Member mwenzetu YO YO yuko matatani

Hii kitu ya kutanua inakera wajameni.....
 
....nakubaliana na wewe, huyu kavunja sheria! ila hapa panatakiwa msaada kwa maoni yangu wakisheri zaidi.....!
Unaweza kunifafanulia zaidi, mtu aliye funja sheria unamsaidia vipi?
 
Reactions: y-n
Wandugu tunakaribia kufinalise dhamana ila jamani police wetu hawa wanaweza kukusinmgizia umeeua, kosa la traffic wanakupiga pingu?

NB: Pdidy Mungu akubariki kwa msaada wako. Wewe hakika umetusaidia
 
duh POLE SANA MPWA
WAPWA HATA MSAADA WA MAANDISHI AKUNA LOH
LUV JF
 
yo yo pole sana ndugu yangu natumaini utatoka kabla ya weekend kuanza
 

Nampa pole kwa masahibu yaliyomkuta.

Inaonekana alikuwa anawaiga majenerali wa geshi, manake wengi ndo wana tabia za kutanua(hapa ndio utaona bongo kuna matabaka ya raia wake-wasioguswa na sheria na wale wanaotembea juu ya sheria) na tarfiki akiona gari ina number plate nyeusi anaywea.

Ushauri kwa yoyo na wengine wanaopenda kuvunja sheria kwa kujua ama pasipo kutarajia, usiwakimbie polisi hata siku moja. Muhimu ni kuwa na ujasiri wa kusema nao tu, huwa hawashindwi kuelewa somo hata kama una kima cha chini kiasi gani.
 
Wandugu tunakaribia kufinalise dhamana ila jamani police wetu hawa wanaweza kukusinmgizia umeeua, kosa la traffic wanakupiga pingu?

NB: Pdidy Mungu akubariki kwa msaada wako. Wewe hakika umetusaidia
Big up mkuu!!
hii kitu ni mbaya........kwanza ametanua, pili amekimbia.........kukimbia linaweza kutafsirika kama mwizi, alikuwa ana silaha, alikuwa na drugs au alikuwa anataka kuteka polisi.....kama alikimbilia njia ambazo sio.

mi nishakaa ndani whole day....jamaa wa togo hawa (pikipiki) alinisimamisha kwenye mataa, akafungua mlanbo akaingia ndani......nikambishia, sikusimama, nikaondoka nae akiwa na masilaha yake, nikaenda nae kama 5Km hivi. nikasimama nikamwambia achape lapa. weeee!!!......Msala wake usiupimie, nilipata kesi ya kuteka askari mwenye silaha mbili...SMG na Bastola.
Pombe nyingine za kuamka nazo mbaya sana!!!
 

Nadhani tangu siku hiyo huachi mlango bila kuwekea kitu cha lock.
 

Nimeona hapo tu, na nimeshapata sababu. Ahsante sana kiongozi!
 
jamani trafic kesi zimebadilika cku hzi hizi habari za kusema unampa 500 yanakwisha cku hizi wakikutaiti kama ivyo alivyotaitiwa yo yo ata laki awapokei utajinunua mwenyewe vzuri wao wanakuchagulia siku 14 au zaidi
 
Wandugu tunakaribia kufinalise dhamana ila jamani police wetu hawa wanaweza kukusinmgizia umeeua, kosa la traffic wanakupiga pingu?

NB: Pdidy Mungu akubariki kwa msaada wako. Wewe hakika umetusaidia

poleni na majukumu mazito wakuu ucwajali mapolice wetu ndio walivyo wanafanya wapendavyo kukupa uzito ujione unamsaada ili wakuchakachue vzuri
 
pole jaman
we mwambie akitoka anitafute nimpe POLE YA MAHABUSU..manake kule nako kuna mambo..lolote laweza kutokea ni segerea nusu..akitoka anione pls nimfanyie welcome hm beb
 
jamani trafic kesi zimebadilika cku hzi hizi habari za kusema unampa 500 yanakwisha cku hizi wakikutaiti kama ivyo alivyotaitiwa yo yo ata laki awapokei utajinunua mwenyewe vzuri wao wanakuchagulia siku 14 au zaidi

Kiongozi hawa trafiki ni wale wale wa siku zote, kinachofanyika ni kuwabadilishia pointi, toka kawe nenda mbezi jogoo, toka ubungo nenda air port na kadhalika lakini yale mambo yao ni yale yale

Alichokosea yoyo ni kuwakimbia, angesimama sasahivi tusingekuwa tunazungumza habari ya yoyo kuswekwa rumande.
 

haaaa umenivunja mbavu jamani....
 
Hii ni Post aliyotuma 1138
Re: Michubuko baada ya kula chumvi
Imepungua kidogo......nitatesti tena leo nione kama kesho nitakuwa safi
​
wewe umeanzisha post 1209 sasa alishikwa saa ngapi na wewe taarifa ulipata saa ngapi??
​
 
Usipofuata sheria hayo ndio madhara yake,jamani tujitahidi kufuata sheria lasivyo itakuwa kila siku tuko matatani
 
Kwa sasa YO YO anaandika statement yake na pia wameagiza gari yake ikaguliwe. Naona kuna matumaini sasa huyu police mkubwa 1 kasema tutambue kuwa hajala na tangu saa 4 anamshulikia mhalifu wetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…