Meme: Jimbo la Kilwa pamoto sana

Duh......Kilwa Kaskazini balaa nishapata mradi huko maeneo ya Kandawale, Mtumbei, Kipatimo, MT, Nguchuchu, Chumo ni balaa usiku hakulaliki mauzauza ya kutosha mfano pale Kandawale mwisho wa matatizo aise. Kumaliza ule mradi Muweza wa yote alitusimamia sana maana wengi walikiwa hawamalizi.​
 
Kilwa hiyoooo
Kilwa ya babaaaa

All in all nimesoma shule ya msingi kilwa kivinje..
Secondary nikasoma hapo hapo kilwa secondary (Milamba)

Naipenda kilwa yangu.. ni kila siku nakumbuka lile life la kushirikiana ndgu jamaa na marafiki,

Life ambalo tunakaa kama kijiji an msiba ukitokea tunatangaziwa katika msikiti wa ijumaa na watu kwenda kuzika..

I love you kilwa kivinje 🙏🙏🙏🙏
 
Mradi wa barabara
 
Mungu anisaidie nianze kukuogopa maana Kilwa naiogopa hata kwa kusikia sasa mwenzetu ndo kwenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…