unakubali nini unakataa nini?! Mnapenda slope, ila ni nature hali halisi na tunaikubali ndio maana tunawaoa etc.
Hahahha mi nakataa hio kwamba tunapenda slope,Naturally ni slope kwa mwanamke wether unapenda au hupendi, pride ya mwanaume akulee mwanamke
 
Wacha tuwe makatili tu. Mkishazalishwa huwa mnajifanya mna manners kweli kweli na mnazitafuta ndoa kwa udi na uvumba, ila wakati bado hamjazaa nyodo zilikuwa hazihesabiki, mtu hata ukisalimiwa kuitikia ni shughuli, jua likishaiacha alasiri mnaanza kuhaha.

Binafsi sina huruma hata kidogo na single mother, tena nikishakujua hivyo, nikikuita ukitaka uje, ukitaka usije, sina muda wa kuhangaika na ndaza mie.
 
Nilifichwa kuepuka shambulizi za kiranja na ndugu yangu simplicity hahahaaa.

Ulipoletea wapi V?
Afu kiranja kapotea kweli sikuhizi kakumbwa na nini sijui...

Mie kila siku nimo humu my dear. Nashangaa hatuonani tu
 
Afu kiranja kapotea kweli sikuhizi kakumbwa na nini sijui...

Mie kila siku nimo humu my dear. Nashangaa hatuonani tu

Inawezekana kabadili id au nae kaquit jf baada ya ban kumuandama. Ila jamaa alikua stalker hahahaa
 
Hahahaaaa!!! Monopese ndio fimbo wanayotumia kutuchapia.
Kuna wanaume utawaonea huruma wanavyohangaika, basi tu yetu ndio yanaonekana. Hata 'wake' ni adimu kama walivyo 'waume'
Pia nyie wanawake ni wengi kwa idadi kulinganisha na idadi ya wanaume
 
HIVII MWANAUME HUNA HATA KIANZIO JAMANI UTALAUMU WANAWAKE? MKUU NILIKUWA NATANIA TU SITAKI MWANAUME TAJIRI ILA AT LEAST MWENYE MALENGO NA DIRA .SASA WENZETU NYIE MPO KISEX TU .MIMI SIWEZI KABISA
Misimamo yako na muonekano wako utakujastuka ushaanza kuitwa bibi.Napita tu......
 
Pia nyie wanawake ni wengi kwa idadi kulinganisha na idadi ya wanaume
Hilo hakuna anayepinga, sasa kama ni wengi what do you expect? Alafu hapo hapo kuna mapunga uwiiii!!
 
Good writer, wanaotaka mke huyu hapa sasa. Anajua kupangilia point zake. Na nahisi ashajifunza kutokana na makosa. Hongera nimependa mwandiko na narration ya points.

The way you pigierd chapuo yourself will certainly work.
 


Kumbe ndio siri ya mahubiri yako!,...smart You.
Nimejifunza kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…