DR HAYA LAND Mshana Jr
Baba Swalehe DIVISHENI FOO
Kiranga cocastic
Numbisa
Samahani mkuu
Mshana Jr
Daah nje ya mada mkuu mpaka sasa mambo yanaenda poa sana mpaka nashangaa japo wenzangu wanaendelea na mambo yao ya hirizi ila mimi nakomaa kivyangu japo sio mtu wa kwenda nyumba za ibada ila naomba kwa Muumba wangu....
Mkuu ila kuna swali naomba unijibu tena kwa kufikilia sana..
Mkuu huyu mwenzangu ananishawishi sana nisiwe na urafiki na watu furani...
Tena inafika kipindi anasema hata nisiwasalimie , nikiuliza sababu anasema ety ni watu wa roho mbaya... Yani wanga
Mkuu je hivi hii imekaaje je kuna adui wa kurithi kweli .?
Na mimi sifatagi ushauri mi nacheka na wote mkuu an sijali na sijaingizwa kwenye mfumo wao..
Je ni kweli watanifanyizia au wanasibiri niwe mwenyeji mwenyeji ili wani shughulikie...???