MEMBE yupo LIVE ITV kipindi cha dakika 45

MEMBE yupo LIVE ITV kipindi cha dakika 45

Anakiri Tanzania ni wakala mtakatifu. Kwa matumizi ya maji ya mto nile ati tukiyatumia kwa umwagiliaji Misri watakufa duh!! Preferential treatment? nani anatufanyia sisi? Madini yetu yanachotwa tu, mererani watu wananunua ndoo ya maji sh 2000 where is the convenience?
Yaani kaniudhi kweli huyu kenge.Eti anadai gia yao ni kupanuka kwa ziwa na kumega ardhi halfu bado anadai nusu.Km ardhi imemeguka nusu ya umali uliopo si atajikuta akithibitisha wanachosema wamalawi?Aombe Mungu msumbiji wawakomae kwa hofu kuwa nao kipande chao kitaondoka. Halfu anaongelea habari ya mto nile naupendeleo pekee Kwa sudani na Misri as if Misri waliwahi tutetea.Kwanza sisi hatuhitaji kuongelea Nile hata km inategemea Victoria,CCM tunatakiwa ongelea Ziwa letu.Na kulitunza wakati tunalifaidi ni riziki aliyotupati Mungu.Kajiulize km Misri wapo wababe hivi wangekuwa wao ndio wapo juu ingekuweje?Membe ni laana ya nchi na mazao ya makuwadi wa UDSM .niliwhai waambia watu humu ndani UDSM ni laana ya hii nchi na duniawakanitukana.Tumekutwa tukitumia kuiburuza Africa kukaa upande mbaya wa dunia.
 
So wewe ni chizi hapakufai kwenye jukwaa hili tafuta la machizi wenzako. Kamalizie dozi yako mirembe. Ungekuwa una akili timamu ungeona wenye akili wamechangia kila mtu kwa mtazamo wake wakiwemo CCM na vyama vingine. Wapo wanaompinga ndani na nje ya chama pia wanaomuunga mkono.

Kwa wewe haya mambo ni nje ya uwezo wako ndo maana umeuliza: so what?
 
wala hamna cha kutafta kura ni ukweli kabisa,kwani tz tuko kamili kwa
infantly army,airforce na. Majini.na vita ya mtz ni ya chini ka marekan japo wamebase air force.minister hadanganyi

sawa na kuhusu maji uanamteteaje?,! mi nadhani huyu ndiye waziri mzigo kuliko wote.
 
Back
Top Bottom