Pdidy
Platinum Member
- Nov 22, 2007
- 61,674
- 37,852
Ushasoma marryKua senior au expert ni kigezo gani?
View attachment 3327178
Kingine ykichangia michango yao unapandoshwa
Pand upandishwe
Ushasoma marryKua senior au expert ni kigezo gani?
View attachment 3327178
“Panda upandishee” nimekuelewa mkuuUshasoma marry
Kingine ykichangia michango yao unapandoshwa
Pand upandishwe
Unaweza kutoa alichotoa mkuu??😅😅 Upewe u senior au platinum
😂Unaweza kutoa alichotoa mkuu??😅😅 Upewe u senior au platinum
Unayosema ni kweli kabisa!!!! JF ya miaka ya 2005 na sasa hivi ni vitu viwili tofauti kabisa!!! Sasa hivi watoto wengi wamevamia JF na kuiharibu.Zamani watu walisotea sana hizi status. Siku hizi ndio maana jf imepoyeza credibility yake kwa kiasi kikubwa. Watu maarufu na wenye heshima zao walishaacha kuandika jf, utoto na mwingi sana.
Haya mkuuNdani ya siku 3 ana post 115 we unaona huyu mtu wq kawaida?. Kuna watu wqna miaka kama 10 humu lakin ni senior. So kinachoangaliwa sana ni engagement