usiwe kama wale mume anarudi yeye
kakaa kibarazani na shosti
jamaa anaingia ndani na mamifuko yake kutoka sokoni
mama hana muda
utasikia mama anaita wewe sikitu (mjakazi)
mpikie baba ugali.
baba anafanya kweli na sikitu humo ndani mama
anazidi kutoa umbeya kibarazani tu.