ameyasema hayo akiwa kwenye kipindi cha dk 45 itv.
Amesema jeshi la tanzania ni la kwanza africa kwa ubora, na namba 27 duniani. Does it real tally na uhalisia?
Nina mashaka anatafuta urafiki kwa wajeda kuelekea 2015 presidential election!!
Huyu jamaa ni mpuuzi aiseee! yani mishipa inamkakamaa kutea Misri eti wamiliki maji ya Nile kuliko wa South Sudan ambao wanakufa kwa Ukame hawawezi kutumia maji kwa umwagiliaji! Kiumbe huyu hafai kabisa.
wala hamna cha kutafta kura ni ukweli kabisa,kwani tz tuko kamili kwa
infantly army,airforce na. Majini.na vita ya mtz ni ya chini ka marekan japo wamebase air force.minister hadanganyi
Benard Membe ambaye ni waziri wa mambo ya nje na mbunge wa jimbo la Mtama mkoani Lindi Anahojiwa na Emmanuel Buhohela. Membe pia ni mmoja kati ya wanaotajwa kuusaka urais mwaka 2015.
Stay tuned for updates.

jamani leo nimekasirika kuliko maelezo kweli mtu anatetea wamisri na kuwaacha watanzania? kwa kweli huyu hafai kabisa kuwepo hata tanzania mi naona ni bora ahamie hukohuko kwa.waarabu