Bigirita
Platinum Member
- Feb 12, 2007
- 16,042
- 7,474
Nyamayao usicheke bana........Pombe za kuamka nazo mbaya sana......nilitoka nae Ubungo, nikaenda mpaka shekilango, nikaingia sinza, nienda hadi lamada, nikarudi mwenge, nikaenda nikaingia survey, nikenda chuo, nilikuwa nataka nimpitishe njia ya changanyikeni ya porini.......nikastuka anaweza kunifanya mbaya. Nikapaki bank, nikajipeleka kuchua kisu kabisaaa, nikarudi nikakuta wenza ke wamefika, nikatukana sanaaaa!! ndo nikakubali kwenda kituoni. Lakini ni mbaya sana.....dont try this.haaaa umenivunja mbavu jamani....