memory stick size icreasing

memory stick size icreasing

Njunwa Wamavoko

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2012
Posts
5,757
Reaction score
2,388
wakuu naombeni msaada wa working link ya software ya kufanya kazi tajwa kwenye kichwa au mwenye nayo basi naomba ani-attachie sababu nimetafuta bila mafanikio
 
Hiyo Software kweli ipo ila inachofanya ni kubadili jina tu lakini uwezo unabaki palepale.
Click hapa.
 
Haiwezekani, space ya memory ni hardware haiwezi kuongezwa kwa software.
 
mkuu nashukuru,nilichelewa kupata kwa sababu ukuni quote,sasa hii inabadili jina kwenda wapi?e.g from 2gb to 4gb au nn?

Yaani ukichomeka kwa pc itaonyesha ni 4gb but capacity inabaki vile vile maana watu tumejaribu hayo makitu kwa kuweka data za 3gb hivi inakataa mwana.
 
mkuu nashukuru,nilichelewa kupata kwa sababu ukuni quote,sasa hii inabadili jina kwenda wapi?e.g from 2gb to 4gb au nn?

Mkuu @njunwa mavoko, inamaana ukianzisha thread huwa hafuatilii? Kama alivyokuambia mkuu hapo juu kuwa 1Gb itabadilika kuwa 2Gb au 2gb itakuwa 4gb lakini ki ukweli uwezo wa kubeba v2 utabaki kulekule. Jaribu tu utaona.
 
nahisi nimetoa sababu ilonifanya nishtukie zaidi nitoe shukrani kwako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom