Amehlo
JF-Expert Member
- May 8, 2019
- 10,415
- 30,132
Siwezi kusahauNikukumbushe lini ama utanikumbuka 😂😂
Siwezi kusahauNikukumbushe lini ama utanikumbuka 😂😂
Hata wengine hujui id zao vizuriHabari zenu humu....
Member ninao wakubali sana ambao nyuzi zao zinabamba sana,tena wakicomment kwenye nyuzi za watu lazima ufurahi tuu hawana baya..
1.mshana.
2.mpwayungu.
3.mangi shangali
4.Great of all time
5.umughaka
6.smart 9
7.depan
8.simba buyenze
9.extrovet
10.sakayo.
11.kichwa kichafu
12. 12.davet
Hao ndo members wangu ninao waelewa sana.
Nakaribisha mapovu kwenu nyie nisio wataja..
Kapata mchepuko unamchanganyaMume wangu kipenzi ERoni
a.k.a shindikana.

Bibi yako amejifungua mapacha. Nimempiga stop kuchangia hapa mpaka watoto waote meno... Hapa wanga wengi...
Samahani mkuu, wewe ni Me au Ke...??🤔Nakukubali mwaya
UnyanyasajiBibi yako amejifungua mapacha. Nimempiga stop kuchangia hapa mpaka watoto waote meno... Hapa wanga wengi...
Wewe pia ulipotelea wapi? Sikumbuki kama nilipokea mahari yako
Hongera kwenu mnaokubalika, wenzangu na Mimi ambao hatukubaliki na mwamba karibuni hapa KB Bar Tegeta Nyuki tule vyombo

nimechekaaa hadi mbavu zinauma.Mfumo dume
Watoto wanaota meno wakiwa na miaka mingapi kwani manake huu mwaka wa tatu biibii yangu hajachangia chochoteBibi yako amejifungua mapacha. Nimempiga stop kuchangia hapa mpaka watoto waote meno... Hapa wanga wengi...
Wewe pia ulipotelea wapi? Sikumbuki kama nilipokea mahari yako
😂😂Sikubaliki na jamii bora nilewenimechekaaa hadi mbavu zinauma.
Chenkyuu 😍😍mimi nakukubali
💯🤝Habari zenu humu....
Member ninao wakubali sana ambao nyuzi zao zinabamba sana,tena wakicomment kwenye nyuzi za watu lazima ufurahi tuu hawana baya..
1.mshana.
2.mpwayungu.
3.mangi shangali
4.Great of all time
5.umughaka
6.smart 9
7.depan
8.simba buyenze
9.extrovet
10.sakayo.
11.kichwa kichafu
12. 12.davet
Hao ndo members wangu ninao waelewa sana.
Nakaribisha mapovu kwenu nyie nisio wataja..
💯🤝13. Extrovert
14. raraa reree
15. denooJ
16. Half american
17. Antonnia
18. MO11
19. THOMAS SANKARA
20. Detective J
💯🤝
Nipo mkuu, shukurani sana Kwa heshima uliyonipaMpwayungu uko wapi