Membe: Wasiomtakia mema Rais Kikwete wananuna ujio wa Rais Obama!

Mheshimiwa waziri ( rais mtarajiwa) alishauri kwa kuepuka usumbufu sasa ukiona kama ushauri haufai, nenda wewe katikati ya jiji jumatatu na jumanne.

sawa kabisa hiki ndicho alichoshauri.....sasa watu humu washaanza kupotosha eti amesema watu wasije dar!
 
Duh! Viongozi wa Tanzania ni vichekesho vitupu! Hivi waziri mzima unakaa kwenye vyombo vya habari na kuzungumzia mambo ya kuonewa wivu kisa Obama kutembelea Tanzania!!!???? Badala ya kuongelea maendeleo na kuondoa umasikini ambao hawajui ni kwa nini upo Tanzania, wanaongelea mipasho na taarabu kama kawaida!!

Yeye mwenyewe maskini wa akili.. unategemea ataleta mabadiliko?
 
Wakuu bado najiuliza concept ya obama kuwazuia wananch wasienda dar julai 1 na 2 kisa ujio wa Obama je anawatendea haki wananchi na je anapandisha au anashusha uchum?

Huu ujio mi naona ni upuuzi mtupu wa watu kutaka waonekane wanafanya kazi
 
Duh! Viongozi wa Tanzania ni vichekesho vitupu! Hivi waziri mzima unakaa kwenye vyombo vya habari na kuzungumzia mambo ya kuonewa wivu kisa Obama kutembelea Tanzania!!!???? Badala ya kuongelea maendeleo na kuondoa umasikini ambao hawajui ni kwa nini upo Tanzania, wanaongelea mipasho na taarabu kama kawaida!!

Membe! Tunataka habari za maendeleo na si mipasho ya eti raisi wenu anaonewa wivu kisa Obama. Wenzetu wana piga hatua za kimaendeleo nyie mnakaa na kutuletea siasa za vidole juu ambazo hazi saisii lolote!!!
Selungo eti Membe naye anataka urais wa nchi hii?. Very bogus, a fool anafikiri kuwa usalama wa taifa na kuchungulia dossier za watu ndio kuwa na uwezo wa kuwa rais wa nchi.Kwangu mimi nchi hii inatakiwa tena hata siku moja kupata rais kutoka jeshini, usalama wa Taifa hao watu ni failure kabisa katika good governance.Tazameni Pinda, Kikwete,Membe mwenyewe ni total failure.
 
Last edited by a moderator:
usipotoshe jamii.....amesema kama mtu anasafari ya dar na anaweza kuja baada ya siku tano bila kuathiri mambo yake aahirishe,maanake kama una mambo yako muhimu unaweza kuja tu ila tegemea usumbufu,hata nyinyi wa dar siku anakuja obama kama huna shughuli muhimu ni afadhali ubaki nje ya mji tu vinginevyo utasumbuka sana na mafoleni,ni ushauri tu hakuzuia mtu asije dar,tusipende kupotosha au kutwist kauli za watu.

Kwa hyo kutakuwa akuna kazi?
 
Wamenuna watuna sana, sisi hatuna muda na kushugulikia eti uchumi, eti reli, kwanza tumemleta wa china, na sasa tunamleta Obama, usisahau kina Bush. na upande wa kinamama hatuko nyuma kuna Booooonge la mkutano, lazima wenzetu wanune sana kwa ujiko wa kimataifa tunaoupata.

- Kwanza nani kati yao nani amepanda mkokoteni wa kuvutwa na farasi? jibu ni hakuna watabaki kununa
- kati yao nani amepanda bembea? jibu ni hakuna watabaki kununa
- kati yao nani ametembelea nchi nyingi zenye nguvu? jibu ni hakuna watabaki kununa

sasa kuwakomesha tumlete kabisa na malkia Elizabeth hapo ndio watapasuka.

RELI, RELI na uchumi kitu gani mbele ya ujio wa Obama? amegoma kwenda kwao amekuja kwetu...

yamewashuka shuuuuuuu......

