Member ninaowakubali sana...

Member ninaowakubali sana...

Nimemmis mchepuko wa babu yangu mpendwa Asprin ... Sakayo ,sijui kwanini kaacha kuchangia humu

Eti dia babu Asprin umemfanya nini biibii yangu mdogo Sakayo hadi kaamua kuwa mpenzi mtazamaji tu?manake inavyoonekana huwa anaingia humu lakini hajasema neno since 2020
Kama hujui huyo ndio Madam prezidaa. .a.k.a chifu hangai.
 
Back
Top Bottom