Men are cruel to single women

Wanawake ndio mnapenda slope. Ukiona mwanaume anatafuta kuoa kwenye slope ana walakini though inaweza kukuangukia.
Wakati mwingine sio kupenda slope, ila umaskini wetu tu na utegemezi. Nikupe mfano, kuna vibinti viwili (hawawezi wakawa sawa kwenye Kila kitu 100%)
A. Beauty+ exposure + manners+ brain+ Cash, hana anayemtegemea

B. Beauty + Exposure+ manners + brain + no cash. . In fact ana utegemezi unaomsubiri nyuma yake.

Utamchagua yupi? Mwenye bonus asiye na bonus?
 
RRONDO my dear wapo wengi mnoooo, tena wakati huu ndio zaidi.
Kwa upande wetu its nature beibiii, Hawa alimkuta Adamu ana kila kitu ndio maana walidumu, hamjifunzi tu??

Kama nakuona comment inayofuata.
Nimesema ukiona mwanamme anaangalia slope kuoa ana walakini, sijasema hamna. Wanaume wa kweli hatuangalii slope, hatujifunzi nini?
 
Hayo ya juu ndo gazeti!

Kama hilo ndilo jibu, basi husisha na kuishi pweke kwake "Sonnet".

"Sonnet" hivi ya "Heaven Sent" (Sijasema ntaangalia Uzuri; bali Mvuto) kama ni ya kweli, hujapata mwanaume wa mvuto kwako uondokane na "single living"
Lile swali lako sijakujibu bado, halihusiani na physical attraction. Na physical attraction sio the only factor ya kuingia kwenye mahusiano Na mtu, ingawa ikikosekana ni tatizo kubwa pia
 
Nitamchagua B.
 
Haha mtu asipokuvutia ni mtihani
 
Nimesema ukiona mwanamme anaangalia slope kuoa ana walakini, sijasema hamna. Wanaume wa kweli hatuangalii slope, hatujifunzi nini?
Oooh basi nimekupata. Hamjifunzi kuwa ni kawaida kwa mwanaume kuwa provider kwenye familia? Kwahiyo usione kuwa tunapenda slope jamani, its nature.

Alafu trust me mwanaume anajisikia comfortable akiwa juu ya mwanamke, mwanamke akimzidi inampunguzia kujiamini, ndio utashangaa anakuwa mtu wa kupanik tu hata ukimkosea kosa la kibinadamu tu anaona kama unafanya hivyo kwasababu umemzidi.
 
Huyo alikuwa hana hela maana hela imo damuni mwako!
 
Mweeeeeh!!! Yamekuwa hayo!
"atoto": mwenzenu "Sonnet" kaomba msaada 'If you dear reader want to be helpful, maybe you can give us single women some pointers on how and where we can meet available men', msizingue kwa hadithi zaidi ya "facts of life".

Lakini yawezekana wachangiaji humu ni wa aina hiyo hiyo ya "singeli"
 
RRONDO wants it all.
 
Oooh basi nimekupata. Hamjifunzi kuwa ni kawaida kwa mwanaume kuwa provider kwenye familia? Kwahiyo usione kuwa tunapenda slope jamani, its nature.
Tunajua kupenda slope ni nature yenu, ku provide ni nature yetu albeit kwa wake/committed wapenzi wetu. Not to every woman.
 

Hivi kumbe wewe mwanamke, nilijua dume ati!!

Hivi mbona pointers zishatolewa sanaaa humu, hata sisi (mie my na my dota) tushazitoa, au unatakaje? Basi hebu mpe wewe hiyo unayohisi ni bora zaidi.

Alafu mbona nae nimeona update yake, au haujamsoma tena?
 
Uko sahihi upande wa mwanaume, lakini hapo mwanamke kupenda slope si sawa,ni NATURE/hali halisi...
Unakubali nini unakataa nini?! Mnapenda slope, ila ni nature hali halisi na tunaikubali ndio maana tunawaoa etc.
 
Tunajua kupenda slope ni nature yenu, ku provide ni nature yetu albeit kwa wake/committed wapenzi wetu. Not to every woman.
Tehteh teeeeeh!!! Basi ngoja tu nikuambie haya, ikufariji na hiyo slope yako.
Kwani nani alikuambia uwe commited to every woman jamani?
 
Huyo alikuwa hana hela maana hela imo damuni mwako!
Hahahaaaa!! I was very inocent by that time, hata pesa nilikuwa siijui, hata nilikuwa nikiiokota naipeleka kwa mama atoto. Kwao walikuwa na ng'ombe wengi msukuma yule, tulikunywa sana maziwa.
 



Hii dunia hii....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…