Ndio pia umesahau nani kati yao alienda Disney valley kupiga picha na wasanii wa Hollywood--- jibu hakuna
Nani kati yao aliiarika timu ya Brazil kupita hapa na kucheza na timu ya taifa kwa mipesa mingi wakati hospital hakuna dawa----jibu hakuna
 
Duh! Viongozi wa Tanzania ni vichekesho vitupu! Hivi waziri mzima unakaa kwenye vyombo vya habari na kuzungumzia mambo ya kuonewa wivu kisa Obama kutembelea Tanzania!!!???? Badala ya kuongelea maendeleo na kuondoa umasikini ambao hawajui ni kwa nini upo Tanzania, wanaongelea mipasho na taarabu kama kawaida!!

Membe! Tunataka habari za maendeleo na si mipasho ya eti raisi wenu anaonewa wivu kisa Obama. Wenzetu wana piga hatua za kimaendeleo nyie mnakaa na kutuletea siasa za vidole juu ambazo hazi saisii lolote!!!
NILISHASEMA BENARD MEMBE JOKA LA MDMU HALIFAI ATA KUWA MWKT WA KIJIJI LICHA KUWA RAIS KWELI WAZRI MWENYE DHAMANA YA MAHUSIANO YA KIMATAIFA ANATOA KAULI ZA MIPASHO YA TAARABU..AKNA KAGAME NA MSEVEN NI WAJANAJA WANAJUA MCHNA NA MMAREKANI AKIJA KWAKO AMESHAONA MAFUTA NA GESI YA BURE MEMBE ANATOA KAULI ZA KIMWAMBAO...LAKN KWAO PWAN NI KAWAIDA YAO ...MEMBE weak leader
 
Last edited by a moderator:
Wakuu bado najiuliza concept ya obama kuwazuia wananch wasienda dar julai 1 na 2 kisa ujio wa Obama je anawatendea haki wananchi na je anapandisha au anashusha uchum?
...obama hajazuia mtu, na wala hana mamlaka ya kuzuia wananchi ''wasiende dar, julai 1 na 2'' kutokana na ujio wake....iwapo anapandisha au anashusha uchumi kwa ujio wake, kwa kutegemea ueleo wako ktk suala pana la uchumi, utalijua jibu baada ya muda....!
 
Membe si kiongoz na hajawah na hatakaa awe kiongoz alpewa uwazr kama sadaka ila JK ameshaona hauzki ameamua kumuunga mkono EL(lowasa)
 
Whats the hell! naona tunazidi kuchanganyikiwa, nini hasa manufaa ya obama kuja tujue hasara na faida, hivi na JK akielekea US waziri wea nje huwa na shabikia kama membe? tanzania imeoza bado kutupwa. siju kwaninin hatutaki kuamka. watachukua kila kilicho chetu sisi tunabaki kuongea kimwambao.
 
Duh! Viongozi wa Tanzania ni vichekesho vitupu! Hivi waziri mzima unakaa kwenye vyombo vya habari na kuzungumzia mambo ya kuonewa wivu kisa Obama kutembelea Tanzania!!!???? Badala ya kuongelea maendeleo na kuondoa umasikini ambao hawajui ni kwa nini upo Tanzania, wanaongelea mipasho na taarabu kama kawaida!!

Membe! Tunataka habari za maendeleo na si mipasho ya eti raisi wenu anaonewa wivu kisa Obama. Wenzetu wana piga hatua za kimaendeleo nyie mnakaa na kutuletea siasa za vidole juu ambazo hazi saisii lolote!!![/QUOTE

Sanasana tutatimuliwatimuliwa kama mbwa koko kwenye ujio wake. Upuuzi mtupu Waziri kuongea kama yuko kwenye Taarabu.
 
Hadi inasikitisha
amesema watu wasijedsm walio vijijini wakae hukohuko aiseee na wageni hao wataleta mipesa na sisis tuwakkamue warudi hawana chochote kwiwkwiwkwi aisee hata baba yangu ana speech ya heshima kuliko membe na huyu ndie anautaka uraisi 2015 si heri mtikila kwa kweli
 
Wakuu bado najiuliza concept ya obama kuwazuia wananch wasienda dar julai 1 na 2 kisa ujio wa Obama je anawatendea haki wananchi na je anapandisha au anashusha uchum?

...mkuu hakuna concept yoyote hapo ila ndo hivyo watawala wameisha-sema na kinachofuatia ni kipigo kwa raia atakayethubutu kutia maguu katikati ya jiji...polisi walishapewa ile ruhusaa ya PPP (Pinda Polisi Piga)...
 
Back
Top Bottom